Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Sijui unamiaka mingapi ila upeo wako ni mdogo sana ALLAH ni lugha ya kiarabu ELOI ni Sasa ya kiyunani Mungu ni lugha ya kiswahili God ni kizungu

Ishu sio miaka ishu ni Akili yako ipo chini.

Mungu Kiswahili
God kingereza
Eloi kiyunani


Sasa tunataka majina personal ya mungu wa waarabu au ndio huyo Allah?

Maana Mungu wa Ibrahim ni Yehova/Jehova/Yahwe.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
 
YEHOVA lugha Gani sasa
 
Tatizo la hawa watu wamekariri vitu vingi sana ndo maana hata ku-reasoning ni tatizo
 
Sijui unamiaka mingapi ila upeo wako ni mdogo sana ALLAH ni lugha ya kiarabu ELOI ni lugha ya kiyunani Mungu ni lugha ya kiswahili God ni kizungu

Kwa hiyo Kwa akili yako Mungu WA wagiriki anaitwa Eloi?
😂😂😂
Mungu ni jina la Cheo sio personal name.

Ni Kama useme Rais na president hiyo inarejelea maana moja ya Cheo cha juu ya kiutawala.
Lakini ukisema Rais Samia Suluhu alafu ukasema Rais Uhuru Kenyatta unazungumzia watu wawili wenye vyeo vya Urais.

Ndio maana nikakusihi umuulize mwalimu wako wa dini akuambie neno Allah ndio inamaanisha Cheo au personal name ya mungu wa waaraby
 
Hujajibu nilichokiuliza. Hizi unaletwa stori tena zinahitaji kuthibitishwa.

Habari za Daniel nani aliziandika mpaka kuwafikia nyinyi ?
 
MSILETE NGONJERA HAPA LETENI MAANDIKO KUWA DINI YA KWELI NI UKRISTO BAC KAMA HAUNA SUBIRI UELEWESHWE
 
Nani alikwambia Mungu ni Cheo ? Unajua maana ya jina na maana ya Mungu na maana ya Cheo ?
 
MKRISTO AKIONA HII MOYO UNAMUUMA SANA
قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنْزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِنْ رَبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
 
Kijana kwanini inakuwa muongo kiasi hicho ? Umejibiwa swali vizuri sana.

Nyinyi habari za Yesu mmezipata Toka kwa ndugu zake Yesu ? Au mmeandikiwa na watu ambao hata kumuona hawajawahi kumuona na wala si nabii ? Ila mnawaamini. Mnatumia nini kufikiri ?

Leo hii si mnasoma Biblia na hamjui lugha ya Yesu wala Matini ya Injili ya Yesu hamna, lakini mnaamini. Hivi mnaakili nyinyi ?

Swali la msingi na ungeonekana una akili kidogo ungejadili ukweli wa kile alichokisema Mtume wa Allah. Kisha ukipinge kwa hoja.
 

Kweli wakristo hawaifahamu Qur'an na hawataki kuisoma na hiyo siku zote huwa inaleta changamoto kwenye mitazamo yao kuhusu Qur'an pamoja na kwenye majadiliano yenye kuhusishwa hivi vitabu viwili vya Biblia na Qur'an.
 
Kihebrania

YEHOVA lugha Gani sasa

Umesoma ukaelewa hizo Aya.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Embu soma maneno yaliyokolezwa hapo.

Mungu anatambulisha jina lake Kwa Musa.
Ndio Cheo chake ni Mungu lakini jina lake anaitwa Nani?
Ndio anasema jina lake ni Yehova/Jehova/Yahwe.


MSILETE NGONJERA HAPA LETENI MAANDIKO KUWA DINI YA KWELI NI UKRISTO BAC KAMA HAUNA SUBIRI UELEWESHWE

Hivi unaelewa Uzi huu unahus nini?
Hatujadili kuhusu ni ipi dini ya kweli hapa.

Tunajadili vitabu viwili Yaani. biblia na Quran
 
Eti toka Adam,

Achen kudanganya watu
Hakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.

Leo hii Yesu akija atawashangaa sana na Ukristo wenu hakuacha Ukristo Yesu.
 
Yaani tuna ujinga mwingi sana. Yaani kupoteza muda kubishania kipi ni cha kweli na kipi ni uongo ili hali hakuna aliyekuwepo kipindi hicho. Wenzao Qatar na UAE wako busy kuendeleza nchi zao sisi hata hela ya kula ni shida tunabishania dini. Hili nalo ni janga kama majanga mengine
 
Hakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.

Leo hii Yesu akija atawashangaa sana na Ukristo wenu hakuacha Ukristo Yesu.
Uislamu uliokuja baada ya miaka 500 YESU kupaa
Kipindi YESU akiwa hai hakukua na dini inayoitwa uislamu Bali kulikuwa na dini ya uyahudi
 
Yohana mwanafunzi wa Yesu alikuwa ni mdogo wake Yesu Kristo.
Mama mmoja Mariamu.

Yohana Mbatizaji pia alikuwa ndugu yake Yesu.

Mitume 12 wa Yesu ni ndugu zake pia Waisraeli na Wayahudi wenzake.

Niambia wewe habari za Yesu umezipata kwa nani. Na wana uhusiano gani na Yesu.

Unasoma habari za Yesu kwenye Sura za Ng'ombe na Buibui, mwandishi hajulikani, kajificha kujitambulisha kama aliyemkaba muhamadi pangoni na unaziamini...!
Uko sawa kichwani kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…