Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
nadhan ata mbunge bwege nae aliomba wa kumchangia figo kama sjasahau
View: https://www.youtube.com/watch?v=-D01NNHBWyU&pp=ygUMbWJ1bmdlIGJ3ZWdl
Hizo stakuwa na vibe, kuna za Rose muhando, agape band zinatosha.Ucheze miziki ya aurlus mabele, zile loketo, ukimaliza saa nzima balaa
kilichonishtua ni kwamba kuna mtu anafululiza hospital ila sasa anaambiwa ugonjwa wako hauna dawa
Kavu sana,sasa yakute yamevalishwa taiti yanavotamanisha,na siku hizi nyuma ya goti wanajaa nyama,yaani kinyaa tuHahaha ukiona hivyo hali inaanza kuwa mbaya
sasa cha ajabu apo kwa mbunge bwege amesema anataka kuchukua figo ya mtoto wakeInasikitisha sana watu hawajali afya zao
Unajua vijana wengi nguvu za ujana zinawadanganya sana
Wanabwia alcohol na pombe kali wanavyoona wana nguvu za ujana wanadhani hakuna madhara
Ngoja sasa wakianza kugonga 40+ hapo ndio wanaanza kujionea matokeo
G. Habash hatunaye pombe kali, Prof Jay kaponea chupuchupu siku 462 hospitalini
Sio kuzoom wa kwetu hiyo ipo tu paja la binadamu mwenye afya , chini karibu na maungio ya goti kunatakiwa kuwe na herufi v akisimama na migawanyo miwili kwa pembeni sio paja linakua la mviringo kama chupa ya shampenUKo vzr kwenye kuzoom...😃😃😃
Utamu wa yesu unauchezaje!?..we tafuta lubolubo ya aurlus mabele na muige anavyocheza uoneHizo stakuwa na vibe, kuna za Rose muhando, agape band zinatosha.
Ipo jinsia zote huko kunaitwa kunona😁Kavu sana,sasa yakute yamevalishwa taiti yanavotamanisha,na siku hizi nyuma ya goti wanajaa nyama,yaani kinyaa tu
sasa cha ajabu apo kwa mbunge bwege amesema anataka kuchukua figo ya mtoto wake
Kweli mkuu maana mi kwa sasa nipo hapa keko magurumbasi kazi yangu ni kuchomelea vyuma yaan weldingMi boss mkulima, yaani shamba ni kuelekeza kwa vidole tu,kama kazi yako ni kufyatua tofali,saidia fundi,mcheza mpira,riadha,ndondi..yaani kama unakata calories za kutosha kazini,huhitaji mazoezi
Kaka navuja jasho ujueusiache mazoezi kaka
Lazima uvibebe vyuma, halafu full kuruka ruka, mara uchomee upande huu mara uleKweli mkuu maana mi kwa sasa nipo hapa keko magurumbasi kazi yangu ni kuchomelea vyuma yaan welding
Hapana nmeokokaUtamu wa yesu unauchezaje!?..we tafuta lubolubo ya aurlus mabele na muige anavyocheza uone
Sio kweliKwa Sisi makapuku life letu ni mazoez tosha