Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
viumbe si vingi malaika, majini, binadamu, wanyama, mimea..Cheo kwa kiumbe gani?
Sasa mbona unasema malaika ni cheo?viumbe si vingi malaika, majini, binadamu, wanyama, mimea..
Hata kweny biology si unasoma viumbe hai ana visivyo hai ...Wote ni viumbe binadamu ni cheo huwezi kumlinganisha na mnyama tayar binadamu ni kiongozi wa vitu vyote duniani.
Malaika ni viumbe wanaabudu na wala hawamuhaswi Mungu na pia ndo hao wanatii kila watakaloambiwa na Mungu
Jumanne maana nipo bize kuendesha ibadalipua!
Majini ni Roho Chafu zilizo laaniwa, kwenye Biblia ndio hao hapo.Ila wewe mkristo majini umeyajulia wapi hivi biblia imeelezea hao majini kweli? Nijuavyo mkristo hawezi kuelezea majini pasina kutumia vyanzo vya kutoka kwa waislamu.
viumbe vina vyeo au madaraja kwani kwa akili tu binadamu na malaika ni sawa?Sasa mbona unasema malaika ni cheo?
Roho chafu kwa maana ipi? Hebu fafanua natamani kuwajua majini kutoka kwenye vyanzo vya biblia.Majini ni Roho Chafu zilizo laaniwa, kwenye Biblia ndio hao hapo.
Nashangaa mnavyoitana Ndugu wa kupika na kupakua
Mambo ya Walawi 17:7 Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.
Wewe unataka kusema kwamba Ibilisi(jini) alivyokuwa aliishi na malaika huko alikuwa kama sawa na daraja la malaika, si ndivyo?viumbe vina vyeo au madaraja kwani kwa akili tu binadamu na malaika ni sawa?
ibilisi wapi nimesema ni jini?Wewe unataka kusema kwamba Ibilisi(jini) alivyokuwa aliishi na malaika huko alikuwa kama sawa na daraja la malaika, si ndivyo?
Duh! Mkuu Ibilisi asili yake ni jini, hapa tunazungumzia viumbe aina tatu Malaika majini na binaadamu. Shetani ni sifa na si aina ya kiumbe ndio maana hata binaadamu anaweza kuwa shetani. Hivyo ndivyo waislamu wanavyo fahamu, sasa wewe sijui elimu yake umeitoa vyanzo gani?ibilisi wapi nimesema ni jini?
Una mislead bro!
Ibili(shetani) .
Acha uongo kabisa acha uongo tafuta elimu hakuna sehemu waislamu wanaamini acha uongo na unafiki.Duh! Mkuu Ibilisi asili yake ni jini, hapa tunazungumzia viumbe aina tatu Malaika majini na binaadamu. Shetani ni sifa na si aina ya kiumbe ndio maana hata binaadamu anaweza kuwa shetani. Hivyo ndivyo waislamu wanavyo fahamu, sasa wewe sijui elimu yake umeitoa vyanzo gani?
Aisee!Acha uongo kabisa acha uongo tafuta elimu hakuna sehemu waislamu wanaamini acha uongo na unafiki.
Qur an ilipotaja iliwagroup majini na watu wameumbwa ili kuabudu wapo daraja moja wapi wamesema shetani?
shatani(ibilis) ni malaika aliyehasi na kufukuzwa kweny mamlaka ya Mungu ...
Narudia tena tafuta elimu kijana utajiingiza kweny shirk .
The Quran 51:56Duh! Mkuu Ibilisi asili yake ni jini, hapa tunazungumzia viumbe aina tatu Malaika majini na binaadamu. Shetani ni sifa na si aina ya kiumbe ndio maana hata binaadamu anaweza kuwa shetani. Hivyo ndivyo waislamu wanavyo fahamu, sasa wewe sijui elimu yake umeitoa vyanzo gani?
Ulitakiwa uulize hivi sasa?Aisee!
Shetani ni nini kwa unavyoelewa?
Unaweza kuelezea huo uasi wa Ibilisi ni nini alifanya na kwanini yeye alifanya hivyo?Ulitakiwa uulize hivi sasa?
Shetan(ibilis) ni kiumbe kilichohashwi mamlaka ya Mungu na kufukuzwa ambaye alikuwa ni miongoni mwa malaika.
Al-A'raaf.The Quran 51:56
"And I did not create the jinn and mankind except to worship Me." (Surah Adh-Dhariyat 51:56)
Niambie wapi ibilisi katajwa ba ukisema ibilis automatically ni kiumbe cha motoni ni vip kiumbe cha motoni kiabudu na kilishapewa laana.
Eeeh!!Unaweza kuelezea huo uasi wa Ibilisi ni nini alifanya na kwanini yeye alifanya hivyo?
Unaposema shetani wote unakusudia viumbe gani mkuu? Kwa sababu umesema shetani(Ibilisi) ni malaika aliyeasi au kulikuwa na malaika zaidi ya mmoja aliyeasi? Ama hao malaika waliyoasi wanazaliana? Au hadi sasa huwa inatokea malaika kuasi ndio huingia kundi la shetani?Eeeh!!
Ibilis alikataaa kumsujudia binadama kama Mungu alivyowaamrisha wote ...Means aliniona yeye ni mkubwa au anafanana na Mungu kimlaka ndo akafukuzwa .
Note: shetan(ibilis) hakuna mzuri wote ni motoni moja kwa moja ila majini ni kama sisi binadamu kuna wazuri na wabaya maana wote tuliumbwa kwa lengo la kuja kuabudu .
Sababu ya Ibilisi kukataa kumsujudia Adamu alishaieleza yeye mwenye kuwa aliona yeye ni bora kuliko Adamu kwa sababu yeye(Ibilisi) ameumbwa kwa moto na Adamu kaumbwa kwa udongo.Eeeh!!
Ibilis alikataaa kumsujudia binadama kama Mungu alivyowaamrisha wote ...Means aliniona yeye ni mkubwa au anafanana na Mungu kimlaka ndo akafukuzwa .
Note: shetan(ibilis) hakuna mzuri wote ni motoni moja kwa moja ila majini ni kama sisi binadamu kuna wazuri na wabaya maana wote tuliumbwa kwa lengo la kuja kuabudu .
Unaposema shetani wote unakusudia viumbe gani mkuu? Kwa sababu umesema shetani(Ibilisi) ni malaika aliyeasi au kulikuwa na malaika zaidi ya mmoja aliyeasi? Ama hao malaika waliyoasi wanazaliana? Au hadi sasa huwa inatokea malaika kuasi ndio huingia kundi la shetani?
Wapo walioumbwa kwa moto na wapo walioumbwa kwa nuruAl-A'raaf.
12. Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.
Sasa malaika aliuumbwa kwa moto?
kwani shetani wapo wangapi ?Unaposema shetani wote unakusudia viumbe gani mkuu? Kwa sababu umesema shetani(Ibilisi) ni malaika aliyeasi au kulikuwa na malaika zaidi ya mmoja aliyeasi? Ama hao malaika waliyoasi wanazaliana? Au hadi sasa huwa inatokea malaika kuasi ndio huingia kundi la shetani?