Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Mi hata sina haja ya mazoezi, kazi yangu tu ni mazoezi.
 
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Kisukari kinatesa sana kuliko ule ugonjwa mkubwa unaweza ukaugua ule ugonjwa mkubwa ila mechi ukawa unapiga km kawaida ila Kisukari hupigi mechi unaishia kuiangalia tu hivi
 
Mazoezi ni jambo zuri sana ila tusisahau magonjwa hayatokei kwa kuacha kufanya mazoezi pekee, hapana.
Tuwe makini na ulaji wetu ( vyakula na vinywaji) pia kwakua ukiwa unafanya mazoezi na ilihali unatumia pombe kwa mfano ini, figo, moyo, ubongo, nk viko hatarini.
Afya ni suala pana tuwe makini.
 
Ukiachana na mazoezi pia kazi ndogo ndogo za nyumbani na kijamii sio za kumuachia msaidizi. Palilia,fyeka,katia maua na kazi zote ambazo zitafany Mwili wako ushughulike haswa(kwa wale ambao hutumia muda mwingi ofisini)
Hakika hii ni nzuri kuna watu kwa sababu wanafanya kazi ofisini hawatak kabisa kujihusisha na kazi za nyumbani.
 
Kisukari kinatesa sana kuliko ule ugonjwa mkubwa unaweza ukaugua ule ugonjwa mkubwa ila mechi ukawa unapiga km kawaida ila Kisukari hupigi mechi unaishia kuiangalia tu hivi
Ngoma haifunction kabisa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Vipi maendeleo ya tizi na show mkuu au uliishia kutype hapa ukarudi kitandani?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Vipi maendeleo ya tizi na show mkuu au uliishia kutype hapa ukarudi kitandani?
Dah mkuu nili download app fulani hivi playstore ya mazoezi basi nikawa nimejiwekea utaratibu asubuhi mapema nakimbimbia nikirudi naifungua ile app najiweka fiti kama nusu saa naendelea na mitikasi. Wee nikafanya siku ya kwanza, ya pili ya 3 nikasema ahh aasa hapa nishaivaa kufikia siku ya nne mazoezi yakachanganya sijui kuna zoezi gani bwana kwenye ile app nikajikuta nimejitengua bega likaanza kuuma na kiuno sio powa ahh nikaamua kuachilia mbali hadi leo yapata mwezi. Bora nipige tuu tako zangu 8 namwaga natosheka kikubwa namwaga siwazi habari za mazoezi sitaki
 
Tujitahidi mazoezi yawe kwenye ratiba zetu za kilasiku
 
Kisukari kinatesa sana kuliko ule ugonjwa mkubwa unaweza ukaugua ule ugonjwa mkubwa ila mechi ukawa unapiga km kawaida ila Kisukari hupigi mechi unaishia kuiangalia tu hivi
πŸ˜‚ πŸ˜‚ mbna unaelezea kwa uchungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…