Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

yaaani hali ni mbaya sema sasa watu wanachukulia utan, sku magazeti yakiweka nguvu uko watu watapata picha nzuri ubaya wa haya magonjwa ukienda hospital inakua ile too late stage sio kwamba unaenda kupona
 
Atakuwa anasumbuliwa na kisukari pia, sasa mtu kama huyo mnampa figo ya nini? Huyo aandae mirathi kama bado huku mkisubiria taratibu zingine ​
hana anatumia mil 3 kila wiki kufanya usafishaji wa figo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…