Kalemani: Zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021

Shida sio mradi kukamilika shida ni ukweli na uwazi kuhusu pesa zinazotumika katika miradi yetu ya kimaendeleo . Kwamba ni mikopoa au ni pesa zetu za ndani hili nalo litatupa kuwa na uwelewa mpana juu ya miradi inayoendeshwa.
 
Noma sana
 
Hii ni commitment ya waziri wa nishati kuwa ifikapo tarehe 15 novemba 2021 ndoto ya kuanza kupata umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere zitaanza kutimia.
Hii itakuwa zawadi kubwa kwa Hayati Nyerere,Magufuli na watanzania.
wote wanaopinga mradi huu washughulikiwe vilivyo.
Your browser is not able to display this video.
 
CCM haina namna nyingine ya kubaki madarakani zaidi ya kutekeleza ilani yake 2020-25 kwa asilimia 100+.
hii ndio namna pekee ya kubakia madarakani.
 
mheshimiwa Kelemani nenda rufiji ukalale na kuamkia huko.
watanznia wanasuiri kwa hamu ili tuufungue kw bashasha
 
iwe mvua iwe jua lazima project hii ikamilike kwa hisani ya Kumuenzi Nyerere na Magufuli.Na ikiwezekana mwenge wa uhuru uwashwe tena katika bwawa hilo
 
Kama mtatimiza nitaunga juhudi bila hata kuhubiriwa na Kina Bashiru
 
Mheshimiwa Kelemani na watendaji wote wizara ya nishati tutawatetea siku zote ili mradi huu ukamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…