Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Bwawa la Ethiopia litajazwa kwa muda wa miaka 8 mpaka 12 sasa hili letu watatumia week ngapi?
Tutalijaza kwa maombi na kufunga ndani ya wiki moja tuu. Kama Corona tumeishinda kwa maombi ya siku tatu hilo la kupata maji ya kujaza hapo ni cha mtoto.
 
kumbe nyinyi mko mnasubiri zije mpande, tukajua wenzetu namna mnavyoponda hamna habari.
Ndugu,hizo kama ni fedha za ndani ni za walipa kodi wote hata wale watalii wanaokaa siku 5 na kuondoka. Kama ni mikopo pia zitalipwa na Watanzania wote hata wale ambao hawajazaliwa.
 
Ndugu,hizo kama ni fedha za ndani ni za walipa kodi wote hata wale watalii wanaokaa siku 5 na kuondoka. Kama ni mikopo pia zitalipwa na Watanzania wote hata wale ambao hawajazaliwa.
sasa kwanini mnaichukia hiyo mirani, mnataka mpewe pesa zenu mnunue raba??
 
Hii nchi ni yetu sote. Hakuna anayechukia mradi wowote. Tatizo ni "propaganda" zinazoenezwa kuhusu hiyo miradi,kutofuatwa kwa taratibu,kutokuwa na kipaumbele kitaifa pamoja na kutokuwepo kwa uwazi.
uwazi upi unauzungumzia, wewe binafsi una chango gani katika kuamua hatma ya taifa hili??
 
Back
Top Bottom