Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Garasa huyo ROBERT HERIEL achana nae,hana hoja
 
Jinga Hili latoa manen0 pasi na ithibati
 
Jinga Hili latoa manen0 pasi na ithibati
Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Quran inasema Hawa manabii wote walikuwa waislam Sasa kama wewe sio mjinga toa ushahidi wa mandiko kama walikuwa na dini nyingine kinyume na uislam

Otherwise wewe ndio mjinga
 
Mfano mwingine namuongezea.
Nina kiduka changu cha spare za pikipiki nauza mwenyewe ila kwenyebango naandika [TUNAUZA SPARE ZA PIKI PIKI KWA JUMLA NA REJA REAJA]
hapo wamiliki wa hilo duka n wangapi?
Acheni kupotosha , Allah anaposema we anajiweka yeye na Malaika na ma horis , rejea aliposema akitaka mke anakula wa jamii yake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alie andika Koran alikuwa mjinga Sana , yupo surah ya 5 alafu anasema kakamilisha dini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Sawa Mwerevu mvaa rozari aka mungu wa miti
 
Walikuwa wanamcheka , na mpaka ikifikiwa wakamfuata Aisha wakamwambia amwambie anapindisha historia ya Jews na anachanganya majina
 
TUCHUNGE SANA MIDOMO YETU HAYA TUNAYOYAANDIKA IPO SIKU TUTAYAKUTA KWA MUUMBA WETU SISI SIO CHOCHOTE ILA NI VIUMBE DHAIFU SANA KWAHY USISEME KILE USI HOKUWA NA ELIMU NACHO USIJE UKAJUTIA MBELENI
Ungejibu tu Kwanini yupo surah ya Tano anasema amekamilisha dini , surah zaidi ya 100 mbele ni za nini, alieandika alikuwa mjinga au waliochakachua na kupanga surah walikuwa wajinga
 
Walikuwa wanamcheka , na mpaka ikifikiwa wakamfuata Aisha wakamwambia amwambie anapindisha historia ya Jews na anachanganya majina
Nakumbuka hii
Mwisho wakamwita Rainaa
Yaani mwongo na mpotoshaji mkubwa.

Walaqa Bin Naufal, Padri mtaafu wa Roman C. aliyekuwa anamwelekeza alimpotosha nadhani kwa makusudi kabisa.
 
Nakumbuka hii
Mwisho wakamwita Rainaa
Yaani mwongo na mpotoshaji mkubwa.

Walaqa Bin Naufal, Padri mtaafu wa Roman C. aliyekuwa anamwelekeza alimpotosha nadhani kwa makusudi kabisa.
Waraka alivyokufa Muhammad akawa chizi akawa anataka kwenda kujiua ,na Koran ikasimama kutoka , Muhammad alipata msongo wa mawazo atatoa wapi tena Koran

Badae akijiongeza akatafuta mkristo mwingine akawa anamsaidia
 

Kwa hiyo unadhani hii Quran iliyopo Muhammad aliitumia au ilikuwepo?
Quran yenyewe Sura zake zimekusanywa ndio kikatokea kitabu kinachoitwa Quran.

Sasa swali ulilouliza kuhusu nini lengo la mkusanyaji wa vitabu vilivyomo kwenye Biblia unatakiwa ueleze sababu za aliyekusanya Sura zilizounda Quran.

Maana mpaka Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran
 

Yaani mayahudi wakubali uongo wa Muhammad?
Embu kuwa serious kidogo.

Nitajie sehemu ambayo mayahudi walipindisha vitabu vyao?
 
Umesema kweli tena kweli kabisa.
Tatizo walowengi hapa ndani hawaelewi na hawataelewa ulichoandika.

Walowengi hao walokuja kwenye comment na kuzungumza ujuaji ni wale ambao kama ni muislam basi hata hyo Quran yenyewe hajui ni nin Ila akija hapa kwa kua yeye ni muislam basi atakuja kubwata hapa.

Watanzania hawajui na hawapendi kujifunza kikisemwa kitu cha kweli utasikia kelele ooh huyu hivi huyu vile.

Brother ROBERT HERIEL umeandika kweli mwenye kusoma na kuelewa aelewe bichwa nyumbu basi wasubil somo lijalo
 

Hivi muarabu ndio atakuwa na matini ya Injili ya Wayahudi?πŸ˜‚πŸ˜‚

Yesu alikuwa na wanafunzi hao ndio waliandika habari zake.
Sio Yesu tuu hata Mtume alikuwa na maswahaba na ndio walioandika hiyo Quran.

Hoja zilizopo pale juu hamjazijibu hata Moja, mnarukia matawi juujuu kama ngedere.
 

Yesu Hakuwa Myahudi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unafikiri Wayahudi vitabu vyao wanaandika kama wanakimbizwa?
Yesu ukoo wake upo kwenye Biblia mpaka unatokea Kwa Adamu.

Unaweza Nipa ukoo WA Muhammad hata Kwa vizazi vitano kutoka Kwa Baba yake?
 
Muhammad kahadithiwa na nani? Kumbuka hata wewe hata wewe hayo unayoeleza kuhusu biblia ni hadithi hivyo hivyo kwa maana huwezi kuthibitisha kuwa hivyo unavyoeleza ndivyo kweli ipo hivyo hivyo ndio maana nasema cha kwanza ni imani.

Hapa tunachojadili ni ushahidi uliopo mahakamani ambao ni Biblia na Qura. Tunaangalia kitabu kipi kinafaa kuwa rejea kuu na kina ukweli Mkubwa.
Ndio maana mahakamani hakimu na mauaji kazi Yao ni kusikiliza na kuona ushahidi na kutoa maamuzi ingawaje wao hawakuwepo.

Sisi hivi leo ni majaji na mahakimu katika ushahidi uliopo WA vitabu hivyo viwili. Je kipi ni chakweli na kinafaa kuwa rejea kuu.
Ndio hoja iliyopo.

Mpaka sasa Mawakili na watetezi WA Quran hawajajibu hoja zilizotolewa naona wanarukaruka.
Ni Kama hawajawahi kusimama mahakamani.
 
Hii ndio biblia unayo hiamini?

Isaya 23:17
[17]Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.
 

Mimi nasubiri mwenye hoja za maana
 
Hii ndio biblia unayo hiamini ?

Isaya 23:17
[17]Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…