Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Nani alikwambia Mungu ni Cheo ? Unajua maana ya jina na maana ya Mungu na maana ya Cheo ?

Mungu ni Cheo
Unaelimu yoyote walau ya Kidato cha nne?
Kama unayo nafikiri ukisoma Aina ya maneno, ukakuta Aina iitwayo Nomino, kwenye nomino kuna Aina zake nyingi tuu.

KAZI ya nomino ni kutambulisha mtu, kitu, mahali au Jambo na kulitofautisha na jingine/wengie.

Mfano ukisema neno Rais umetaja Cheo cha mtu lakini mtu hatajui unamzungumzia Rais yupi, hata mahakamani wanataka Personal name au kingereza kinakuchanganya inaitwa nomini ya pekee,

Jina Mungu sio nomini ya pekee hivyo haimtambulishi ni mungu yupi.
Kwani kila mungu anajina lake kulingana na jamii husika. Kama ilivyo kila jamii ina Rais au Mfalme wake mwenye jina.

Ndio maana nikakuambia mahakamani Quran haiwezi kutoboa maana hata haitambui kuwa Neno Mungu sio personal name Bali ni Cheo.
Na kamwe huwezi shtakiwa Kwa kumtukana Mungu kama alivyofanya Afande Sele Ila unaweza kushtakiwa endapo utataja jina la huyo Mungu.

Mungu aliyemtokea Ibrahimu, isaka, na Yakobo anaitwa Yehova ndivyo alivyojitambulisha,
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Unaweza kufuatilia Historia ya Yehova hata kihistoria.

Wakati mungu aliyejitokeza Kwa Muhammad person name yake ni Allah.
Pia kihistoria unaweza fuatilia CV ya Allah maana alikuwepo na alikuwa anaabudiwa na Waarabu hapo makka hata kabla Muhammad hajazaliwa, ni Mungu wa waarabu wa kabila la Kurdi.

Sasa sijui wapi huelewi.

Kwa mfano mtu akisema Baba wewe utajua Baba anayetajwa ni yupi?

Mkiambiwa muende shule mnaona watu hamnazo. Sasa mnahangaika Kwa vitu vidogo.
Yaani hujui God/Mungu/Eloi/ mrungu/ ni Cheo Kama Baba/Father/papa/ Tata?
 
Acha kuongea uongo kuhusu Quran wapi Quran imesema Muhammad ndio Muislam wa kwanza Duniani

Quran 4:163.
Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.


Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.


Kama wewe unapinga hao manabii hawakuwa waislam toa ushahidi wa mandiko walikuwa na dini gani?
 
Imani ndio kitu cha kwanza kwenye hivyo vitabu na ndio maana vinaitwa vitabu vya imani na wasio na imani hawaamini hivyo vitabu vyote viwili, sie wote tumevikuta nadhani point ingekuwa kuhoji ukweli wa yaliyoelezwa kwenye hivyo vitabu.
 
Uislamu uliokuja baada ya miaka 500 YESU kupaa
Kipindi YESU akiwa hai hakukua na dini inayoitwa uislamu Bali kulikuwa na dini ya uyahudi
Yesu alikuwa Muislamu.

Kwa ufupi huujui Uislamu ni nini ?
 
Mungu wa waislamu anaitwa Allah.

Mungu kwa kiarabu ni Illah.

Soma shahada.

La Illah = hakuna Mungu

Ila Allah = isipokuwa Allah.

Mungu ni cheo.

Soma amri ya

Usiabudu miungu mingine isipo kuwa Mimi.
 
Hakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.

Leo hii Yesu akija atawashangaa sana na Ukristo wenu hakuacha Ukristo Yesu.

Unaona ulivyochanganyikiwa.

Ili uwe muislam itakupasa ushike nguzo kuu tano za uislam.
Hata embu niambie Musa, Yusufu, Yakobo, Daudi na Yesu walishika nguzo hizo?

Je walihiji?
Je walitoa shahada kuwa Mungu ni Allah pekee? Wakati wao Mungu wao ni Yehova?
Je walitoa shahada Muhammad ni Mtume WA Mungu maana lazima Muislam atoe shahada hizo mbili?

Je walifunga Ramadhani, ilhali Ramadan imeanza kuazimishwa baada ya Muhammad, na hii ni kuadhimisha kuteremshwa Kwa Quran katika mwezi wa Tisa wa kiarabu?

Je waliwahi hata siku moja kwenda kuhiji?

Je walitoa Zaka?
Maana tunaona mtu wa Kwanza kutoa Fungu la kumi ni Yakobo, Kwa hiyari Yao na wala sio amri ya Mungu.
Ilikuwa agano lake na Mungu wake/Yehova.
Watu wa pili ni waisrael wakiamrishwa Musa hiyo zaka ni kwaajili ya kabila la Lawi watakaotumika madhabahuni!

Pengine haujui hata sababu ya watu kutoa Zaka kihistoria.

Alafu unasema Ati mitume wote walikuwa Waislam, 😀😀
Yaani hujui hata unachokiongea.
 
Mungu wa waislamu anaitwa Allah.

Mungu kwa kiarabu ni Illah.

Soma shahada.

La Illah = hakuna Mungu

Ila Allah = isipokuwa Allah.

Mungu ni cheo.

Soma amri ya

Usiabudu miungu mingine isipo kuwa Mimi.

Vizuri umejibu vizuri
Soma hapa Mungu wa Musa myahudi, Ibrahimu Isaka na yakobo aliitwa nani?
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
 
Muhammad kahadithiwa na nani? Kumbuka hata wewe hata wewe hayo unayoeleza kuhusu biblia ni hadithi hivyo hivyo kwa maana huwezi kuthibitisha kuwa hivyo unavyoeleza ndivyo kweli ipo hivyo hivyo ndio maana nasema cha kwanza ni imani.
 
Safi kabisa, hapa naona umekuja ninapo pataka.

Naomba uthibitishe ukwel kuhusu habari za Yohana kwa Yesu, kwamba Yohana alikuwa Mwanafunzi wa Yesu.

Kisha unithibitishie ya kuwa Yesu na Yohana ni ndugu na utuambie hizi habari zimeandikwa na nani ?

Yesu hakuwa Myabudi sababu Uyahudi siyo kabila bali ni dini ya watu waliowainga manabii na mitume wa Allah, kama vile Musa na Yesu mwenyewe.

Yesu hawezi kuwa na mitume kwa maana ya wajumbe bali alikuwa na Wanafunzi, Mtume hawezi kuwa na mitume.

Habari za Yesu zimezipata Toka kwenye Qur'aan, uhusiano uliopo ni kuwa Yesu ni Mtume na Mtume Muhammad naye ni Mtume, wote waliagizwa na Mola muumba, Yesu akapewa Injili na Muhammad akapewa Qur'aan.

Nani amekwambia Muandishi hajulikani ? Sisi tunamjua na tuna cheni mpaka kufika kwenye Primary Source. Hili nyinyi hamna ndiyo maana Leo hii hakuna yeyote anayeweza kuthibitisha ya kuwa Injili ya Yohana ni kweli ameandika Yohana, au Injili ya Matayo ni kweli ameandika Matayo au ya Luka na Marko.

Sasa mlitakiwa myachunguze sana maandiko yenu, huwa nasema hivi kila siku laiti Wakristo mngekuwa na akili timamu Nina uhakika kabisa hakuna yeyote angesalia kuwa Mkristo.
 
Hata ivo Quran ni zao la Bible

Tatizo hawataki.
Mungu WA Biblia ni Yehova
Mungu WA Quran ni Allah ambaye ni Mungu wa waarabu.

Manabii wote wa kiyahudi walimuabudu Yehova lakini Quran inapotosha ati aliyeabudiiwa ni Allah.
Huoni hapo kuna hoja ya kujadiliwa
 
Mahakama inatumia Sheria zilizowekwa kulingana na Katiba (Makubaliano yaliyopo)

Sasa unavipeleka hivi mahakama ya wapi ? Kama ni Mahakama ya Tanzania ambayo haina dini vyote vingetupiliwa nje, kama ni Mahakama ya Logic vilevile; Kama ni Sayansi halikadhalika....

Unless otherwise yatakuwa ni majibishani yasiyo na mwisho..., huwezi kuniuliza nikwambie ukweli alafu ukweli wenyewe unatoka kwenye kitabu changu alafu udhani kwamba utanishinda wakati proof na maelezo vyote vinatoka kwangu
 
We unafikiri hawajui
Wanajitoa ufahamu tu.

Mungu wao Allah alikuwa na watoto watatu.
Binti Uzza na kaka zake wawili ambao Muhammadi kawa ambia Waislamu wawaabudu.

Yeye Muhammadi akijiita mtume, binafsi na wafuasi wake waliwahi kuwasujudia.

Na hadi leo wapo kwenye Qurani.
Na wameambiwa wawape hadhi kama watoto wa Allah.

Allah na hao watoto wake walikuwa wana abudiwa na Waarabu kabla ya kuzaliwa Muhammadi.
Muhammadi akawarithisha Waislamu.

Wanajua kila kitu ila katika kutetea dini kuongopa ni silaha yao pia.
 
Nimecheka sana, usiongelee suala la Lugha mbele yangu, sababu hili ni jambo langu.

Nomino ni tamko lenye kutambulisha kitu na halifungamani na wakati. Ongeza faida hii katika maana ya jina. Bado mchanga sana katika suala la Lugha na ufasaha wake.
 
Na wewe niambie Sura ya Majini kaandika nani kwenye qurani?

Nipe uthibitisho kamili.
 
Mungu ni jina la pekee, sababu anapotajwa Mungu humaanishwa yule aliye umba mbingu na Ardhi, ndiyo maana kinyume na hao husemwa ni miungu wa uongo. Muwe mnasoma lugha na asili ya maneno na jinsi ya kuyatumia.
 

Kwa hiyo muarabu Muhammad ndio anaweza kuwa na taarifa za Wayahudi kuliko Wayahudi wenyewe? Imani ni kitu kibaya Sana yaani kinaondoa akili kabisa.

Muhammad ambaye hajawahi ishi Bethlehem na Jerusalem,
Am aye hajui hata tamaduni za Wayahudi, Ambaye hajawahi kuona hata kitukuu cha mitume au manabii wa kiyahudi ndio umuite primary source wako Kwa kuelezea vitu asivyovijua Kama Mimi na Wewe hapa.

Yaani Muhammad anaposimulia habari za kina Musa au Daudi Hana tofauti na Mimi na Wewe hivi leo.
Wote hatujawahi kufika uyahudini, wote hatujwashuhudia HAO watu, Kiufupi ni mtu mjinga tuu anayeweza kuchukulia taarifa za hearsay kama primary data.

Ungeenda shule ungeelewa nazungumzia nini.
 
Na wewe niambie Sura ya Majini kaandika nani kwenye qurani?

Nipe uthibitisho kamili.
Surat Al Jini, imeandikwa na maswahaba kwa muongozo wa Mtume, Rejea kitabu Al Itiqaad fi Ulumil Al Qur'aan Cha Imam Suyuti na kadhalika Rejea kwenye kitabu Cha Tafsir ya Ibn Kathiri.

Wakristo huwa nawaona wajinga pale ambapo hamuujui Uislamu lakini mnauzungumzia kwa kujidai mnaujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…