Ulifika Kidato cha nne?
Kama ulifika ulisoma Mada moja kwenye somo la uraia inayoitwa Culture?
Kama ulisoma hiyo Mada utaelewa kuwa kila jamii inautamaduni wake.
Na kinacholeta Utamaduni ni pamoja na miungu kuwa tofauti.
Sasa sijui unachobisha ni kitu gani.
Ndio maana nikakuambia elimu ni Jambo muhimu Sana kwenye maisha.
Miungu, ibada, Imani ni sehemu ya mambo ya kiutamaduni. Na yanafundishwa SHULENI. Sasa kitu gani hujui Mkuu?
Hujui Aspects of Cultures?
Moja wapo ni Religions, kwenye religion ndio kuna mambo ya miiko, miungu, n.k