Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Umepitiwa kidogo hapa mtaalamu.

Allah ni Jina yaani Proper name
Mungu kwa kiarabu ni illah.

Angalia kwenye shahada yao.

Laa illah=Hakuna Mungu
Ilaa Allah=Isipokuwa Allah.
Muhamadi Rasul-illah=Na Muhamadi ni mtume wa Mungu.

Watu wengi wanachanganya sana kati ya Allah na illah, hata waislamu wenyewe hasa wanao kremu tu lugha ya kiarabu bila kuifahamu.

Allah ni Jina la Mungu wa Waarabu wa kabla ya kuzaliwa Muhammadi.

Niishie hapo.
Upo sahihi 100%
Nili mix kidogo ,nimerejea upo sahihi
 
QUR'AN ILIKOPI SEHEMU ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA [YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI ]

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

SWALI LETE ANDIKO MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA HAMJAKOPI BIBLIA

[emoji818]Mwanzo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.

¹⁰ Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

MUNGU WETU ALIZIPA BAHARI MIPAKA YAKE USHAHIDI HUU HAPA KABLA YA MUHAMMAD KUZALIWA NA KABLA YA QUR-AN YENU KUANDIKWA

[emoji818]”Mithali 8:29 “Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;

[emoji818]Zaburi 24 (Biblia Takatifu)

¹ Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

² Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

PAUL NDIYE WA KWANZA KUFIKA HAPO KABLA YA MUHAMMAD WENU KWENYE BAHARI CHUMVI NA BAHARI TAMU USHAHIDI HUU HAPA KASOMA MATENDO 27:1-44[emoji16][emoji16]

[emoji818]Matendo ya Mitume 27:41 “Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

QURAN IMEKOPI BIBLIA NA IMEKOPI ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI USHAHIDI HUU HAPA

[emoji818]SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA SI KOPI YA KUTOKA KWA PAULO MATENDO 27:41

[emoji818]Quran 55:18-20

18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?

19. Anaziendesha bahari mbili zikutane;

20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane

[emoji818]Quran 25:53. Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]ASALAAM ALEIKUM
FB_IMG_1668241695545.jpg
 
Ok haya mjibu hivyo huyo mwenzio halafu tuone.
HERUFI ZA MUNGU WENU WAISLAM NI IPI HAPA KAMA UMESOMA QURAN YOTE NA UNAJUA KIARAABU

Quran 1:1
بِسْمِ[emoji118] اللَّهِ[emoji117] الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(Quran 1: 1) KWA JINA LA [emoji117]MWENYEZI MUNGU[emoji118] MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

قُلْ هُوَ [emoji118]اللَّهُ [emoji117]أَحَدٌ

(Quran 112: 1) Sema: Yeye [emoji117]Mwenyezi Mungu[emoji118] ni wa pekee.

NJOO TENA HAPA[emoji3593][emoji3593][emoji3593][emoji3593]

TUPE HERUFI SAHIHI YA MUNGU WAKO UNAYEMWABUDU HAPA*

1[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
l-lahi
ٱللَّهِۙ
2[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
l-lahi
ٱللَّهِ
3[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
lillahi
لِلَّهِ
4[emoji810][emoji810][emoji810]
lillahi
لِلَّهِ
5[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
l-lahu
ٱللَّهُ
6[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
al-lahu
ٱللَّهُ
7[emoji810] [emoji810][emoji810][emoji810]
walillahi
وَلِلَّهِ
8[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
wal-lahu
وَٱللَّهُ
9[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
l-laha
ٱللَّهَ
10 [emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
l-laha
ٱللَّهَۚ

11[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
I-laha
الله
12[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

Allaahu
ُ الله
13 [emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

li-llaahi
لله
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

assalamualaikum Aleikumu
FB_IMG_1668242122453.jpg
 
يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا
Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.

Hapa mzee wa kukopi NA kupesti aliwadanganya waislam kuwa mariam ni Dada yake haruni NA hii ni kutokana na kukosa elimu hata ya darasa la saba
 
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

(AL - AH'QAAF - 9)
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Unaonaje umelipa nauli halafu basi au ndege au meli uliyopanda huko mnakoenda dereva hapajui?

Bila Shaka atawapoteza abiria wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yesu anasema tumwamini yeye kwasababu ameenda kutuandalia makao ili alipo yeye na Sisi tuwepo hapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا
Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.

Hapa mzee wa kukopi NA kupesti aliwadanganya waislam kuwa mariam ni Dada yake haruni NA hii ni kutokana na kukosa elimu hata ya darasa la saba
Ukitaka majibu fungua thread, naona unahangaika tu.
Kwa hivyo hapo alikopia biblia ?
 
QUR'AN ILIKOPI SEHEMU ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA [YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI ]

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

SWALI LETE ANDIKO MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA HAMJAKOPI BIBLIA

[emoji818]Mwanzo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.

¹⁰ Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

MUNGU WETU ALIZIPA BAHARI MIPAKA YAKE USHAHIDI HUU HAPA KABLA YA MUHAMMAD KUZALIWA NA KABLA YA QUR-AN YENU KUANDIKWA

[emoji818]”Mithali 8:29 “Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;

[emoji818]Zaburi 24 (Biblia Takatifu)

¹ Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

² Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

PAUL NDIYE WA KWANZA KUFIKA HAPO KABLA YA MUHAMMAD WENU KWENYE BAHARI CHUMVI NA BAHARI TAMU USHAHIDI HUU HAPA KASOMA MATENDO 27:1-44[emoji16][emoji16]

[emoji818]Matendo ya Mitume 27:41 “Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

QURAN IMEKOPI BIBLIA NA IMEKOPI ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI USHAHIDI HUU HAPA

[emoji818]SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA SI KOPI YA KUTOKA KWA PAULO MATENDO 27:41

[emoji818]Quran 55:18-20

18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?

19. Anaziendesha bahari mbili zikutane;

20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane

[emoji818]Quran 25:53. Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]ASALAAM ALEIKUMView attachment 2414254

Huyu mkristo mwenzenu amekwenda mote anaelezealakini mnapenda ubishi hamtafuti ukweli

Unapinga nachoeleza bila hoja za msingi na kulazimisha unachoeleza wewe ndio kiwe sahihi. Mimi nimejenga hoja kwamba hata kwenye biblia Mungu amekuwa akitumia majina tofauti tofauti na hilo jina Yehova limekuja wakati wa Musa ila wewe unakataa kwamba hana majina mengine na kwamba jina lake ni Yehova tu.
Sasa najiuliza kabla ya Musa hakukuwa na Mungu au kwamba hakujulikana ni Mungu yupi hadi wakati wa Musa?

Ukisema Yehova hana kitabu cha Qur'an hapo umetumia hoja gani kupinga ndio hiyo tofauti ya jina Yehova na Allah? Kama hivyo je tuseme Mungu wa Ibrahimu hakuwa Yehova pia au kipi kibachokufanya ukubali kuwa Mungu wa Ibrahimu ndio huyo Yehova?

Mbona kama huelewi Kiswahili ndugu wakili.
Embu soma haya maandiko vizuri,

Maandiko yanasema Yehova ni mungu aliyemtokea Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ila tofauti ni kuwa Kwa hao hakujitambulisha jina lake.
Soma;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

kweli akili ni Mali.
Allah ni mungu wa waarabu, hawezi kuandika torati, injili, na zaburi ambayo ni vitabu vya Wayahudi ambao Mungu wao ni Yehova.

Na Yehova hawezi andika Quran kwani Quran ni kitabu cha Allah mungu wa waarabu.

Hoja iliyopo mezani kuwa iweje Allah aibe maandiko ya Yehova na kumpatia Muhammad? Alafu akayaita Quran?

Wapi hauelewi Mkuu.

Ni Sawa wachina waseme Budha kitabu chake ni Quran Jambo ambalo sio Kweli.

Unasema Mungu WA Ibrahimu Hakuwa Yehova wakati Aya hapo juu inajieleza kuwa Yehova aliwatokea Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Soma na hapa maneno ya Yehova Mungu aliyemtokea Musa;
Kutoka 3:15
Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
 
Wakuu! Naomba mnisaidie App zuri ya kusoma Quran na Bible kwenye simu! Naomba mnisaidie… Hasa story za Muhammad. Asanteni kwa msaada wenu
 
Usijitoe ufahamu, mimi nimekwambia kwamba kwenye biblia Mungu ana majina mengi alikuwa akiyatumia ila wewe ukapinga na kusema jina la Mungu wa biblia ni moja tu ambalo ni Yehova/Jehova na wakati amejitambulisha kwa jina hilo wakati wa Musa. Kwahiyo tatizo hapo ni wewe kukataa hayo majina mengine ya Mungu katika biblia.

Ukisema kwamba Yehova ni Mungu wa wayahudi na Allah ni Mungu wa Waarabu basi nitakuuliza sie waafrika Mungu wetu ni yupi na sisi?
 
Wakuu! Naomba mnisaidie App zuri ya kusoma Quran na Bible kwenye simu! Naomba mnisaidie… Hasa story za Muhammad. Asanteni kwa msaada wenu
Kusoma Qur'an au unataka tafsiri ya Qur'an?
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.

Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;

1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.

Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.

Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo![emoji3][emoji3]

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.

Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.

Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?

Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.

Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?

Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.

Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.

5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.

Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.

Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.

Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.

7. Mtiririko na visa na matukio ya Kihistoria.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa Kwa kufuata mtiririko wa visa na matukio unaoleweka. Kuanzia kisa cha Adamu mpaka Yusufu anachosimulia Musa, Kisha tawala za dunia kama Tawala la Nimrodi, kisha tawala la mafarao, kisha tawala la Waashuru na Wakaldayo, kisha wakafuata Waajemi na Wamedi, kisha wakafuata Wayunani/wagiriki, kisha wakafuata Warumi ndipo alipozaliwa Yesu.
Lakini Quran haina mtiririko wa visa na matukio, kumaanisha haiwezi kutumika hata shuleni Kama rejea za kihistoria kuhusu tawala, au mambo ya kuitawala au Kisiasa kwani Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.

Quran inaweza kuulizwa swali, Yesu alizaliwa wakati WA utawala gani na wanani na ukashindwa kujibu?
Kimahakama Quran kama haijui baadhi ya taarifa muhimu kama Zama na Maeneo husika ya tukio lilipotukia haiwezi kutumika kama Rejea au ushahidi muhimu katika mambo ya Kidini.

Kwa mfano; Issa kazaliwa kwenye mtende Kwa mujibu wa Quran lakini haielezi ni eneo gani au nchi gani Issa alizaliwa, hata Hapa Tanzania ipo mitende, hii ni tofauti na Biblia inataja na kuelezea visa katika mtiririko uliokamilika.

8. KUjitosheleza, kujitegemea na kutoa taarifa zote muhimu.
Biblia inajitosheleza na kujitegemea Biblia kuhusisha kitabu kingine. Msomaji yeyote wa Biblia akimaliza kuisoma hatahitaji rejea za kitabu kingine.
Mfano msomaji akisoma kisa cha Yakobo, atajua Yakobo alizaliwa wapi, ndugu yake ni Nani, Routes zake zote, wake zake, watoto wake na umri wake mpaka anakufa. Kwa nini aliitwa Yakobo, ikawaje akabadilishwa jina n.k
Lakini Quran haijitoshelezi haina hizo taarifa muhimu. Hivyo kuifanya Quran kuwa tegemezi Kwa vitabu vingine.

Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili kwa hoja.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Maelezo yako yoooote yanamaanisha ukweli kwamba Muhammad Swalallahu alaayhi wa sallam amepewa wahai na sio kuwa ametamka kwa mapenzi yake na ndyo maana ameyongea mangi ya kweli aliyo yaona na asio yaona ila ameyaeleza kwa ukweli mtupu yaliokuwepo wakati wake na yaliyo pita kabla yake ila ameyaelezea kiukweli mtupu. Nikukumbushe tu kuwa huyo Muhammad unajitahidi kumponga hakuwa msomi hivyo yeye sio mtunzi wala mwana mashahiri jiulize aliyajuaje hayo?? Nakma hnahisi alikuwa msomi basi acha kuwafuata wasomi wa sayansi pekeyao anza na yeye Muhammad kwasababu atakuwa ni msomi mbobezi wa masuala ya dunia uungu imani vifo majanga nk.
 
Waarabu walikuwa na miungu mingi huyo Allah ni moja ya miungu waliyokuwa wanaiabudu. Huwezi sema walikuwa wanaabudu Allah wengi. Niambie Kwa Neno mungu Kwa kiarabu linamaanisha nini maana ninaweza kukutajia Majina ya miungu ya kiarabu hata Mia moja.

Hata soma jina la mungu kulingana na Biblia;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Mungu WA waingereza haitwa God,
Alafu hii hoja tumejadili huko juu. Ungepitia hoja za juu kabla haujakurupuka.
Code:
Aliyeteremsha Torati, zaburi na Injili anaitwa Yehova/Yahwe/ Jehova Kwa Kiswahili "Niko ambaye Niko"

Alafu mungu wa Quran anaitwa Allah bado huoni kama kuna haja ya shauri kusikilizwa?
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili

Kwa kila lugha kuna jina la Mungu kwa lugha hiyo linalo tamkwa kwa matamshi tofauti na lugha nyingine.
Nimekuwekea hapo juu mifano.
Kulazimisha kwako ujinga wa kupinga kwa makusudi,mimi hakuniathiri chochote.Ila ni wewe ndiye unayejiabisha kwa kuonesha wadau wanaopitia hapa empty head.
Yaani Mungu anavyohitwa na kutamkwa kwa Kihaya ndiyo ahitwe hivyo hivyo na kwa matamshi yaleyale na Wamasai!?

Code:
Hata soma jina la mungu kulingana na Biblia;
Kutoka 6:2 
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA; 
Kutoka 6:3 
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Ila hili alotamka Yesu halipo kwenye huo mkapu wa vitabu eee!?

Marko 15:34
34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Wewe umekaririshwa Yehova unataka sote tuwe vilaza kama wewe!.
 
Kwa Uelewa wako hao miungu uliowataja wote walimuumba Adamu na Hawa?
Mkiambiwa msome hamtaki. Haya ndio matokeo yake Sasa.

Na Kwa Uelewa wako nafikiri ninyi ndio mnaofikiri mungu wa waarabu ndio huyohuyo mungu wa wayahudi.
Yaani Yehova na Allah ni yuleyule
Allah na Buddha ni Yule Yule.

Na sio ajabu ukarikiri Rais Ruto na Kagame ni mtu mmoja.
Hapo ndio utajua kuwa elimu na utambuzi ni kitu muhimu
Code:
Na sio ajabu ukarikiri Rais Ruto na Kagame ni mtu mmoja.
Hapo ndio utajua kuwa elimu na utambuzi ni kitu muhimu

Ni kweli kabisa utambuzi wako na mdogo mno! Maana umeshindwa hata kutambua kuwa DUNIA NI MOJA TU NA HIVYO MMIRIKI WAKE NI MMOJA TU PIA.

[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Wewe unaleta comparison za kijinga ukifikiri sote tumeshikiwa akili kama wewe!.

DUNIA NI MOJA NA MUNGU NI MMOJA.

Code:
Na Kwa Uelewa wako nafikiri ninyi ndio mnaofikiri mungu wa waarabu ndio huyohuyo mungu wa wayahudi.
Yaani Yehova na Allah ni yuleyule 
Allah na Buddha ni Yule Yule.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Marko 15:3

34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Akili zako sasa zinakuambia kuwa Mungu wa Musa ni JEHOVA na Mungu wa Yesu ni ELOI sindiyo!?

EBU KACHUKUE KWANZA AKILI ZAKO ULIKOSHIKIWA NDIYO URUDI KUJADILIANA NA MIMI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usijitoe ufahamu, mimi nimekwambia kwamba kwenye biblia Mungu ana majina mengi alikuwa akiyatumia ila wewe ukapinga na kusema jina la Mungu wa biblia ni moja tu ambalo ni Yehova/Jehova na wakati amejitambulisha kwa jina hilo wakati wa Musa. Kwahiyo tatizo hapo ni wewe kukataa hayo majina mengine ya Mungu katika biblia.

Ukisema kwamba Yehova ni Mungu wa wayahudi na Allah ni Mungu wa Waarabu basi nitakuuliza sie waafrika Mungu wetu ni yupi na sisi?

Nilikuambia unipe aya moja ambayo Mungu anajitambulisha Kwa Majina mengi hujaleta mpaka Sasa.
 
Mbona kama huelewi Kiswahili ndugu wakili.
Embu soma haya maandiko vizuri,

Maandiko yanasema Yehova ni mungu aliyemtokea Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ila tofauti ni kuwa Kwa hao hakujitambulisha jina lake.
Soma;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

kweli akili ni Mali.
Allah ni mungu wa waarabu, hawezi kuandika torati, injili, na zaburi ambayo ni vitabu vya Wayahudi ambao Mungu wao ni Yehova.

Na Yehova hawezi andika Quran kwani Quran ni kitabu cha Allah mungu wa waarabu.

Hoja iliyopo mezani kuwa iweje Allah aibe maandiko ya Yehova na kumpatia Muhammad? Alafu akayaita Quran?

Wapi hauelewi Mkuu.

Ni Sawa wachina waseme Budha kitabu chake ni Quran Jambo ambalo sio Kweli.

Unasema Mungu WA Ibrahimu Hakuwa Yehova wakati Aya hapo juu inajieleza kuwa Yehova aliwatokea Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Soma na hapa maneno ya Yehova Mungu aliyemtokea Musa;
Kutoka 3:15
Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
Code:
Na Yehova hawezi andika Quran kwani Quran ni kitabu cha Allah mungu wa waarabu.

Nijichekee tu maana watu vichwani wamebaki na makopo tu.

MWARABU NA BABA WA IMANI HUYO HAPO!
4-Abraham-journey-2.jpg
 
Code:
Aliyeteremsha Torati, zaburi na Injili anaitwa Yehova/Yahwe/ Jehova Kwa Kiswahili "Niko ambaye Niko"

Alafu mungu wa Quran anaitwa Allah bado huoni kama kuna haja ya shauri kusikilizwa?
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili

Kwa kila lugha kuna jina la Mungu kwa lugha hiyo linalo tamkwa kwa matamshi tofauti na lugha nyingine.
Nimekuwekea hapo juu mifano.
Kulazimisha kwako ujinga wa kupinga kwa makusudi,mimi hakuniathiri chochote.Ila ni wewe ndiye unayejiabisha kwa kuonesha wadau wanaopitia hapa empty head.
Yaani Mungu anavyohitwa na kutamkwa kwa Kihaya ndiyo ahitwe hivyo hivyo na kwa matamshi yaleyale na Wamasai!?

Code:
Hata soma jina la mungu kulingana na Biblia;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Ila hili alotamka Yesu halipo kwenye huo mkapu wa vitabu eee!?

Marko 15:34
34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Wewe umekaririshwa Yehova unataka sote tuwe vilaza kama wewe!.

Kwa hiyo Allah ni Buddha?

Kusema mungu wangu Mungu wangu haimaanishi lolote mahakamani kwani haijamtaja ni Mungu yupi.
Lakini mahakama itaangalia anayesema Mungu wangu ni Nani, Kama ni yesu basi mahakama itajua anayerejelewa hapo ni mungu aitwaye Yehova
 
Maelezo yako yoooote yanamaanisha ukweli kwamba Muhammad Swalallahu alaayhi wa sallam amepewa wahai na sio kuwa ametamka kwa mapenzi yake na ndyo maana ameyongea mangi ya kweli aliyo yaona na asio yaona ila ameyaeleza kwa ukweli mtupu yaliokuwepo wakati wake na yaliyo pita kabla yake ila ameyaelezea kiukweli mtupu. Nikukumbushe tu kuwa huyo Muhammad unajitahidi kumponga hakuwa msomi hivyo yeye sio mtunzi wala mwana mashahiri jiulize aliyajuaje hayo?? Nakma hnahisi alikuwa msomi basi acha kuwafuata wasomi wa sayansi pekeyao anza na yeye Muhammad kwasababu atakuwa ni msomi mbobezi wa masuala ya dunia uungu imani vifo majanga nk.

Kabla Muhammad hajapewa Wahai/ufunuo unajua Allah alikuwa anaabudiwa na waarabu?
 
Kwa hiyo Allah ni Buddha?

Kusema mungu wangu Mungu wangu haimaanishi lolote mahakamani kwani haijamtaja ni Mungu yupi.
Lakini mahakama itaangalia anayesema Mungu wangu ni Nani, Kama ni yesu basi mahakama itajua anayerejelewa hapo ni mungu aitwaye Yehova
Kesi closed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom