Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Shida sio mradi kukamilika shida ni ukweli na uwazi kuhusu pesa zinazotumika katika miradi yetu ya kimaendeleo . Kwamba ni mikopoa au ni pesa zetu za ndani hili nalo litatupa kuwa na uwelewa mpana juu ya miradi inayoendeshwa.
 
Nimeona makala TBC juzi maelezo mhandisi msimamizi, ndio wanaanza kazi kunyanyua tuta kimo kama jengo gorofa 45....urefu Km 100..... upana viwanja kadhaa zege lake CM3 Billion kadhaa.... kazi bado kubwa sana!!! Hata 2025 sidhani,; maji pekee kujaza bwana misimu kadhaa ya mvua.Ile dhana kumuongezea muda mkuu itahusika hapa pia.
Noma sana
 
Hii ni commitment ya waziri wa nishati kuwa ifikapo tarehe 15 novemba 2021 ndoto ya kuanza kupata umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere zitaanza kutimia.
Hii itakuwa zawadi kubwa kwa Hayati Nyerere,Magufuli na watanzania.
wote wanaopinga mradi huu washughulikiwe vilivyo.
 
CCM haina namna nyingine ya kubaki madarakani zaidi ya kutekeleza ilani yake 2020-25 kwa asilimia 100+.
hii ndio namna pekee ya kubakia madarakani.
 
mheshimiwa Kelemani nenda rufiji ukalale na kuamkia huko.
watanznia wanasuiri kwa hamu ili tuufungue kw bashasha
 
iwe mvua iwe jua lazima project hii ikamilike kwa hisani ya Kumuenzi Nyerere na Magufuli.Na ikiwezekana mwenge wa uhuru uwashwe tena katika bwawa hilo
 
Kama mtatimiza nitaunga juhudi bila hata kuhubiriwa na Kina Bashiru
 
Mheshimiwa Kelemani na watendaji wote wizara ya nishati tutawatetea siku zote ili mradi huu ukamilike
 
Back
Top Bottom