Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Heshima ,Heshima , Punguza kelele, Epuka Kelele , Acha Kelele ,Mpe Peace of Mind , Acha Ujuaji unapokosea omba msamaha ,mwisho muombe Mungu kijana alone jitihada zako na kuziheshimu.
Asante nimekuelewa kaka🙏
 
1. Desturi Ya Kufanya Ibada Kwa Mungu Wa Mbiguni Inaleta Raha ,Heshima, Mapenzi Ya Kweli, Malezi Bora.
Nasema Ibada ,Sio Dini.

2. Everything including viuno, mapishi, etc
 
Endeleeni kumpoteza mwenzenu ili muwe wengi kwenye kikundi chenu cha masingle mother wenye watoto watano watano.
Wee!
Si mpaka nikubali kupotezwa sasa.
Nilee watoto wawili peke yangu??
Kikombe hicho kiniepuka aisee!!
KIfo ndo kitanitenga na huyu baba ila sio uzembe wangu wa aina yeyote ile
 
Kweli sijataka ushauri wa wanawake ila asante kwa kujali dear🙏🙏

Kuhusu kubagua mwanangu wa kwanza hicho kitu hakiwezekani.Nampenda sana kijana wangu.
Nitamfurahisha kwa mengi mengine ila sio kwa kubagua mwanangu.
Kwanza Mr. wangu alivyo na roho ya huruma atanichukia nikimfanyia hivyo mtoto.
 
 
1. Desturi Ya Kufanya Ibada Kwa Mungu Wa Mbiguni Inaleta Raha ,Heshima, Mapenzi Ya Kweli, Malezi Bora.
Nasema Ibada ,Sio Dini.

2. Everything including viuno, mapishi, etc
Sawa.
Asante
 
Mpe, chakula, Chakula na staha; basi. Nyingine hizo mbwembwe tu.
 
Asante my darling bro.
Naomba nisijibu maswali yako.
Barikiwa sana🙏🙏
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…