hahahaha kwaio miungu kaziyao nikuandaa matukio yao nakuyaleta kwetu?.nakama mungu wamuhamadi ameyajua matukio ya miungu yawatu wazamani huoni kua nimungu mwenye uwezo mkubwa sana?Sasa Hilo swali muulize Allah imekuwaje Adobe Stori za Wayahudi walivyosaidiwa na Mungu wao aitwaye Yehova akampa Muhammad badala ya kuandaa matukio yake
hivi dunia,sayari nyingine na vilivomo ndani yake mmiliki wake ninani au alie viumba ninani? natamani unijibuNdio utaulizwa mahakamani Mungu wa Wayahudi anaitwa Allah?
Maana Mungu WA Wayahudi ndiye aliyeshusha Torati, injili na zaburi.
Pia kutaulizwa huyo Mungu wa Wayahudi alishusha vp hiyo Torat,Zabur na Injili?Ndio utaulizwa mahakamani Mungu wa Wayahudi anaitwa Allah?
Maana Mungu WA Wayahudi ndiye aliyeshusha Torati, injili na zaburi.
Masuala ya Mungu ni imani ndio maana kuna imani tofauti kuhusu Mungu na miungu, sasa wewe unafanya kuwa ni fact huo mtazamo au imani ya kwamba kila jamii ina mungu wake wa asili. Huko Asia kuna jamii zimechukua imani za Asili ya India huko.Ndio maana nikakuambia unasafari ndefu kama unafikiri wachina mungu wao ni Allah, au wahindi Mungu wao ni Jehovah.
Ni mtu pekee asiyeitumia akili yake vizuri anayeweza kufikiri Kwa namna hiyo
Pia kutaulizwa huyo Mungu wa Wayahudi alishusha vp hiyo Torat,Zabur na Injili?
Masuala ya Mungu ni imani ndio maana kuna imani tofauti kuhusu Mungu na miungu, sasa wewe unafanya kuwa ni fact huo mtazamo au imani ya kwamba kila jamii ina mungu wake wa asili. Huko Asia kuna jamii zimechukua imani za Asili ya India huko.
hivi dunia,sayari nyingine na vilivomo ndani yake mmiliki wake ninani au alie viumba ninani? natamani unijibu
hahahaha kwaio miungu kaziyao nikuandaa matukio yao nakuyaleta kwetu?.nakama mungu wamuhamadi ameyajua matukio ya miungu yawatu wazamani huoni kua nimungu mwenye uwezo mkubwa sana?
Udini unakusaidia nini?
Kwanini maneno mengi na si yote yawe yanahusu hilo taifa tu?Kwani torati, zaburi na injili ni vitabu vya taifa gani?
Viliandikwa na kina Nani kutoka taifa gani?
Wahusika Wakuu ni kina Nani kutoka taifa gani?
Maeneo mengi yanayozungumziwa yapo taifa gani?
Ni mtu mjinga tuu asiyejua mambo madogo Kama hayo
Kwamba Mungu(Allah ambaye unakubali ni Mungu ila waaarabu) hawezi hana uwezo mkubwa wa kuiba visa vya wayahudi ila Muhammad(mtu) ndio kaweza kuiba hivyo visa kwahiyo ana uwezo mkubwa kuliko Mungu wa taifa lake?Pengine wewe haujui hata Historia ya Muhammad kupewa utume.
Hapo Makka kulikuwepo Wakiristo wenye maandiko ya kiyahudi,
Huyo Muhammad Alichofanya ni kuibiaibia Stori za hao Wakristo wa wakati ule na kuziweka kwenye Quran.
Allah hawezi kuwa na uwezo Mkubwa Kwa kuiba Visa vya manabii wa kiyahudi, na pamoja na kuiba bado kavikosea Kwa kiasi kikubwa, na pia kashindwa kuvisimulia in details. Ndio maana Kwa mtu ambaye ameenda shule akaiacha akili yake kuwa huru Quran ataiona ni kitabu ambacho hakijitoshelezi.
Hivi ulielewa kweli nilichoandika?Ulifika Kidato cha nne?
Kama ulifika ulisoma Mada moja kwenye somo la uraia inayoitwa Culture?
Kama ulisoma hiyo Mada utaelewa kuwa kila jamii inautamaduni wake.
Na kinacholeta Utamaduni ni pamoja na miungu kuwa tofauti.
Sasa sijui unachobisha ni kitu gani.
Ndio maana nikakuambia elimu ni Jambo muhimu Sana kwenye maisha.
Miungu, ibada, Imani ni sehemu ya mambo ya kiutamaduni. Na yanafundishwa SHULENI. Sasa kitu gani hujui Mkuu?
Hujui Aspects of Cultures?
Moja wapo ni Religions, kwenye religion ndio kuna mambo ya miiko, miungu, n.k
Umejitahidi kujibu ila hujaeleweka kabisa kama isivyo eleweka QuranUnaandika meengii halafu ni uharo tu, hata Musa kaandika kitabu kwa mkono wake(kwa mujibu wako, sababu kwenye bible haionekani hivyo). Yesu kaandika kitabu gani kwa mkono wake!?
Zaidi ya vitabu vingi vya Imani ya kikristo kuandika na Paulo ambaye hakuwa na time na Yesu alipokua hai!?
Hujui chochote kuhusu Qur'an. Unasema vitabu vyote kwenye Qur'an kashushiwa Muhammad peka yake, Qur'an ni kitabu kimoja hivyo vingi umevitoa wapi!?
Ibrahim alikua dini gani!? Maana najua alikua muhamiaji pale Yerusalem, alikua mwarabu wa Iraq!?
Neno eloi Kama mtamkavyo kwa lugha ya Yesu ni ilahi ina maana ya mungu wangu ambapo kwa kiarabu ni illahiy
Hivi ulielewa kweli nilichoandika?
Muhammad hajawah kutumwa na Mungu lakin mkuu. leta aya kutoka Quran utudhibitishie.Hakuna kitabu kinaitwa biblia wa tambua ivyo ..iyo unayosma imeandikwa Italy
Hata mathematics haieleweki kwa wengi,usipoelewa ukieleweshwa jua siyo level yako,kaa kandoUmejitahidi kujibu ila hujaeleweka kabisa kama isivyo eleweka Quran
Kwani torati, zaburi na injili ni vitabu vya taifa gani?
Viliandikwa na kina Nani kutoka taifa gani?
Wahusika Wakuu ni kina Nani kutoka taifa gani?
Maeneo mengi yanayozungumziwa yapo taifa gani?
Ni mtu mjinga tuu asiyejua mambo madogo Kama hayo
Mimi nimewauliza sana hili Swali na wanakwepa kwepa tu.Muhammad hajawah kutumwa na Mungu lakin mkuu. leta aya kutoka Quran utudhibitishie.
Wewe zaidi ya kukopi na kupest kazi za wengine, huwezi kutoa hoja toka kichwani mwako.Kumbe wewe ni karanga , hivi Torauti, injeel zaburi tokea lini vikawa vitabu vya taifa fulani ??