Nimeamka nimefanya mazoezi na kugonga kikombe cha chai ya tangawizi na ndimu nyingi naina nipo sawa, nasikiliziaYenyewe hiyo, delta one mkuu, uchovu, kuharisha, kutapika,koo kuuma,,
Poleni sana,,hali ni mbaya mno
Usiwadharau ninawaona bado wanahoja ya msingi,kama utakumbuka vizuri wakati wa uhai wa mwendazake kulikuwa na kaukimya kuhusu corona na shughuli ziliendelea kama kawaida hivi unataka kuniambia ule ugonjwa haukuwepo ama na wewe wakati ule mliungana kusema mungu amesikia maombi yetu?kibaya ni kukubali kuishi kwa hofu hofu ni mbaya sana na ndio inayouwaaaaaaaKatika watu bado wabishi kuamini ili gonjwa lipo na linakata watu ni wasukuma jamani.nipo nao kanda ya ziwa ukimwambia ukweli hana kuambia angekuwepo magufuli haya yote yasingekuwepo [emoji23].
Sasa gonjwa linasubiria mtu
Kwahiyo kilichomuua ni ile knowledge ya kwamba ana Corona, na si Corona, sivyo?Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa.
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Kachanjwe wewe, kwanini usiseme tule matunda? Au hujui yanaongeza kinga na hayana side effects?Poleni. I feel your pain. It is sad. Chanjo ikitufikia tuchanjwe. Na tahadhali pia tuchukuwe. Na Mungu pia tuzidi kumwomba.
Kila kifo kitasinyiziwa ni corona. Kajipeleka mwenyewe na alipobiwa ana korona mshtuko ukammaliza.Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa.
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Alikuwa kijana wa miaka 37 ameacha mke na watoto wadogo sana!Poleni sana. Halafu wakina Gwajiboy na kundi lake wanahubiri funza kuhusu chanjo, kaka yako alikuwa ni mzee??
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Are you under age?!!!
Masihara mpaka katika mambo ya kweli na ya kusikitisha 😲😲
Endelea kutucheka tuliopata mabalaa hayo......
Pole sana mkuu. Tujilinde bila kusahau kutumia vitu vitavyozidi kutuongezea kinga ya mwili.
Ukiweza kama ni chanjo chanjweni.
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Poleni. I feel your pain. It is sad. Chanjo ikitufikia tuchanjwe. Na tahadhali pia tuchukuwe. Na Mungu pia tuzidi kumwomba.
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Poleni sana, leo mimi najisikia ovyo kweli nimetapika angalau najisikia nafuu sijui ndiyo yenyewe dah
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Uyole huku tunazika daily afu bado watu hawasanuki yaan.Daaa
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Pole sana mkuu. Kasema SSH wanaobeza jitihada za huu ugonjwa ni vile hawajaguswa.
Tupate chanjo wakuu ugonjwa udhibitiwe kwanza.
Mengine baadaye.
Utakufa kwa hofu zako mjinga!CHANJO muhimu kaka....
Wengine tumeguswa na wagonjwa hao.....
Inashangaza sana kuona baadhi yetu tunafanya maskhara.....😲😲
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Hii kitu ni kweli.....
Wasio na ushuhuda basi tunawakumbusha juu ya kuendelea kuchukua HATUA STAHIKI ikiwemo KUCHANJA/KUCHANJWA.....
#TujitokezeniKuchanja
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!Pole sana. Tatizo huu ugonjwa unaondoa watu kimzaha mzaha matokeo yake watu wanaupuuza. Mtu anaanza kuumwa kama utani vile unasikia kesho yake kaondoka. Nimepoteza mjomba wangu mpendwa wiki hii kimchezo mchezo tu
Tukachanjeni wandugu. Bora kuchanja mapema jamani before it's too late
Majuto mjukuu
Utakufa kwa hofu zako mjinga!Ukishaondokewa na mtu wako wa karibu basi hizi akili zako za panya zitakaa sawa.
Hii kitu ni kweli.....
Wasio na ushuhuda basi tunawakumbusha juu ya kuendelea kuchukua HATUA STAHIKI ikiwemo KUCHANJA/KUCHANJWA.....
#TujitokezeniKuchanja
Mungu na sayans n vitu viwl tofaut. Ukiamua kufuata sayans fuata sayan, ukiamua kumfuata Mungu mfuate na uwe na iman yaan uachane na hizo mambo za uoga, ukiamua kumfuata Mungu na uuikane nafs yako na sio kuamn nusu nusu kuwa maji vugu,kwa hil ndpo watu wanafel, kama nchi imeamua kufuata iman na wafuate bila mikanganyo, nakama wameamua kufuata sayans wafuate kwel kwel bila kupuuza kitu, na ndpo ugunu ulipo