Nenda kasome kisa Cha Ibrahim wa Koran Allah alipo sacrifice kondoo Ali sacrifice kwa nani
Umeshasoma nilichokwambia?Kwani kondoo ndio mungu ??
Mnasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.
Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?
Umeshasoma nilichokwambia?
Hebu twenda taratibu si kwa nia ya kubishana Bali kuelimishana.Adam alifukuzwa kwa mujibu wa Koran
Sasa Toba ilikubaliwa ni ipi?
Nenda kasome kisa Cha Ibrahim wa Koran Allah alipo sacrifice kondoo Ali sacrifice kwa nani
Ndio nimekuuliza Toba kukubalika ni kufukuzwa ?Hebu twenda taratibu si kwa nia ya kubishana Bali kuelimishana.
Hii ndio Quran wewe umeielewaje. Mimi nimeona kapata toba. Nini mantiki ya swali lako
(AL - BAQARA - 36)
Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda.
(AL - BAQARA - 37)
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu.
(AL - BAQARA - 38)
Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
(AL - BAQARA - 39)
Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu.
Ndio nimekuuliza Toba kukubalika ni kufukuzwa ?
Sikia ndugu; historia hii nimeipata kwa wachungaji wenu. Mimi ni msikilizaji mzuri wa Dr Myles Manroe.Wela na Aya ya Koran , hiyo nchi ya Palestine ya kale iliitwaje?
Je tukienda uku ulipo sema tutakuta kumbukumbu yake Isa
Umesha Anza ma copy pasteSikia ndugu; historia hii nimeipata kwa wachungaji wenu. Mimi ni msikilizaji mzuri wa Dr Myles Manroe.
Pitia link hii utajifumza mengi ya kweli. Mwishone ndipo anaongea illusion
Umesha Anza ma copy paste
Jibu wewe kama wewe na weka rejea ya koran
Hapo ndiyo uone tofauti ya Biblia na Quran , Biblia inasema dhambi ya asili ilianzia kwa Adam na kupitia hiyo wanadamu wote walipungukiwa na utukufu wa Mungu kwahiyo ilipaswa tukio lingine lifanyike kumpatanisha mwanadamu na Mungu wake. Hapo Quan imepita kimyaWandamu wote tunamkosea mungu; muhimu ni toba. Kosa la Adam siwezi kulirithi wala kulibeba Mimi, Makosa yangu hawezi beba baba yangu hata biblia imeweka wazi jambo hilo.
Lazima tuelewa kwanini mumgu baada ya kuumba vitu vyote alikuja kumuumba Adam. Ni kwa sababu tuje kutumikia yeye. Kutumikia yeye ndio ibada kwa kiarabu. Na kwamba viumbe vyote vingine vimewekwa chini yetu na sisi ni viongozi kwako.
Nilitaka tu niwathibitishie Allah ni muongo , anadanganya alafu anakaa ma mia ya miaka anakuja anatapa alidanganya 😂😂😂JIBU HILI SWALI USIKIMBIE
Mnasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.
Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?
Hapo ndiyo uone tofauti ya Biblia na Quran , Biblia inasema dhambi ya asili ilianzia kwa Adam na kupitia hiyo wanadamu wote walipungukiwa na utukufu wa Mungu kwahiyo ilipaswa tukio lingine lifanyike kumpatanisha mwanadamu na Mungu wake. Hapo Quan imepita kimya
Nilitaka tu niwathibitishie Allah ni muongo , anadanganya alafu anakaa ma mia ya miaka anakuja anatapa alidanganya 😂😂😂
Ndugu; ukisoma kuanzia aya ya 30 ya sura hiyo tutaona ya kwamba damu kuletwa duniani ilikuwa ni mpamgo wa mungu na sio laana.Ndio nimekuuliza Toba kukubalika ni kufukuzwa ?
Unajua unapuyanga tu, wanadamu wamemkosea Mungu kwa vipi kwanini wamkosee? embu jiulize kwanza hiyo je Mungu alituumba ili tuteseke na tufe au kwanini tuna kufa ?Wandamu wote tunamkosea mungu; muhimu ni toba. Kosa la Adam siwezi kulirithi wala kulibeba Mimi, Makosa yangu hawezi beba baba yangu hata biblia imeweka wazi jambo hilo.
Lazima tuelewa kwanini mumgu baada ya kuumba vitu vyote alikuja kumuumba Adam. Ni kwa sababu tuje kutumikia yeye. Kutumikia yeye ndio ibada kwa kiarabu. Na kwamba viumbe vyote vingine vimewekwa chini yetu na sisi ni viongozi kwako.
Au unataka kusema Adam alikataa kufata amri ya yesu
Una maswali ya Isa hujajibu ?Hebu twenda taratibu si kwa nia ya kubishana Bali kuelimishana.
Sikia nduguUmesha Anza ma copy paste
Jibu wewe kama wewe na weka rejea ya koran
12 Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi;Kwa ushahidi please
Rudi ujibu maswali yangu ,Sikia ndugu
Uislam ni imani ya watu intelligence.
Intelligence manake ni kuikubaliana na hoja zilizo authentic. Badala ya kuelendea kubishana tu.
Sasa vitabu vya mungu si hadithi ya willy gamba. Kwamba kitaanza kueleza wasifu wa mtume. Wasifu na historia utazipata kwenye vitabu vya historia. Then unaichuja historia hiyo kwa vipimo kuthibitisha ni authentic.
Sasa Leo ninyi mkiulizwa Mungu alikiwa Mzungu au Mwarabu au Mwafrika. Jibu kwa kitumia authentic reference kama unayo
Na je ukiwekewa sanamu ya yesu muafrika utamkubali ?!??