Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Jumbe Brown siempre siempre anasuburi umeme wa Stigler July 2022 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Raia wengi wa taifa hili wana tatizo kama lako, la kuona mambo kwa umbali wa urefu wa mkono tu.
[emoji1787]Ukifika huo muda bila ya ukamilifu ndio tuanze kuzodoana.....

Siempre JMT
 
Hii ni commitment ya waziri wa nishati kuwa ifikapo tarehe 15 novemba 2021 ndoto ya kuanza kupata umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere zitaanza kutimia.
Hii itakuwa zawadi kubwa kwa Hayati Nyerere,Magufuli na watanzania.
wote wanaopinga mradi huu washughulikiwe vilivyo.
View attachment 1751258
Mhh huyu jamaa hovyooo tena anasema anaanza kusali mbele yake tarehe 25 novemba
 
Back
Top Bottom