Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #821
Poa. Wewe nilishamalizana na wewe, nasubiri majibu ya maswali yangu mliyo kimbia, mtuletee Injili ya Yesu na mtuambie kwanini mnaamini kitabu ambacho hata lugha ya Yesu hamuijui na matini yake hamna. Siku ukiwa na akili walau ya kuliona hili nitafutie tujadili haya mambo.
13 Nanyi pia katika huyo mmekwisha kulisikia neno la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamini yeye, na kutiwa muhuri na Roho yule wa ahadi aliye Mtakatifu.
Waefeso 1:13
14 Ndiye aliye arabuni ya urithi wetu, ili kuleta ukombozi wa milki yake, kuwa sifa ya utukufu wake.
Waefeso 1:14
ENDELEENI KUMKANA NABII MUHAMMAD MAMBO HADHARANI SASA HUYOOO KUTOKA ARABUNI
Wewe ROBERT HERIEL itakuwa una mtindio wa ubongo na ndio maana haulewi ila kwa Sasa wewe tunakufanya kama ubao ili wagalatia wenzako wenye akili wasome na waeleweKwa hiyo Kwa akili yako waarabu ndio wanainjili ya Yesu?
Au Muhammad ndio anainjili ya Yesu?
Mtu ambaye hajawahi kufika Yerusalemu, mtu ambaye Hajawahi kuwaona mayahudi wa kipindi cha Yesu ndio anayoinjili ya Yesu.
Mtu ambaye hajui hata Yesu alizaliwa wakati gani na wapi ndio anayoinjili ya Yesu?
Kuwa serious kidogo.
Ni Sawa na wewe ATI uwe na matini za muhamadi OG kuliko Muislam aliyepo Mecca kwenye maktaba kuu za Waislam.
Tutajie hapa hiyo Chain ya Ibrahiim mpaka kwa Yesu.
Kisha Kuna maswali nitakuuliza. Kisha nitakupa utajo wa Yesu ambao katika uzao ambao umetofautiana, Kisha uweke jibu ambalo sahihi. Shida wakristo si wasomaji.
Kuna verse 23,145 kwenye agano la kale, na agano jipya Lina verse 7,957 biblia yote Ina verse 31,102Na hawezi kuipata dunia ingalipo
Kwa hiyo wewe neno kuwa na maana zaidi ya Moja Hilo hulijui?
Arabuni Kwa lugha nyingine ni rehani/Guarantee au malipo ya awali.
Soma Bible ya kingereza home
Ephesians 1:14, NIV: who is a deposit guaranteeing our inheritance until the redemption of those who are God's possession--to the praise of his glory.
Ephesians 1:14, ESV: who is the guarantee of our inheritance until we acquire possession of it, to the praise of his glory.
Ephesians 1:14, KJV: Which is the earnest of our inheritance until the redemption of the purchased possession, unto the praise of his glory.
Ephesians 1:14, NASB: who is a first installment of our inheritance, in regard to the redemption of Godβs own possession, to the praise of His glory.
Ephesians 1:14, NLT: The Spirit is God's guarantee that he will give us the inheritance he promised and that he has purchased us to be his own people. He did this so we would praise and glorify him.
Ephesians 1:14, CSB: The Holy Spirit is the down payment of our inheritance, until the redemption of the possession, to the praise of his glory.
Soma Aya zingine zinazotumia istilahi Arabuni 2Wakorintho 1:22 βnaye ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetuβ.
2Wakorintho 5:5 βBasi yeye aliyetufanya kwa ajili ya neno lilo hilo ni Mungu, aliyetupa arabuni ya Rohoβ.
Ni Sawa na neno Kifaru, kinaweza kuwa na maana zaidi ya Moja,kifaru mnyama, kifaru zana ya kuvuta.
Unaposema andiko lolote lazima uangalie muktadha/context ya neno husika lilivyotumika
Kwa hiyo wewe neno kuwa na maana zaidi ya Moja Hilo hulijui?
Arabuni Kwa lugha nyingine ni rehani/Guarantee au malipo ya awali.
Soma Bible ya kingereza home
Ephesians 1:14, NIV: who is a deposit guaranteeing our inheritance until the redemption of those who are God's possession--to the praise of his glory.
Ephesians 1:14, ESV: who is the guarantee of our inheritance until we acquire possession of it, to the praise of his glory.
Ephesians 1:14, KJV: Which is the earnest of our inheritance until the redemption of the purchased possession, unto the praise of his glory.
Ephesians 1:14, NASB: who is a first installment of our inheritance, in regard to the redemption of Godβs own possession, to the praise of His glory.
Ephesians 1:14, NLT: The Spirit is God's guarantee that he will give us the inheritance he promised and that he has purchased us to be his own people. He did this so we would praise and glorify him.
Ephesians 1:14, CSB: The Holy Spirit is the down payment of our inheritance, until the redemption of the possession, to the praise of his glory.
Soma Aya zingine zinazotumia istilahi Arabuni 2Wakorintho 1:22 βnaye ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetuβ.
2Wakorintho 5:5 βBasi yeye aliyetufanya kwa ajili ya neno lilo hilo ni Mungu, aliyetupa arabuni ya Rohoβ.
Ni Sawa na neno Kifaru, kinaweza kuwa na maana zaidi ya Moja,kifaru mnyama, kifaru zana ya kuvuta.
Unaposema andiko lolote lazima uangalie muktadha/context ya neno husika lilivyotumika
Wewe ROBERT HERIEL itakuwa una mtindio wa ubongo na ndio maana haulewi ila kwa Sasa wewe tunakufanya kama ubao ili wagalatia wenzako wenye akili wasome na waelewe
Mtume Muhammad alifunuliwa na Mungu muumba mbingu na aridhi kuwa Yesu amezaliwa chini ya Shina la mtende
Quran 19-23
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
Quran:25.
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
Sasa kama wewe unaona Quran imedanganya weka ushahidi wako unao onyesha sehemu alipozaliwa Yesu
Isaya 19:1ULICHOKIMBIA NAKIJUA VIZURI SANA ILA KWANGU MM HUJAKIMBIA BADO
MTIRIRIKO WA KUTOA UFUNUO KATIKA MAENEO MBALIMBALI UPO TOA NA HII HALAF NIKUULIZE SWALI
Ufunuo juu ya Misri. Tazama, Bwana amepanda juu ya wingu jepesi, anafika Misri; na sanamu za Misri zinatikisika mbele zake, na moyo wa Misri unayeyuka ndani yake.
Isaya 19:1
USIPOTOSHE UMMA ARABUNI NI ENEO
JAMBO GANI SASA KAELEZADW
Sijakataa Ila nimekupa na Aya zingine zinazoelezea maana nyingine ya arabuni ni rehani/dhamana au bond.
Hiyo Isaya haimtabiri Nabii kutoka Arabuni Ila inaeleza Jambo jingine.
Wewe si umesema ya kuwa hakufika Makka ? Maana yake unajua ya kuwa hakufika Makka.
Mimi nimekwambua amefika na ndiyo ambaye amejenga ule Msikiti. Sasa kati yangu Mimi na wewe nani anatakiwa athibitishe ya kuwa hakufika Makka ?
Fundisho jipya kwa maana ipi mkuu? Inajulikana Muhammad kaja na Qur'an sasa sijaelewa unakusudia nini kusema fundisho jipya?
3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.Kwema Wakuu!
Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.
Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?
Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.
Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.
Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.
Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;
1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.
a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.
Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.
Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.
Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.
2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.
Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.
Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.
3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!ππ
Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.
Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.
4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.
Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?
Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.
Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?
Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.
Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.
5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.
Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.
Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.
6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.
Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.
Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.
Majaji mjadili kwa hoja.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Wewe ndio unabisha kuwa Arabuni haijapokea ufunuo thibitisha hoja Yako bac usikane bila sababu toa sababu tuione"The burden of proof" inakuwa juu yako.
Ukisema Jambo Fulani lilitokea wewe ndio unatakiwa uthibitishe.
Mtu akisema umeiba, yeye ndiye anapaswa athibitishe umefanya tukio hilo.
Elimu yako tafadhali
Maneno yote katika QURAN ni maneno ya ALLAH
ALLAH alikuwa anamwambia Malaika JIBRIL then JIBRIL anamwambia nabii MUHAMMAD full stop
SASA SHIDA IPO PIA LENGO LA KUSIMULIWA NABII NINI3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!ππ
Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
watu wangu wanapotea Kwa kukosa maarifaUna hoja za msingi sana ila mtu akisoma kimhemko hataelewa, aliyekufunulia hivi sio wewe na akili zako bali yule Roho Mtakatifu aliye ndani yako.