Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #1,981
Personal name ya Mungu mwenyezi ni ALLAH kwa lugha ya Kiarabu na YAHVH kwa lugha ya Jews.
Ungemuelewa vzt mtoa mada wala usingekuja na maelezo ya quran.Anakuambia hao manabii wote ni wayahudi,na waliosimulia ni wayahudi wenyewe wakielezea mila,dini,na tamaduni zao wakimueleza MUNGU wao anayeitwa YAHWEH.Na Quran ina mungu wake wa kiarabu anayeitwa Allah na mtum3 wake Muhammad ambaye ni mwarabu. Anasimulia habari za taifa lingine na MUNGU wao(YAHWEH) zinazotofautiana sanaa.Cha kushangaza zaidi anasema yale yamekosewa ila yake ndiyo sahihi!Yaani habari za ukoo wa wayahudi na MUNGU wao uzijue wewe zaidi kuliko wao!Naomba kama kweli ni mjuvi kama unavyojinasibu utoke kwenye GENERAL UENDE KWENYE SPECIF....
Lakini pia NAKUSHANGAA UNAVYOITOA BIBILIA KUTOKA MANENO YA MUNGU KUWA MASIMULIZI YA WATU KAMA YALIVYOWATOKEA... JE UNATAKA KUWEKA KWENYE MIZANIA MASIMULIZI YA WATU NA MANENO YA MOLA MLEZI AKIELEZEA JINSI ALIVYOWAANGAMIZA WALIOMKADHIBISHA AU ALIVYOWANUSURU WALIOMWAMINI
KAMA IBRAHIMU DHIDI YA KUCHOMWA MOTO, NUHU DHIDI YA GHARIKA AU MUSSA DHIDI YA FIRAUNI AU YESU DHIDI YA KUSULUBIWA? lakini Mola Mlezi haishii kusimulia tu BASI ANATOA BISHARA KWA YETU ATAKAYECHUKUA NJIA YA KUNDI LOLOTE KATI YA HAYO YALIYO PITA BASI AJUE KABISA NDIVYO YATAKAVYOKUWA MAFIKIO YAKE SAWA NA HAO WALIOPITA....
Lakini TOFAUTI na visa na matukio ya waliopita MOLA MLEZI AMEELEZA MAADA MBALIMBALI KWENYE QUR'AN KAMA;
1. Embryology rejea SURATUL muuminun aya za mwanzo
2. Akaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, mabadiliko ya usiku na mchana kama ishara ya uwepo wake...
3. Akaelezea masuala ya sheria kama MARRIAGE yupi na yupi wanaweza kuoana na yupi na yupi hawawezi kuoana, akaelezea masuala ya mirathi wanaopasa kurithi mpaka na viwango vyao,
4. Ameelezea masuala ya biashara na vilivyokatazwa katika biashara..
5. Ameelezea hali ya siku ya HUKUMU na watakavyokuwa watu siku hiyo....
6. Ameeleza juu ya HUKUMU ya vitu ZAKA NA MAKUNDI YANAYOPASWA KUPEWA HIYO ZAKA TOFAUTI NA BIBILIA AMBAYO HUWEZI KUPATA MGAWANYO HUO NA MATOKEO YAKE ZAKA NI YA VIONGOZI PEKEE...
7. Kwenye QUR'AN MOLA MLEZI Ameonya juu ya tabia mbaya kama UNAFIQ na mafikio yao, upunguzaji wa mizani katika mauziano, Uchawi n.k LAKINI HUWEZI KUKUTA VITU HIVYO WITH CLARITY AND CONSISTENT kwenye BIBLE...
8. Ameelezea mitume waliopita, mitihani walioipata kutoka kwa watu wao, yakini yao kwa Mola Mlezi na jinsi alivyowaokoa na MADHILA LAKINI PIA ANATOA BIDHARA KWETU SISI... Je unataka KUWEKA KWENYE MIZANI NA BIBILIA AMBAYO ndani anasimuliwa Mitume kwa uovu kama IFUATAVYO:
1. Abraham anatuhumiwa uzinzi
2. Nuhu anatuhumia Ulevi [Alcoholism]
3. Luti anatuhumia kuzini na binti zake
4. Daudi kuzini na mke wa kamanda wake na kumuua mwenye mke..
Uhalisia wa mambo hata tungechukua sample za matukio na kuyalinganisha kama yalivyosimuliwa na vyanzo vyote viwili utagundua kimoja hakiko consistent wala facts based na kingine simulizi ziko very clear, consistent and facts based...
1. Mfano nikikuambia lete simulizi ya Yusuf Alayhim Salam kama ilivyosimuliwa kwenye bibilia na kwenye Qur'an utaona utofauti
2. Malezi ya Maria mama wa Yesu, baba yake, mama yake, mlezi wake baada ya kufa kwa wazazi wake Mtume wa Allah Zakariah, miujiza yake kama kupokea chakula kutoka peponi/mbinguni, kuzaliwa kwa Yahaya, kuzaliwa kwa Yesu, miujiza ya Yesu kuwasemeza watu akiwa KICHANGA yako very clear, consistent na facts based kuliko unavyoweza kuyapata kwenye bibilia.
3. Matukio kama vijana wa pangoni na miujiza ya muda waliokuja pangoni, idadi yao na mbwa wao angalia kwenye BIBILIA na JINSI YALIVYO KWENYE QUR'AN ni mbingu na ardhi...
LAKINI PIA MPANGILIO WA MANENO YA BIBILIA NA QUR'AN:
1. Bibilia inajumuisha records za matendo na maneno ya Yesu pamoja na Maneno ya watu wengine KAMA MTUME PAULO ambyo sii maneno ya Yesu wala ya MUNGU lakini QUR'AN NI MANENO YA MOLA MLEZI KILA SURA INAANZA KWA JINA LAKE NA NANI MOLA MLEZI ANATUZUNGUMZISHA SISI WANAADAM
Note: USISOMA SURA YA 53 [NAJM] Mola Mlezi anaeleza haya HAYAKUWA NI MASIMULIZI YA MUHAMMAD ila ni WAHAY utokao Kwake YEYE
Nimechoka ngoja nifanye majukumu MENGINE
Ili Quran iwe kitabu cha kweli ni lazima ilete torati,injili,na zaburi original ili tuone hayo yaliyomo humo kama yanarandana na Quran.Vinginevyo itabaki kuwa hivi;MUNGU wa biblia ni tofauti kabisa na wa quran.Naomba kama kweli ni mjuvi kama unavyojinasibu utoke kwenye GENERAL UENDE KWENYE SPECIF....

Kwa nondo alizotoa jamaa hapo unadhani anastahili kujibiwa hivi!ILI IONEKANE UNASEMA KWELI... HEBU NJOO TUTHIBITISHIE HATA JINA "BIBLIA" KAMA LIPO POPOTE LILIPOANDIKWA NDANI YA BIBLIA.. ACHANA NA COVER...
Yaani utafiti ufanywe na mwarabu,halafu ukosoe Quran!Ili tuamini hadithi za Quran;chukua mwili wa mnayemwita Firauni pale misri,chimbeni shimo hadharani,mfukieni,halafu kaburi lilindwe na wanajeshi wa magharibi huku CCTV camera zikiwa on 24:7 tukifuatilia live ardhi ikimtema.Uone kama kutakuwa na uislam dunianjKitu kuwa sawa baina ya Quran na Biblia ni kawaida kumbuka Quran imekuja ku update hivyo vitabu baada ya kuwa corrupted.
Hivyo si jambo la ajabu kitu ambacho kipo corrupted kuwa na mambo mengine sahihi na mengine sio sahihi.
Nitakupa mfano kwenye Quran Aya zote zinazomhusu Yusuf zinamtambulisha kiongozi wa Egpty kama Mfalme, na Aya zote zinazomhusu Musa zinamtambulisha kiongozi wa Egpty kama pharaoh. Ila kwenye Bible kipindi cha Yusuf ama Musa kote anaitwa pharaoh.
Gunduzi za karibuni baada ya watu ku decipher ancient Egpty language zinaonesha Pharaoh ni cheo cha kidini, kipindi cha Yusuf mfalme alitoka Syria na alikuwa na miungu yake tofauti na Ya Egpty na aliikataa miungu ya Egpty hivyo hakuwa Pharaoh.
So kihistoria Quran ipo sahihi mfalme wa Egpty kipindi cha Yusuf hakuwa Pharaoh, pharaoh alikuwa kipindi cha Musa, hivyo unaona hapa Quran ime correct kosa la Bible.
Si hii tu kuna Story nyingi sana za Nyuma ambazo tech ya sasa ime prove Quran ipo sahihi na Bible haijaelezea, ukipata Muda pia pitia Story ya Ibrahim na miungu ya watu wake kama Moon, sun na Venus, Quran ipo specific kabisa waliabudi Venus, kitu ambacho Tafiti za sasa zinakubali.
Naona unarukaruka tu.Kwamba imekuja kukamilisha yaliyotangulia.Si ndo amekuambia utuoneshe torati,zaburi na injili zilizo sahihi ambàzo Muhammad amekuja kuzikamilisha.Hizo bla bla ndo zinazozidi kutuaminisha kuwa Muhammad ni muongo.Unawezaje kusema torati,zaburi na injili zimetiwa mikono wakati original huna?tutakuamini vipi?[emoji23][emoji23][emoji23]Defensive mechanism cha kwanza we hujui chochote upo tu..ukienda kweny forex utakuta kitabu kinaitwa candle bible...turejee kweny maana ya biblia na je biblia ilishushwa au aliandika na Paulo na watu wa Italy.
Bible ni mkusanyiko means vitabu vilikusanywa na sio sehemu ya kitabu cha mungu ila walikusanya vitabu kwa kubadilisha kwa maana iyo hata mimi naweza kukusanya vitabu vya chemistry ,physics na biology kikawa kitabu kimoja nikaita "science bible
Hatubishani wala hatueleti maongezi mengi maana Aya za qur an huzitaki basi tutumie common sense na upeo wa akili.
Mimi nakuambia bible sio kitabu cha mungu kwa asilimia 100 kabisa ..
Ntakuonyesha series ya vitabu kama vitabu kama torat ,zabur ,injili na qur an .hivyo ni vitabu vya mwenyewe mungu.
Ndo maana qur an imekuja kusadifu yaliyopita ..je izo habari za huko nyuma walijuaje kupitia bible kama mtoa mada anavyosema kwamba walikuwepo wakati yanatendeka [emoji23][emoji23][emoji23]hao mitume zama zao zilipita kwa kipind fulani ambacho ni ngumu kwa mtu kuona mitume yote katika zama zote tangu Adam.
Vitabu vimeshushwa kuleta muendeleo ndo maana Kuna mitume mingi walishushwa kutokana na zama ...
Ntakupa baadhi ya hints biblia imeandikwa kupotosha sio kitabu cha mungu ..ndani ya biblia hakuna neno ukristo ni dini, hakuna sehemu kwamba yesu ni mungu ,Kuna sehemu mungu kaitwa mpumbavu
kwanza usibadilike badilike na id mpya , unaogopa kitu gani ??Yaani utafiti ufanywe na mwarabu,halafu ukosoe Quran!Ili tuamini hadithi za Quran;chukua mwili wa mnayemwita Firauni pale misri,chimbeni shimo hadharani,mfukieni,halafu kaburi lilindwe na wanajeshi wa magharibi huku CCTV camera zikiwa on 24:7 tukifuatilia live ardhi ikimtema.Uone kama kutakuwa na uislam dunianj
Ili Quran iwe kitabu cha kweli ni lazima ilete torati,injili,na zaburi original ili tuone hayo yaliyomo humo kama yanarandana na Quran.Vinginevyo itabaki kuwa hivi;MUNGU wa biblia ni tofauti kabisa na wa quran.
Sasa unataka kusema torat iliandika Aya inayosema "upumbavu wa mungu" una akili kweli?Naona unarukaruka tu.Kwamba imekuja kukamilisha yaliyotangulia.Si ndo amekuambia utuoneshe torati,zaburi na injili zilizo sahihi ambàzo Muhammad amekuja kuzikamilisha.Hizo bla bla ndo zinazozidi kutuaminisha kuwa Muhammad ni muongo.Unawezaje kusema torati,zaburi na injili zimetiwa mikono wakati original huna?tutakuamini vipi?
Naona unarukaruka tu.Kwamba imekuja kukamilisha yaliyotangulia.Si ndo amekuambia utuoneshe torati,zaburi na injili zilizo sahihi ambàzo Muhammad amekuja kuzikamilisha.Hizo bla bla ndo zinazozidi kutuaminisha kuwa Muhammad ni muongo.Unawezaje kusema torati,zaburi na injili zimetiwa mikono wakati original huna?tutakuamini vipi?
|
| Matthew 6:13: The Lord's Prayer traditionally ends: "For thine is the kingdom, and the power, and the glory, for ever. Amen." This seems to have been absent from the original writings. 6 |
|
| Matthew 17:21 is a duplicate of Mark 9:29. It was apparently added by a copyist in order to make Matthew agree with Mark. But Mark 9:29 also contains a forgery*; this makes Matthew 17:21 a type of double-layered forgery*. 5 |
|
| John 7:53 to 8:11: One of the most famous forgeries* in the Bible is the well-known story of the woman observed in adultery. It was apparently written and inserted after John 7:52 by an unknown author, perhaps in the 5th century CE. This story is often referred to as an "orphan story" because it is a type of floating text which has appeared after John 7:36, John 7:52, John 21:25, and Luke 21:38 in various manuscripts. Some scholars believe that the story may have had its origins in oral traditions about Jesus. It is a pity that the status of verses John 8:1-11 are not certain. If they were known to be a reliable description of Jesus' ministry, they would have given a clear indication of Jesus' stance on the death penalty. |
|
| Mark 9:29: Jesus comments that a certain type of indwelling demon can only be exorcised through "prayer and fasting" (KJV) This is also found in the Rheims New Testament. But the word "fasting" did not appear in the oldest manuscripts. 5 Many new English translations have dropped the word. |
|
| Mark 16:9-20: The original version of Mark ended rather abruptly at the end of Verse 8. Verses 9 to 20, which are shown in most translations of the Bible, were added later by an unknown forger*. The verses were based on portions of Luke, John and other sources. |
|
| Luke 3:22: This passage describes Jesus' baptism by John the Baptist. According to Justin Martyr, the original version of this verse has God speaking the words: "You are my son, today have I begotten thee." Justin Martyr, Clement of Alexandria, Augustine, and other ancient Christian authorities also quoted it this way. 1 The implication is that Jesus was first recognized by God as his son at the time of baptism. But a forger* altered the words to read: "You are my son, whom I love." The altered passage conformed more to the evolving Christian belief that Jesus was the son of God at his birth, (as described in Luke and Matthew) or before the beginning of creation (as in John), and not at his baptism. |
|
| John 5:3-4: These verses describe how "a great multitude" of disabled people stayed by the water. From time to time an angel arrived, and stirred the waters. The first person who stepped in was cured. This passage seems strange. The process would not be at all just, because the blind could not see the waters being stirred, and the less mobile of the disabled would have no chance of a cure. Part of Verse 3 and all of Verse 4 are missing from the oldest manuscripts of John. 3 It appears to be a piece of free-floating magical text that someone added to John. |
|
| John 21: There is general agreement among liberal and mainline Biblical scholars that the original version of the Gospel of John ended at the end of John 20. John 21 appears to either be an afterthought of the author(s) of John, or a later addition by a forger*. Most scholars believe that the latter occurred. 4 |
|
| 1 Corinthians 14:34-35: This is a curious passage. It appears to prohibit all talking by women during services. But it contradicts verse 11:5, in which St. Paul states that women can actively pray and prophesy during services. It is obvious to some theologians that verses 14:33b to 36 are a later addition, added by an unknown counterfeiter* with little talent at forgery.* Bible scholar, Hans Conzelmann, comments on these three and a half verses: "Moreover, there are peculiarities of linguistic usage, and of thought. [within them]." 2 If they are removed, then Verse 33a merges well with Verse 37 in a seamless transition. Since they were a later forgery*, they do not fulfill the basic requirement to be considered inerrant: they were not in the original manuscript written by Paul. This is a very important passage, because much many denominations opposition to female ordination is based on these verses. |
|
| Revelation 1:11: The phrase "Saying, I am Alpha and Omega, the first and the last: and," which is found in the King James Version was not in the original Greek texts. It is also found in the New King James Version (NKJV) and in the 21st Century King James Version (KJ21) The latter are basically re-writes of the original KJV. Modern English, is used, but the translators seem to have made little or no effort to correct errors. The Alpha/Omega phrase
|
Haya nipe maana ya jina mungu Kwa lugha ya kiarabu, kama personal name ya mungu wao ni Allah.
God In Different Languages
- GERMAN. Answer. GOTT.
- FRENCH. Answer. DIEU.
- ROMANIAN. Answer. DUMNEZEU.
- GREEK. Answer. THEOS.
- JAMAICA. Answer. JAH ('J' for short)
- ARABIC. Answer. ALLAH.
- FARSI. Answer. KHODA.
- PORTUGUESE. Answer. DEUS.
|
| Genesis, Exodus, Leviticus, Numbers and Deuteronomy (a.k.a. The Pentateuch, the 5 Books of Moses, the Books of the Law, the Law, the Torah). These state in numerous places that they were written by Moses. Most conservative Christians accept this statement. But mainline and liberal theologians have long accepted the "Documentary Hypothesis" which asserts that the Pentateuch was written by a group of four authors, from various locations in Palestine, over a period of centuries. Each wrote with the goal of promoting his/her own religious views. A fifth individual cut and pasted the original documents in to the present Pentateuch. |
|
| The authors of the gospels claim to have been eyewitnesses of Jesus' ministry. Yet most liberal theologians believe that the gospels were written during the approximate interval 66 to 110 CE by anonymous writers who had only second-hand or third-hand knowledge about Jesus, and who incorporated oral material that had materialized after Jesus' death. |
|
| The text of various Pauline epistles state that they were written by Paul. However, liberal theologians believe that Ephesians, 2 Thessalonians, 1 & 2 Timothy and Titus were written by persons unknown, mostly in the 2nd century, many decades after Paul's death. |
|
| Other epistles of unknown authorship, according to religious liberals, are Hebrews, James, 2 Peter, 1, 2 & 3 John, and Jude. |
|
| Religious liberals have concluded that Revelation was written by an unknown author - perhaps a Jewish Christian whose primary language was Aramaic. |
Umepata wapi hiyo kwamba 'I am who I am" kuwa ni tafsiri ya neno Yehova? Hilo la kwanza, pili kama Yehova ndio jina la hasa lenyewe la Mungu imekuaje kwamba toka Adam huko lisijulikane jina la Mungu ila lije kujulikana wakati wa Musa, ni miaka mingapi watu imepita hapo bila jina la Mungu kujulikana? Tatu kama hilo ndio jina la halisi la Mungu kwanini lisitumike kama na matokeo kutumika au kutafsirika neno "Bwana"? Ukiangalia hiyo Kutoka 3:15 utaona halijatumika hilo Yehova.Yahweh means “ I am who I am”
God's Name Is Almost Always Translated Lord In The English Bible. But the Hebrew would be pronounced something like “Yahweh,” and is built on the word for “I am.”
Kutoka 3:13
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO, amenituma kwenu.
Exodus 3:14
14 God said to Moses, “I am who I am.[a] This is what you are to say to the Israelites: ‘I am(A) has sent me to you.’”
Unajua lakini maana ya Personal name?
Ni kweli Mungu wa Biblia ni TOFAUTI KABISA NA MUNGU WA QUR'AN KWA HOJA ZIFUATAZO;Ili Quran iwe kitabu cha kweli ni lazima ilete torati,injili,na zaburi original ili tuone hayo yaliyomo humo kama yanarandana na Quran.Vinginevyo itabaki kuwa hivi;MUNGU wa biblia ni tofauti kabisa na wa quran.
Haya nipe maana ya jina mungu Kwa lugha ya kiarabu, kama personal name ya mungu wao ni Allah.
God In Different Languages
- GERMAN. Answer. GOTT.
- FRENCH. Answer. DIEU.
- ROMANIAN. Answer. DUMNEZEU.
- GREEK. Answer. THEOS.
- JAMAICA. Answer. JAH ('J' for short)
- ARABIC. Answer. ALLAH.
- FARSI. Answer. KHODA.
- PORTUGUESE. Answer. DEUS.
Umepata wapi hiyo kwamba 'I am who I am" kuwa ni tafsiri ya neno Yehova? Hilo la kwanza, pili kama Yehova ndio jina la hasa lenyewe la Mungu imekuaje kwamba toka Adam huko lisijulikane jina la Mungu ila lije kujulikana wakati wa Musa, ni miaka mingapi watu imepita hapo bila jina la Mungu kujulikana? Tatu kama hilo ndio jina la halisi la Mungu kwanini lisitumike kama na matokeo kutumika au kutafsirika neno "Bwana"? Ukiangalia hiyo Kutoka 3:15 utaona halijatumika hilo Yehova.
Haya nipe maana ya jina mungu Kwa lugha ya kiarabu, kama personal name ya mungu wao ni Allah.
God In Different Languages
- GERMAN. Answer. GOTT.
- FRENCH. Answer. DIEU.
- ROMANIAN. Answer. DUMNEZEU.
- GREEK. Answer. THEOS.
- JAMAICA. Answer. JAH ('J' for short)
- ARABIC. Answer. ALLAH.
- FARSI. Answer. KHODA.
- PORTUGUESE. Answer. DEUS.
Ni kweli Mungu wa Biblia ni TOFAUTI KABISA NA MUNGU WA QUR'AN KWA HOJA ZIFUATAZO;
1. Mungu wa Qur'an ni Mungu moja asiye na Mshirika katika UUNGU WAKE wakati Mungu wa Biblia ni Mungu katika nafsi TATU.
2. Mungu wa Qur'an ni Mungu ambaye yupo karibu zaidi kwa WAJA wake na hahitaji daraja kati yake na WAJA wake kumfikia katika kuomba haja zao WAKATI Mungu wa Biblia ni lazima iwe kupitia YESU KROSTO...
3. MUNGU wa Qur'an ndiyo huyo aliyeshusha Zaburi, Torati, Injili na Furqan kama miongozo kwa wanadamu katika maisha yao ya duniani na baada yake...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣1. Mungu WA Biblia sio Mungu WA utatu. Na Hana mshirika.
Acha kusema uongo.
Tupe andiko au Aya yoyote kwenye Biblia inayothibitisha maneno yako.
Kumbukumbu la Torati 32:39
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu,
2. Mungu WA Biblia, Yehova yupo karibu
Isaya 55:6
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;
Kuweka watu au viumbe ambao wapo katikati haimaanishi kuwa yupo Mbali. Kwa no HAO viongozi au viumbe aliowaweka wanafanya Kwa amri yake.
Yeye ndiye aliyeagiza.
3. Mungu WA Quran hajawahi kushusha Torati, injili, na zaburi na hatakuja kuishusha kwani :vitabu hivyo vimeshushwa na Yehova Mungu wa Wayahudi, na viliandikwa na Wayahudi.
Soma maandiko haya, anayetajwa hapa ni Mungu Yehova, anazungumza na waisrael na wala sio jamii nyingine yoyote; Allah ni mungu wa waarabu.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Kutoka 6:6
Basi waambie wana wa Israeli, Mimi ni YEHOVA, nami nitawatoa ninyi mtoke chini ya mizigo ya Wamisri, nami nitawaokoa na utumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyoshwa, na kwa hukumu kubwa;
Kutoka 6:7
nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwatoaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.
Kutoka 6:8
Nami nitawaleta hata nchi ile ambayo naliinua mkono wangu, niwape Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo; nitawapa iwe urithi wenu; Mimi ni YEHOVA.
mwisho Acha uongo...
Kitu pekee ungesema kuweka Sawa maneno yako ungesema Allah kaiba maandiko ya Yehova ungeeleweka
1. Mungu WA Biblia sio Mungu WA utatu. Na Hana mshirika.

"...in the sixteenth century, Carlstadt, a contemporary of Luther, commented that the account of Moses' death is written in the same style as texts that precede it. This makes it difficult to claim that Joshua or anyone else merely added a few lines to an otherwise Mosaic manuscript." 9
Itakuwa dawa imeanza kufanya kaziUwongo wenu mkaufundishe huko Madrasa.
Pimbi mkubwa wewe. KING KIGODA,
Ni wakala wa Majini kama Muhammadi.