Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Sio nilitaka ni kwamba imeandikwa , tena na kusisitizwa kwa neno HAKIKA

Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'

Swali

Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???

Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Ndiyo na kuuliza alikufa au hakufa
 
Ndio ujue Koran ni kipeperushi, hakina majibu Adamu alifanya Nini

Na pia nilikuuliza yakub alikuwaje Israel na Israel maana yake Nini Koran imeshindwa kujibu

Na Kuna verse kibao ndani ya Koran zinamuacha msomaji haelewi

Mfano hii Aya ukisoma unajiuliza Muhammad iliharamisha nini? Koran Haina majibu

Koran 66:1"Ewe Nabii! Kwa nini unaharamisha alicho kuhalalishia Allah?
Kama ukijua Adam alifanya nini wewe itakusaidia nini ktk kuandika historia yako.

Ni vizuri Ujue misingi ya Quran kuwa hiki si kitabu cha historia, si kitabu cha sayansi, si kitabu cha biologia.

Bali mambo yote yamedodoswa ili sisi tupate kuyafanyia utafiti.

Sasa Mimi si mwana historia. Lkn ukiitaji kwa nia ya kujifunza utapata majibu.

Na unaweza kuanzia hapa.

Kuhusu alichoharamishiwa mtume unaweza kupata ktk vitabu vya historia ya nabii.

Nadhani nitakuwa nimekujibu. Sasa na wewe jibu maswali yangu niliyokuuliza.

Kwa mfano mungu alikuja kwa maumbile ya mzungu muafrika.

Ukiambiwa alikuwa muafrika utakubali
 
Tumesha hitimisha Koran ni kipeperushi hakina details za kutosha mpaka itegemee vyanzo vingine
 
Lengo la huu uzi ni kupima kati ya Quran na Biblia kwahiyo tafadhali wacha Biblia na Quran zitoe majibu. Swali QURAN INASEMA ROHO NI NINI?

Utapimaje kitu wakati unabase upande mmoja ??

Tuambie huo upande wako unasemaje kuhusu roho ??
 
Utapimaje kitu wakati unabase upande mmoja ??

Tuambie huo upande wako unasemaje kuhusu roho ??
Siliza wewe ndiyo umeleta haya mambo ya Roho wakati kwenye Quran hakuna hicho kitu, na Allah ansema, waislamu hawana elimu ya Roho ila kiduchu tu. Al-Israa 85.
Biblia inasema hivi
Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.
Wewe unasema Roho ndiyo iliyo kufa wakati Roho haifi. Kuliko upuyange tu bora uulize usaidiwe.
 
Allah hajawahi andika kitabu, waandishi wa vitabu ni maswahaba wa Muhammad ambao wanadai Allah aliwaambia.
Kumbuka huyo Allah hajawahi kuongea na Muhammad wala hao maswahaba
kwahio Kama hajawahi kuongea nao hivyo vitu walivyo kua wanaandika walitumwa nanani waandike?
 
Siliza wewe ndiyo umeleta haya mambo ya Roho wakati kwenye Quran hakuna hicho kitu, na Allah ansema, waislamu hawana elimu ya Roho ila kiduchu tu. Al-Israa 85.
Biblia inasema hivi
Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.
Wewe unasema Roho ndiyo iliyo kufa wakati Roho haifi. Kuliko upuyange tu bora uulize usaidiwe.
Sasa Paulo anaposema anakufa kila siku , ni kweli alikuwa anakufa kila siku?
 
Back
Top Bottom