Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

Kumekuwa na changamoto kubwa ya mmomonyoko wa Maadii na Nidhamu kwa
Taifa. Hi inawezekana kwamba baadhi ya walimu wameacha kuzingatia kwa hali ya
juu Maadii ya Kazi yao na kusababsha wanafunzi wanaopitia mkononi mwao kukosa
maadii na ndhamu, kwani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Walimu wanao jukumu
muhimu la kulea kwa kuwa, watoto/wanafunzi wanakuwa chini ya uangalizi wao kwa
muda mrefu zaidi mchana kuiko wazazi Aidha, watoto/wanafunzi wana taba ya
kuamini na kusikiliza zaidi waimu.

Mwalimu ni nani?
Mwaimu ni mtu yeyote aiyepata mafunzo ya ualimu na kufuzu kwenye Chuo cha
Ualimu kinachotambulika na Serikali.

Maadili ya Ualimu
Maadii ya Uaimu ni Utaratibu/Mwongozo uliokubalka kuhusu Mwenendo, Tabia na
Imani ya mtu afanyaye kazi ya kufundisha watoto/wanafunzi wakati wa kuwawezesha
kupata maarifa/ujuzi, kuangaia afya na ukuaji wao kitabia na kimaadli wawapo shuleni
na hata nje ya shue.

Miiko ya Ualimu
Miiko ya Ualmu ni mambo ambayo Mwaimu hatakiwi kuyafanya kwa mujibu wa
Shera, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayotolewa na Serikai.
Waimu kama livyo kwa kada nyingine kwa mfano Madaktari, Wauguzi, Wahandisi,
Wanasheria, wanayo Maadil na Miiko nayoongoza taauma zao Maadli hayo ndiyo
yanayotofautisha kati ya Kada moja na nyngine. Adha, yapo Maadli ya Utumshi wa
Umma ambayo hayana budi kuzingatiwa na watumish wote wa Umma wakiwemo
Waimu.
Waimu wamekabidhiwa watoto wakati wanapokuwa shuleni na kuwa nao kwa kipindi
kirefu zaid wakati wa mchana. Hivyo, Wazazi, Jami na Taifa kwa ujuma wanategemea
kwamba watoto watatunzwa, watafundishwa na kulelewa vizuri kimaadii.
kuwa raia
wema wa sasa na baadaye Hi haina maana kwamba Wazazi na Jamii hawana wajibu
wa kulea bali kwamba kla mtu ana wajibu wake kwa mtoto.

2 Kumlea kiakili

Mwalmu amsaidie mwanafunzi kupata maarifa na ujuz unaotakiwa kuingana na
Mongozo inayotolewa mara kwa mara na Serikai; na

Mwalmu ahakikishe kwamba mwanafuzi anajifunza na kupata uelewa wa jambo
aliojfunza na kuona mabadiliko chanya kwa mwanafunzi kutoka kutokujua kuwa
kujua.

Kumlea kiroho
Mwaimu amsaidie mwanafunzi kutambua mambo mazuri au mabaya, yanayofaa
na yasyofaa kwenye jami na kuepuka mambo mabaya;
iv.Mwanafunzi ajue kuheshimu watu wa rika zote, wakubwa na wadogo;

Mwanafunzi afundishwe li ajue kuomba msamaha anapokosea, ajue kushukuru
anapopewa vitu au anaposaidiwa, ajifunze kutoa pole panapostahli, kuwa na
huruma na kutoa msaada kwa wengine

Mwanafunzi akuzwe katika Maadii mema ya kiroho kwa kuhimizwa kuhudhuria
kwenye vipndi vya Dini na sehemu za ibada; na

Mwanafunzi afundishwe kuacha mambo yasiyofaa kwa mfano; kuonea au
kuchokoza wengine, kupiga wengne, kutukana, kuiba, kulipiza kisasi.

Kumlea kijamii
Mwaimu amweekeze mwanafunzi kuwa mvumiivu na kumfanya apende
kushirikiana na wanafunz wenzake na watu wengne katika kufanya kazi na
masuaa mbalimbali ya kijami;

Mwanafunzi ashawishwe kujiunga na vyama vya kimasomo, au vilabu vilivyopo
shuleni; na

Mwanafunzi aongozwe kushirki kwenye mchezo.

Nb:walimu baadhi makazini au vyuoni hawako proud na taaluma yao ivo inaleta jamii kuwachulia kirahisi.

Confidence imepotea kwa walimu wa Sasa, tofauti na wazamani,hawaipiganii taaluma yao wapo kukamilisha ratibu tu.

Vyuoni vijana wanaosomea taaluma ya ualimu wengi wao wanaoishi kwa kuificha taaluma yao kwenye jamii,hili nalo ni tatizo kwa taifa.

Sio kila mtu asomehe ualimu ,serikali iweke vigezo kwamba wale waliofaulu vizuri ndo wasomee ualimu,

MWALIMU IPENDE TAALUMA YAKO
JAMII TUIHESHIMU TAALUMA YA UALIMU.

NAOMBA KUWASILISHA......
 
Kwanza walimu katika hili mtuondoe kabisaaaa. Mengine yote semeni lakini la maadili halituhusu. Walimu tunafundisha na kulea watoto katika maadili mema. Watoto shuleni simu ni marufuku na adhabu Kali hutolewa, mavazi yaheshima, nidhamu yajuu.

Kisanga watoto wakirudi home. Mzazi anawachia remote wajisevie vipindi wanavyotaka. Watoto wanapewa simu za kisasa na vibwana vyao mzazi anacheka tu. Mtoto anavaa hovyo hovyo mpaka mwalimu ukikutana na mtoto wakati wa likizo unaona aibu lakini mizazi inakenua tu mimeno.
 
Kumekuwa na changamoto kubwa ya mmomonyoko wa Maadii na Nidhamu kwa
Taifa. Hi inawezekana kwamba baadhi ya walimu wameacha kuzingatia kwa hali ya
juu Maadii ya Kazi yao na kusababsha wanafunzi wanaopitia mkononi mwao kukosa
maadii na ndhamu, kwani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Walimu wanao jukumu
muhimu la kulea kwa kuwa, watoto/wanafunzi wanakuwa chini ya uangalizi wao kwa
muda mrefu zaidi mchana kuiko wazazi Aidha, watoto/wanafunzi wana taba ya
kuamini na kusikiliza zaidi waimu.

Mwalimu ni nani?
Mwaimu ni mtu yeyote aiyepata mafunzo ya ualimu na kufuzu kwenye Chuo cha
Ualimu kinachotambulika na Serikali.

Maadili ya Ualimu
Maadii ya Uaimu ni Utaratibu/Mwongozo uliokubalka kuhusu Mwenendo, Tabia na
Imani ya mtu afanyaye kazi ya kufundisha watoto/wanafunzi wakati wa kuwawezesha
kupata maarifa/ujuzi, kuangaia afya na ukuaji wao kitabia na kimaadli wawapo shuleni
na hata nje ya shue.

Miiko ya Ualimu
Miiko ya Ualmu ni mambo ambayo Mwaimu hatakiwi kuyafanya kwa mujibu wa
Shera, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayotolewa na Serikai.
Waimu kama livyo kwa kada nyingine kwa mfano Madaktari, Wauguzi, Wahandisi,
Wanasheria, wanayo Maadil na Miiko nayoongoza taauma zao Maadli hayo ndiyo
yanayotofautisha kati ya Kada moja na nyngine. Adha, yapo Maadli ya Utumshi wa
Umma ambayo hayana budi kuzingatiwa na watumish wote wa Umma wakiwemo
Waimu.
Waimu wamekabidhiwa watoto wakati wanapokuwa shuleni na kuwa nao kwa kipindi
kirefu zaid wakati wa mchana. Hivyo, Wazazi, Jami na Taifa kwa ujuma wanategemea
kwamba watoto watatunzwa, watafundishwa na kulelewa vizuri kimaadii.
kuwa raia
wema wa sasa na baadaye Hi haina maana kwamba Wazazi na Jamii hawana wajibu
wa kulea bali kwamba kla mtu ana wajibu wake kwa mtoto.

2 Kumlea kiakili

Mwalmu amsaidie mwanafunzi kupata maarifa na ujuz unaotakiwa kuingana na
Mongozo inayotolewa mara kwa mara na Serikai; na

Mwalmu ahakikishe kwamba mwanafuzi anajifunza na kupata uelewa wa jambo
aliojfunza na kuona mabadiliko chanya kwa mwanafunzi kutoka kutokujua kuwa
kujua.

Kumlea kiroho
Mwaimu amsaidie mwanafunzi kutambua mambo mazuri au mabaya, yanayofaa
na yasyofaa kwenye jami na kuepuka mambo mabaya;
iv.Mwanafunzi ajue kuheshimu watu wa rika zote, wakubwa na wadogo;

Mwanafunzi afundishwe li ajue kuomba msamaha anapokosea, ajue kushukuru
anapopewa vitu au anaposaidiwa, ajifunze kutoa pole panapostahli, kuwa na
huruma na kutoa msaada kwa wengine

Mwanafunzi akuzwe katika Maadii mema ya kiroho kwa kuhimizwa kuhudhuria
kwenye vipndi vya Dini na sehemu za ibada; na

Mwanafunzi afundishwe kuacha mambo yasiyofaa kwa mfano; kuonea au
kuchokoza wengine, kupiga wengne, kutukana, kuiba, kulipiza kisasi.

Kumlea kijamii
Mwaimu amweekeze mwanafunzi kuwa mvumiivu na kumfanya apende
kushirikiana na wanafunz wenzake na watu wengne katika kufanya kazi na
masuaa mbalimbali ya kijami;

Mwanafunzi ashawishwe kujiunga na vyama vya kimasomo, au vilabu vilivyopo
shuleni; na

Mwanafunzi aongozwe kushirki kwenye mchezo.

Nb:walimu baadhi makazini au vyuoni hawako proud na taaluma yao ivo inaleta jamii kuwachulia kirahisi.

Confidence imepotea kwa walimu wa Sasa, tofauti na wazamani,hawaipiganii taaluma yao wapo kukamilisha ratibu tu.

Vyuoni vijana wanaosomea taaluma ya ualimu wengi wao wanaoishi kwa kuificha taaluma yao kwenye jamii,hili nalo ni tatizo kwa taifa.

Sio kila mtu asomehe ualimu ,serikali iweke vigezo kwamba wale waliofaulu vizuri ndo wasomee ualimu,

MWALIMU IPENDE TAALUMA YAKO
JAMII TUIHESHIMU TAALUMA YA UALIMU.

NAOMBA KUWASILISHA......
Thanks brother[emoji817][emoji818]View attachment 2579829
 
Attachments

  • military-salute.jpg
    military-salute.jpg
    9 KB · Views: 3
Serikali kutoiheshimu hii kada ndo sababu ya haya yote , haiwezekani Makamba aombe bajeti hewa ya tillion moja huku walimu wanapewa laki tatu sjui laki tano kwa kazi ngumu ya kulifanya taifa liwe la watu walioelimika , na hii ndo mana tunatengeneza taifa la viongozi viazi wanaosababisha madudu kila kona
Tatizo kubwa Sana la jamii forum ya Sasa ni wanajukwaa kukosa " facts" watu huongea au kuandika vitu wasivyovijua Kwa asilimia 100% .
Mfano mtu anasema serikali inawadharau walimu inawalipa laki 300,000 au 500,000!!
Hajui ni walimu Gani!? Wa level Gani!?
Halafu muulize kada nyingine wanalipwaje!? Mfano kilimo,afya,maendeleo ya jamii nk!! Hana jibu atakwambia hao wanalipwa zaidi!! Basi unamwangalia unamwacha!?
 
Una matatizo
 
Unajua shida ya hawa walimu ndo hua wanatumika kuiba kura za upinzani kwa hela za muda mfupi lkn hawajui hao wanaowasaidia kuiba kura ndo hao ambao wanaacha kwenye lindi kubwa la njaa. Ilitakiwa mwalimu alipwe kuliko kada nyingi lkn ndie anaelipwa hela kidogo nazan kuliko yoyote. Sasa kwan asionwe kama bodaboda tu.
Mimi naomba uniambie walimu wanaibaje kura!? Hebu kuwa specific!! Inawezekana alivyoandika kutumiwa na wanasiasa hukumwelewa!!
Narudia tena jamii forum limekuwa jukwaa la hovyo Sana tofauti na enzi zile!? Watu hawana facts huongea na kuandika kama tabura lasa!
 
Umeongea ukweli mtupu, just imagine mpaka mwanafunzi anajua Mwalimu wake hana hela, utamsikia Mwanafunzi anasema Mwalimu hivi unaweza kununua pikipiki kweli? Unajua kwanini? Kwa sababu anaona Mwalimu anaingia shuleni na baiskeli kweli?
Narudia wanajamii forum wasasa ni hovyo mno!? Hawajielewi! Hawana facts!! Wanajua walimu woooote hulipwa laki tatu!?
 
Mimi naomba uniambie walimu wanaibaje kura!? Hebu kuwa specific!! Inawezekana alivyoandika kutumiwa na wanasiasa hukumwelewa!!
Narudia tena jamii forum limekuwa jukwaa la hovyo Sana tofauti na enzi zile!? Watu hawana facts huongea na kuandika kama tabura lasa!
Usijizime data, walimu ndio wamekua wasimamizi wakuu katika vituo vya kura au ulikua hujazaliwa, na huez iba kura bila kushirikiana na msimamizi mkuu wa kituo cha kura. Ninaongea ninachokijua
 
Back
Top Bottom