Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Cheo kwa kiumbe gani?
viumbe si vingi malaika, majini, binadamu, wanyama, mimea..

Hata kweny biology si unasoma viumbe hai ana visivyo hai ...Wote ni viumbe binadamu ni cheo huwezi kumlinganisha na mnyama tayar binadamu ni kiongozi wa vitu vyote duniani.

Malaika ni viumbe wanaabudu na wala hawamuhaswi Mungu na pia ndo hao wanatii kila watakaloambiwa na Mungu
 
Sasa mbona unasema malaika ni cheo?
 
Ila wewe mkristo majini umeyajulia wapi hivi biblia imeelezea hao majini kweli? Nijuavyo mkristo hawezi kuelezea majini pasina kutumia vyanzo vya kutoka kwa waislamu.
Majini ni Roho Chafu zilizo laaniwa, kwenye Biblia ndio hao hapo.
Nashangaa mnavyoitana Ndugu wa kupika na kupakua

Mambo ya Walawi 17:7 Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.
 
Roho chafu kwa maana ipi? Hebu fafanua natamani kuwajua majini kutoka kwenye vyanzo vya biblia.
 
viumbe vina vyeo au madaraja kwani kwa akili tu binadamu na malaika ni sawa?
Wewe unataka kusema kwamba Ibilisi(jini) alivyokuwa aliishi na malaika huko alikuwa kama sawa na daraja la malaika, si ndivyo?
 
ibilisi wapi nimesema ni jini?

Una mislead bro!

Ibili(shetani) .
 
ibilisi wapi nimesema ni jini?

Una mislead bro!

Ibili(shetani) .
Duh! Mkuu Ibilisi asili yake ni jini, hapa tunazungumzia viumbe aina tatu Malaika majini na binaadamu. Shetani ni sifa na si aina ya kiumbe ndio maana hata binaadamu anaweza kuwa shetani. Hivyo ndivyo waislamu wanavyo fahamu, sasa wewe sijui elimu yake umeitoa vyanzo gani?
 
Acha uongo kabisa acha uongo tafuta elimu hakuna sehemu waislamu wanaamini acha uongo na unafiki.

Qur an ilipotaja iliwagroup majini na watu wameumbwa ili kuabudu wapo daraja moja wapi wamesema shetani?

shatani(ibilis) ni malaika aliyehasi na kufukuzwa kweny mamlaka ya Mungu na kapewa sifa au cheo cha dhambi ndo shetani (ibilisi) Na huyu ndo wengi wanasema anashwishi watu watende madhambi Mfano utasikia mara ooh shetani kanipitia ...

Narudia tena tafuta elimu kijana utajiingiza kweny shirk .
 
Acha uongo kabisa acha uongo tafuta elimu hakuna sehemu waislamu wanaamini acha uongo na unafiki.

Qur an ilipotaja iliwagroup majini na watu wameumbwa ili kuabudu wapo daraja moja wapi wamesema shetani?

shatani(ibilis) ni malaika aliyehasi na kufukuzwa kweny mamlaka ya Mungu ...

Narudia tena tafuta elimu kijana utajiingiza kweny shirk .
Aisee!
Shetani ni nini kwa unavyoelewa?
 
Duh! Mkuu Ibilisi asili yake ni jini, hapa tunazungumzia viumbe aina tatu Malaika majini na binaadamu. Shetani ni sifa na si aina ya kiumbe ndio maana hata binaadamu anaweza kuwa shetani. Hivyo ndivyo waislamu wanavyo fahamu, sasa wewe sijui elimu yake umeitoa vyanzo gani?
The Quran 51:56

"And I did not create the jinn and mankind except to worship Me." (Surah Adh-Dhariyat 51:56)

Niambie wapi ibilisi katajwa ba ukisema ibilis automatically ni kiumbe cha motoni ni vip kiumbe cha motoni kiabudu na kilishapewa laana.
 
Ulitakiwa uulize hivi sasa?

Shetan(ibilis) ni kiumbe kilichohashwi mamlaka ya Mungu na kufukuzwa ambaye alikuwa ni miongoni mwa malaika.
Unaweza kuelezea huo uasi wa Ibilisi ni nini alifanya na kwanini yeye alifanya hivyo?
 
The Quran 51:56

"And I did not create the jinn and mankind except to worship Me." (Surah Adh-Dhariyat 51:56)

Niambie wapi ibilisi katajwa ba ukisema ibilis automatically ni kiumbe cha motoni ni vip kiumbe cha motoni kiabudu na kilishapewa laana.
Al-A'raaf.
12. Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.

Sasa malaika aliuumbwa kwa moto?
 
Unaweza kuelezea huo uasi wa Ibilisi ni nini alifanya na kwanini yeye alifanya hivyo?
Eeeh!!

Ibilis alikataaa kumsujudia binadama kama Mungu alivyowaamrisha wote ...Means aliniona yeye ni mkubwa au anafanana na Mungu kimlaka ndo akafukuzwa .

Note: shetan(ibilis) hakuna mzuri wote ni motoni moja kwa moja ila majini ni kama sisi binadamu kuna wazuri na wabaya maana wote tuliumbwa kwa lengo la kuja kuabudu .
 
Unaposema shetani wote unakusudia viumbe gani mkuu? Kwa sababu umesema shetani(Ibilisi) ni malaika aliyeasi au kulikuwa na malaika zaidi ya mmoja aliyeasi? Ama hao malaika waliyoasi wanazaliana? Au hadi sasa huwa inatokea malaika kuasi ndio huingia kundi la shetani?
 
Sababu ya Ibilisi kukataa kumsujudia Adamu alishaieleza yeye mwenye kuwa aliona yeye ni bora kuliko Adamu kwa sababu yeye(Ibilisi) ameumbwa kwa moto na Adamu kaumbwa kwa udongo.
 
Unaposema shetani wote unakusudia viumbe gani mkuu? Kwa sababu umesema shetani(Ibilisi) ni malaika aliyeasi au kulikuwa na malaika zaidi ya mmoja aliyeasi? Ama hao malaika waliyoasi wanazaliana? Au hadi sasa huwa inatokea malaika kuasi ndio huingia kundi la shetani?

Al-A'raaf.
12. Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.

Sasa malaika aliuumbwa kwa moto?
Wapo walioumbwa kwa moto na wapo walioumbwa kwa nuru

kwa mfano "Malaika Jibril alifika mbele ya Mtume (s.a.w) akiwa na sura ya moto" (Bukhari).

Na Kuumbwa kwa nuru kwa mfano Surat An-Nur aya ya 35 inasema "Mwenyezi Mungu ni nuru ya mbingu na ardhi. Mfano wa nuru yake ni kama taa inayowashwa ndani ya kioo kilicho na nyota saba zinazoangaza
 
Unaposema shetani wote unakusudia viumbe gani mkuu? Kwa sababu umesema shetani(Ibilisi) ni malaika aliyeasi au kulikuwa na malaika zaidi ya mmoja aliyeasi? Ama hao malaika waliyoasi wanazaliana? Au hadi sasa huwa inatokea malaika kuasi ndio huingia kundi la shetani?
kwani shetani wapo wangapi ?

Hakuna sehemu nimeandika mashetani (wingi) ...Nimesema hakuna mzuri wala mbaya ni kwamba ni mmoja wale wazuri au wabaya ni majini ndo wapo tofauti ni wengi..

kwa sababu kuna hata wanaopandisha mapepo wanadai ni mashetani ndo wanasema kuna mashetani wabaya na wazuri basi tambua wale ni majini ndo wapo wengi na tofauti ila shetani ni mmoja tu..
 
Back
Top Bottom