Kumekuwa na changamoto kubwa ya mmomonyoko wa Maadii na Nidhamu kwa
Taifa. Hi inawezekana kwamba baadhi ya walimu wameacha kuzingatia kwa hali ya
juu Maadii ya Kazi yao na kusababsha wanafunzi wanaopitia mkononi mwao kukosa
maadii na ndhamu, kwani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Walimu wanao jukumu
muhimu la kulea kwa kuwa, watoto/wanafunzi wanakuwa chini ya uangalizi wao kwa
muda mrefu zaidi mchana kuiko wazazi Aidha, watoto/wanafunzi wana taba ya
kuamini na kusikiliza zaidi waimu.
Mwalimu ni nani?
Mwaimu ni mtu yeyote aiyepata mafunzo ya ualimu na kufuzu kwenye Chuo cha
Ualimu kinachotambulika na Serikali.
Maadili ya Ualimu
Maadii ya Uaimu ni Utaratibu/Mwongozo uliokubalka kuhusu Mwenendo, Tabia na
Imani ya mtu afanyaye kazi ya kufundisha watoto/wanafunzi wakati wa kuwawezesha
kupata maarifa/ujuzi, kuangaia afya na ukuaji wao kitabia na kimaadli wawapo shuleni
na hata nje ya shue.
Miiko ya Ualimu
Miiko ya Ualmu ni mambo ambayo Mwaimu hatakiwi kuyafanya kwa mujibu wa
Shera, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayotolewa na Serikai.
Waimu kama livyo kwa kada nyingine kwa mfano Madaktari, Wauguzi, Wahandisi,
Wanasheria, wanayo Maadil na Miiko nayoongoza taauma zao Maadli hayo ndiyo
yanayotofautisha kati ya Kada moja na nyngine. Adha, yapo Maadli ya Utumshi wa
Umma ambayo hayana budi kuzingatiwa na watumish wote wa Umma wakiwemo
Waimu.
Waimu wamekabidhiwa watoto wakati wanapokuwa shuleni na kuwa nao kwa kipindi
kirefu zaid wakati wa mchana. Hivyo, Wazazi, Jami na Taifa kwa ujuma wanategemea
kwamba watoto watatunzwa, watafundishwa na kulelewa vizuri kimaadii.
kuwa raia
wema wa sasa na baadaye Hi haina maana kwamba Wazazi na Jamii hawana wajibu
wa kulea bali kwamba kla mtu ana wajibu wake kwa mtoto.
2 Kumlea kiakili
Mwalmu amsaidie mwanafunzi kupata maarifa na ujuz unaotakiwa kuingana na
Mongozo inayotolewa mara kwa mara na Serikai; na
Mwalmu ahakikishe kwamba mwanafuzi anajifunza na kupata uelewa wa jambo
aliojfunza na kuona mabadiliko chanya kwa mwanafunzi kutoka kutokujua kuwa
kujua.
Kumlea kiroho
Mwaimu amsaidie mwanafunzi kutambua mambo mazuri au mabaya, yanayofaa
na yasyofaa kwenye jami na kuepuka mambo mabaya;
iv.Mwanafunzi ajue kuheshimu watu wa rika zote, wakubwa na wadogo;
Mwanafunzi afundishwe li ajue kuomba msamaha anapokosea, ajue kushukuru
anapopewa vitu au anaposaidiwa, ajifunze kutoa pole panapostahli, kuwa na
huruma na kutoa msaada kwa wengine
Mwanafunzi akuzwe katika Maadii mema ya kiroho kwa kuhimizwa kuhudhuria
kwenye vipndi vya Dini na sehemu za ibada; na
Mwanafunzi afundishwe kuacha mambo yasiyofaa kwa mfano; kuonea au
kuchokoza wengine, kupiga wengne, kutukana, kuiba, kulipiza kisasi.
Kumlea kijamii
Mwaimu amweekeze mwanafunzi kuwa mvumiivu na kumfanya apende
kushirikiana na wanafunz wenzake na watu wengne katika kufanya kazi na
masuaa mbalimbali ya kijami;
Mwanafunzi ashawishwe kujiunga na vyama vya kimasomo, au vilabu vilivyopo
shuleni; na
Mwanafunzi aongozwe kushirki kwenye mchezo.
Nb:walimu baadhi makazini au vyuoni hawako proud na taaluma yao ivo inaleta jamii kuwachulia kirahisi.
Confidence imepotea kwa walimu wa Sasa, tofauti na wazamani,hawaipiganii taaluma yao wapo kukamilisha ratibu tu.
Vyuoni vijana wanaosomea taaluma ya ualimu wengi wao wanaoishi kwa kuificha taaluma yao kwenye jamii,hili nalo ni tatizo kwa taifa.
Sio kila mtu asomehe ualimu ,serikali iweke vigezo kwamba wale waliofaulu vizuri ndo wasomee ualimu,
MWALIMU IPENDE TAALUMA YAKO
JAMII TUIHESHIMU TAALUMA YA UALIMU.
NAOMBA KUWASILISHA......