blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Quran inasema nini juu ya hayo?Hata wanyama na miti vinakufa jee ni kwa nini ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quran inasema nini juu ya hayo?Hata wanyama na miti vinakufa jee ni kwa nini ??
kwahiyo hawakufa? mbona hunijibu Quran inasema nini juu ya mwanadamu kuhusu kifo? kwanini tunakufa? naomba majibu
Kwanini tufe?Quran inasema kila kiumbe kitaonja mauti
Ndio ujue Koran ni kipeperushi, hakina majibu Adamu alifanya NiniWalifanya na wakasamehewa.
Kwanini tufe?
Mbona unapuyanga tu je walikufa au hawakufa ?Mbona wewe unakimbia kujibu haya maswali
Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???
Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Quran inasema nini juu ya hilo?Jibu hapa , utapata majibu
Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???
Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Mbona unapuyanga tu je walikufa au hawakufa ?
Quran inasema nini juu ya hilo?
Hivi mkuu unaelewa unacho kiandika au ni ubishi tu! Mfano mtu navyo kuambia usilale na mtu mwenye ukimwi kwasasabu utabata ukimwi na utakufa kwani utakufa hapohapo?Usijitese jibu straight kama huelewi pia sema
Uliandika maneno haya
Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'
Swali
Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???
Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Hivi mkuu unaelewa unacho kiandika au ni ubishi tu! Mfano mtu navyo kuambia usilale na mtu mwenye ukimwi kwasasabu utabata ukimwi na utakufa kwani utakufa hapohapo?
Hivi mkuu unaelewa unacho kiandika au ni ubishi tu! Mfano mtu navyo kuambia usilale na mtu mwenye ukimwi kwasasabu utabata ukimwi na utakufa kwani utakufa hapohapo?
Hivi unaelewa tofauti kati ya sumu na ugonjwa nilio utolea mfano?na mtu akikwambia ukinywa hii sumu utakufa na kama hukufa ??
Hivi unaelewa tofauti kati ya sumu na ugonjwa nilio utolea mfano?
Embu tuiulize Quran inasemaje?Kwani Adam aliambiwa atapata ugonjwa unaouwa ?
Embu tuiulize Quran inasemaje?
Hapo ulitaka aandike vipi?Tutakuja kwenye Quran ambayo huiamini
tuendelee hapahapa kwenye biblia unayoiamini
Uliandika maneno haya
Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'
Swali
Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???
Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Nilishajibu.Kwahiyo tukiiuliza Quran kwanini tunakufa haina majibu?
UOVU ulitokana na nini?Nilishajibu.
Umauti umeumbwa ili watu waovu wapate kuhukumiwa
[ AL I'MRAN - 185 ]
Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.
[ AN-NISAAI - 100 ]
Na mwenye kuhama katika Njia ya Mwenyezi Mungu atapata pengi duniani pa kukimbilia, na atapata wasaa. Na anaye toka nyumbani kwake kuhama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, kisha yakamfika mauti njiani basi umethibiti ujira wake kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu.
Hapo ulitaka aandike vipi?