Yani hiyo kampani sasa...itabidi niamue tuu mwenyewe sasa...ili nionekana wa afu 2000πππKama unaanza inabidi upate kampani ya kufanya ukizoea kama mwezi hivi mwili unakutaka ufanye bila hata kupenda tu.
Yah kuna ma dimpo ya unene hasa kwenye mapaja wengine hutokea michiriziππππmadimpo tena
Unatembea kwenda wapiMi kila siku natembea 10km
Pombe kali,oooh sungura hapingwiUkitembelea mahospitalini ndio utajua hali ni mbaya
Vijana walevi wengi shida ni figo na ini, wanakufa sana na wengine wanazidi kuongezeka
Zoezi tuUnatembea kwenda wapi
kilichonishtua ni kwamba kuna mtu anafululiza hospital ila sasa anaambiwa ugonjwa wako hauna dawaUkitembelea mahospitalini ndio utajua hali ni mbaya
Vijana walevi wengi shida ni figo na ini, wanakufa sana na wengine wanazidi kuongezeka
BInafs naona mazoez ni kupoteza muda me Huwa nalima na hii ni mazoezi tosha kwanngu kabisakwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Hakuna zoezi hapoHivi kudinya saaana nayo ni mazoezi ? Maana ni process inayotoa jasho
Sio umekula.nauli boss? Mazoezi elekea coco..Jana nimetembea KWA miguu kuanzia mbezi Hadi gongolamboto kupitia ulongoni kama sehemu ya mazoezi na kuangalia mazingira pia. Imekuwa siku ya furaha sana
Ingia youtube kuna mazoezi ambayo unapiga chumbani tu unaloa jasho.Yani hiyo kampani sasa...itabidi niamue tuu mwenyewe sasa...ili nionekana wa afu 2000πππ
UKo vzr kwenye kuzoom...πππYah kuna ma dimpo ya unene hasa kwenye mapaja wengine hutokea michirizi
Mkuu kwani kazi zako ni za kukaa sana..Zoezi tu
Sure wa kwetuIngia youtube kuna mazoezi ambayo unapiga chumbani tu unaloa jasho.
Hahaha ukiona hivyo hali inaanza kuwa mbayaMapaja ya dimpoz yanakera
Zoezi ni nnHakuna zoezi hapo
Zamani kwa uchache huo huo wa hospital ulikuwa hukuti watu wamerundikana kama ilivyo leo.Tatizo bongo wagonjwa wanarundikana wengi pia katika hospitali chache kwa hiyo unaweza kufikiria watu wanaumwa sana hivyo kumbe kawaida tu huduma ndio changamoto.
Mi boss mkulima, yaani shamba ni kuelekeza kwa vidole tu,kama kazi yako ni kufyatua tofali,saidia fundi,mcheza mpira,riadha,ndondi..yaani kama unakata calories za kutosha kazini,huhitaji mazoeziMkuu kwani kazi zako ni za kukaa sana..
Mfano mimi kazi yangu ni kuvuja jasho je ninafaa nifanye haya mambo