Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ifike mahala tujichukulie TU sheria mkononi
Vyombo vya sheria vishakua sehemu salama Sana kwa wahalifu.
Wanapelekwa leo,ndugu mnaenda kuwatoa kesho kwa hongo.
Na wizi unaendelea kama kawaida.
Honestly Mwaka Jana nmeibiwa, ila kilichoandikwa polisi Ni upuuzi wkt ushahidi uko wazi na baadhi ya Mali wamekamtwa nazo.
Wewe Kama wewe unafanyaje hapo?
Binafsi,
Kwasasa hao Wezi wangu nadili nao mtaa kwa mtaaa na baadhi Yao tayar washaanza kuonja joto la karma yangu artificial.
Endelea tu na huo utaratibu wako usio rasmi wa kujichukulia sheria mkononi. Siku ikifika, utajuta kuzaliwa. Maana kesi za mauaji, kwa sheria za Nchi yetu; huwa hazina dhamana.
Kupitia hayo maelezo yako, makosa ni ya polisi! Na siyo kila anaye tuhumiwa/kuitiwa mwizi, ni mwizi kweli. Fuata sheria za Nchi aisee. Uhai wa mtu haulinganishwi na kitu chochote kile.