Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

kwahiyo hawakufa? mbona hunijibu Quran inasema nini juu ya mwanadamu kuhusu kifo? kwanini tunakufa? naomba majibu

Mbona wewe unakimbia kujibu haya maswali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
 
Walifanya na wakasamehewa.
Ndio ujue Koran ni kipeperushi, hakina majibu Adamu alifanya Nini

Na pia nilikuuliza yakub alikuwaje Israel na Israel maana yake Nini Koran imeshindwa kujibu

Na Kuna verse kibao ndani ya Koran zinamuacha msomaji haelewi

Mfano hii Aya ukisoma unajiuliza Muhammad iliharamisha nini? Koran Haina majibu

Koran 66:1"Ewe Nabii! Kwa nini unaharamisha alicho kuhalalishia Allah?
 
Mbona wewe unakimbia kujibu haya maswali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Mbona unapuyanga tu je walikufa au hawakufa ?
 
Usijitese jibu straight kama huelewi pia sema

Uliandika maneno haya

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
 
Quran inasema nini juu ya hilo?

Kabla hatujaingia Quran jibu swali

Uliandika maneno haya

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
 
Usijitese jibu straight kama huelewi pia sema

Uliandika maneno haya

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Hivi mkuu unaelewa unacho kiandika au ni ubishi tu! Mfano mtu navyo kuambia usilale na mtu mwenye ukimwi kwasasabu utabata ukimwi na utakufa kwani utakufa hapohapo?
 
Hichi ni kichina hukielewi ???

Kama hutaki kujibu sema sitaki kujibu

Uliandika maneno haya

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
 
Hivi mkuu unaelewa unacho kiandika au ni ubishi tu! Mfano mtu navyo kuambia usilale na mtu mwenye ukimwi kwasasabu utabata ukimwi na utakufa kwani utakufa hapohapo?

na mtu akikwambia ukinywa hii sumu utakufa na kama hukufa ??
 
Embu tuiulize Quran inasemaje?

Tutakuja kwenye Quran ambayo huiamini

tuendelee hapahapa kwenye biblia unayoiamini

Uliandika maneno haya

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
 
Tutakuja kwenye Quran ambayo huiamini

tuendelee hapahapa kwenye biblia unayoiamini

Uliandika maneno haya

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Hapo ulitaka aandike vipi?
 
Kwahiyo tukiiuliza Quran kwanini tunakufa haina majibu?
Nilishajibu.

Umauti umeumbwa ili watu waovu wapate kuhukumiwa

[ AL I'MRAN - 185 ]
Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.

[ AN-NISAAI - 100 ]
Na mwenye kuhama katika Njia ya Mwenyezi Mungu atapata pengi duniani pa kukimbilia, na atapata wasaa. Na anaye toka nyumbani kwake kuhama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, kisha yakamfika mauti njiani basi umethibiti ujira wake kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu.
 
UOVU ulitokana na nini?
 
Hapo ulitaka aandike vipi?

Sio nilitaka ni kwamba imeandikwa , tena na kusisitizwa kwa neno HAKIKA

Back
Top Bottom