Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Hapana,mwili wa kawaida tu, nashangaa nashindwa vingi kwa haraka, baiskeli 1990s nilikua naendesha 30km nikiwa swaumu na fresh tu,dar imeniharibu sana!
Unakaa mda mrefu kwenye kiti ofisini?
 
So sisi wenye 45 unatushauri nini? Kwamba tumechelewa sana?
hapana fanya umri bado mzuri, nimesema below 40 kwa sababu wanaweza kufanya kwa wingi sana ukiwa above 40 misuli hua haina ukakamavu mzuri, unapofanya mazoezi hua baadhi ya misuli huchanika kuunda misuli imara zaidi
 
Pombe inakula mai

Natembea jioni kununua mahindi ya kuchoma, kuna kaumbali ntaanza mtindo wa kucheza mziki ndani maana, mziki uko kwenye damu
 
hapana fanya umri bado mzuri, nimesema below 40 kwa sababu wanaweza kufanya kwa wingi sana ukiwa above 40 misuli hua haina ukakamavu mzuri, unapofanya mazoezi hua baadhi ya misuli huchanika kuunda misuli imara zaidi
Hii naiona kwangu,nipo above 45,mazoezi niliyokua nafanya fresh miaka kumi iliyopita sasa yananishinda
 
Kuna jamaa aliwahi kusema hivi....."tunaishi ktk dunia ambayo wenye uwezo hutembea makumi na mamia ya kilometa kumeng'enya chakula na maskini hutembea makumi na mamia ya kilometa kutafuta chakula.......
Kwa sasa siyo uwezo, masikini ndiyo wala hovyo,kila mtu bonge
 
Kila siku naanza mazoezi kesho naacha...au kwa sbb mi sio kibonge najipa matumaini...ila nitaanza
Kama unaanza inabidi upate kampani ya kufanya ukizoea kama mwezi hivi mwili unakutaka ufanye bila hata kupenda tu.
 
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Magonjwa yapo tu. Hata kama utakuwa unakimbia 24hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…