Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Sasa unamiini kitabu gani kati ya hvo viwili maana Quran imekusanya yote kuanzia kwa musa ad kwa Muhammad imetoka injili ikaja Quran nyie MNA biblia
Quran gani hiyo ina injili,Zaburi na TORATI?


Unajua maana ya ZABURI Lakini?

ALLAH ANAMWAMBIA MUHAMMAD katika Surat Yunus 94 KUWA, KAMA ANA SHAKA NAYE KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU, BASI AWAULIZE WAKRISTO AMBAO WANASOMA "KITABU-BIBLIA".

HAPA ALLAH ANAHAKIKISHA NA KUTHIBITISHA KWA MUHAMMAD KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU.

Surat Yunus 94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka

unaona jinsi Allah anavyo KIRI KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU? Sasa kwanini Waislam wanabishana na Allah wao na Mtume wake kipenzi Muhammad kuwa Biblia sio maneo ya Mungu?

KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.


MTUME MUHAMMAD SASA ANAKIRI KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU NA ANAIAMINI.

Surat Ash Shuura 15. Basi kwa haya waite! Nawe simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wala usiyafuate matamanio yao. Na sema: NAAMINI ALIYO TEREMSHA MWENYEZI MUNGU KATIKA VITABU. Na nimeamrishwa nifanye uadilifu baina yenu. Mwenyezi Mungu ni Mola wetu Mlezi, na Mola wenu Mlezi. Sisi tuna jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu. Hapana kuhojiana baina yetu na nyinyi. Na Mwenyezi Mungu atatukusanya pamoja, na marejeo ni kwake

Mtume Muhammad sasa anasadiki katika Biblia iliyo kuwepo kabla ya Quran na ansema hivi, nukuu: NAAMINI ALIYO TEREMSHA MWENYEZI MUNGU KATIKA VITABU

MASWALI:

1. Sasa kama Muhammad anaiamini Biblia, wewe Muislam, ni nani aliye kuroga na kusema kuwa Biblia imetiwa Mkono na sio maneno ya Mungu?

2. Kama Biblia imetiwa mkono, basi, NILETEE NAKALA YA BIBLIA ambayo haikutiwa MKONO ILI NA MIMI NISADIKI KAMA MUHAMMAD?

ALLAH NA MUHAMMAD WANAKIRI KUWA INJIL NI UWONGOFU NA NI NURU NA INAYO SADIKISHA

Surat Al Maida 46. Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu.

Waislam wengi wanadai kuwa Injil iliyo ndani ya Biblia imetiwa Mkono, INGAWA AHAWANA aya kusaidia hayo maneno zaidi ya hadith dhaif dhaif ambazo sio maneno ya Allah.

SASA BASI, kama kweli Injili ilitiwa MKONO, naomba mnijibu maswali yafuatayo.

1. Nileteeni Injili ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Injili iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitisha Taurat?

2. Nileteeni Taurat ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Taurat iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

3. Nileteeni Zaburi ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Zaburi iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

WAISLAM, MKISHINDWA KUNIONYESHA WAPI ZILIPO INJILI, ZABURI, NA TAURAT zilizo teremshwa kabla ya Quran, basi kushindwa kwenu ni jibu tosha kuwa BIBLIA NI MANENO YA MUNGU NA IMEKAMILKA NA UWONGOFU KWA WALIO ONGOKA.
 
Acha uzushi hakuna Biblia ya walokole au ya wasabato ,
 
Quran haiwez kuwa na Mambo Kama haya
Yesu alisema katika Mathayo 24:2,
"...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa" . Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.

Mwaka 70 AD jeshi la Dola la Roma lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijlikana kama Ukuta wa Maombolezo na ni patakatifu pa Wayahudi.

Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.

Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.

Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba. Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,.Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU , biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo , AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.

Na hoja hizo ndizo zimekuwa zikijadiliwa tena na tena kwenye Mabunge ya Marekani na Nchi za umoja wa mataifa juu ya uhalali wa Nchi ya Israel kuwa ndio wamiliki halali wa Mji wa Yerusalem
 
KATI YA #YESU NA #MUHAMMAD NI NANI WA KUMFUATA?

Ukweli Muhammd yeye mwenyewe alijifahamu na ndio maana wala hakujikweza kama ambavyo Waislamu wanavyomuinua Muhammad kuliko Yesu. Shida Waislamu wengi Wanasomewa Qurani na viongozi wao, na hivyo hata wakidanganywa hawafahamu kwamba wamedanganywa. Sasa katika somo hili nataka tuone kati ya Yesu na Muhammad ni nani anastaili kufuatwa kwa mujibu wa Quran na Biblia?

1. #Muhammad alikuwa mwanadamu wa kawaida tu kama tulivyo mimi na wewe na alizaliwa mwaka wa 570, isitoshe kabla ya kupewa Utume na Mapadre wa Kikatoiki Muhammadi alikuwa mpagani tu, Lakini #Yesu #Kristo hakuzaliwa kama Muhammad, Yesu mimba yake ilipatikana kwa uwezo wa Roho mtakatifu.
#AALI IMRANI 3:45 #inasema; (Kumbukeni) waliposema Malaika β€œEwe Maryamu Mwenyezi Mungu anakupa khabari njema za (kuzaa mtoto bila ya mume bali kwa kutamkwa) neno litokalo kwake (la kukwambia β€œzaa” ukazaa pasina kuingiliwa……….”
#MATHAYO 1:18 inasema β€œKuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

2. #Muhammad alikuwa na dhambi kama wanadamu wengine:
Quran #inasema: β€œJua ya kwamba hakuna aabudiwaye kwa haki ila Mwenyezi Mungu, na omba Maghufira(msamaha) kwa dhambi zako na dhambi za Waislamu wanaume na Waislamu wanawake. Na Mwenyezi Mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi na mahali penu pa kukaa.” #Muhammad 47:19
Lakini Yesu alikuwa mtakatifu hakuwa na dhambi kama Muhammad.
#Maryam 19:19 #inasema β€œβ€(Malaika) akasema: β€œHakika mimi ni Mjumbe wa Mola wako: ili nikupe mwana mtakatifu.”
1 #Petro 2:21 β€œ …..maana Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielelezo, mfuate nyayo zake. Yeye hakutenda #dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake”. Hivyo manabii wengine wote walikuwa ni wadhambi, Akiwepo Mtume Mohamad naye alikuwa na dhambi:

3. #Muhammad anasema yeye ni muonyaji tu na pia hajui atakalofanywa siku ya kiyama yeye na watu wengine wanaomfuata. Je kuna haja gani ya kumfuata mtu ambaye yeye mwenyewe hajui atakachofanywa siku ya kiyama? Ama kweli kipofu akimuongoza kipofu mwenzake ni lazima waingie shimoni.
#AL-AHQAF 46:9 inasema β€œβ€Sema: Mimi si kiroja (mpya), katika Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa mimi wala mtakavyofanywa nyinyi. Sifuati ila yaliyofunuliwa kwangu; na si kuwa miye lo lote ila ni Mwonyaji tu ninaye (kila linalohitajika)
Lakini Yesu alitumwa kuwaokoa watu kutoka dhambini, akiwamo na Muhammad ambaye alitenda dhambi.
#Mathayo 1:21 inasema β€œNaye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao”

4. Muhammad anakiri kwamba Yesu Kristo ni alama ya Kiyama na pia Yesu ndio njia iliyonyooka.
#AZ-ZUKHRUF 43:61-62 inasema Na kwa kweli (yeye Nabii Isa) ni alama ya #Kiyama (kuwa kinaanza kutukaribia); msikifanyie shaka na nifuateni. Hii ndiyo #njia iliyonyooka.Wala asikuzuieni shetani; bila shaka kwenu yeye ni adui aliye aliye dhahiri.
Yesu ndio njia ya kweli:
#Yohana 14:6 inasema Yesu akamwambia, Mimi ndimi #njia,na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi”
Na Waislamu wote wanaamini Yesu atarudi siku ya kiyama, na sio Muhammad ina maana Yesu ni zaidi ya Muhammad mara 100.

5. Qurani inatoa ahadi kwamba wale wanaomfuata Yesu watainuliwa juu, na wale wanaomkufuru Yesu watakuwa chini. sijajua Waislamu kama huwa wanasoma Aya kama hizi katika Misikiti, maana wangekuwa walisha acha muda Kumkuuru Yesu
#AALI IMLAN 3:55 (Kumbukeni Mwenyezi Mungu aliposema: β€œEwe Isa! Mimi nitakutimizia muda wako wa kuishi. Na nitakuleta kwangu, na nitakutakasa na wale waliokufuru , na nitawaweka wale walokufuata juu ya wale waliokufuru, mpaka siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyokuwa mkihitilafiana.

6. Yesu ana mamlaka na Heshima Mbinguni na Duniani, tofauti na Muhammad ambaye alikuwa na mamlaka katika Makka na Madina tu.
#AALI IMRAN 3:45 inasema: β€œβ€Jina lake ni Masihi,Issa, mwana wa Maryam, mwaenye hishima katika dunia na Akhera….”
#Mathayo 28:18 inasema: Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani”
Yaani hapo hata Muhammad yupo chini ya Yesu, na Yesu ndio atakayetoa hukumu kwa Muhammad na Waislamu wote siku ya mwisho.
#Yohana 5:22-23 Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyempeleka.

7. Yesu ndio kauli halisi ya Mwenyezi Mungu,(Neno), Yaani Yesu akiongea jambo ina maana ni Mungu ndio kaongea tofauti na Muhammad.
#Maryamu 19:34 β€œβ€Huyu ndiye Nabii Isa Bin Mariamu. (Hii) ndiyo #Kauli ya haki ambayo Wanaifanyia shaka””
#Yohana 1:1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

#Yohana 12:31-32 Yesu anasema Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu(shetani) atatupwa nje. Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.

8. Yesu alikufa na akafufuka tofauti na Muhammad ambaye alikufa kama wanadamu wengine na hjafufuka.
Yesu anasema hivi katika #Quran 19:33 Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa na siku #nitakayokufa na siku nitakayofufuliwa kuwa hai”

Aya hii ipo wazi kabisa kwamba Yesu alikufa na kufufuliwa,Nawaomba Waislamu, mwenye aya ndani ya Qurani inayokataa kwamba Yesu hakufa atoe hapa.

Hakuna nabii yeyote aliyewahi kufa akafufuka na kwenda mbinguni zaidi ya Nabii Isa/ Yesu, na ndio maana anaheshima Mbinguni na Ahera. Je, Muislamu wa leo unayempuuzia Yesu utaenda Ahera ya nani, wakati unayemdharau ndiye mwenye mamlaka.? Yaani ni sawa na mtu anasafiri hajui aendapo halafu anaanza kumdharau mweneji wake, huo ni ukosefu wa akili.
Ndugu zangu Waislamu Usalama pekee ni kumuamini Yesu kwanza na sio Muhammad ambaye hajui siku ya Mwisho atafanywa nini. Mpokee Yesu leo ili uwe salama siku ya KIYAMA:
 
The religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as Samaritanism and BahΓ‘ΚΌΓ­ as well as "religiously

Waisrael wamelaniwa na Mungu pamoja na manabii lakini Bado wameukataa ukristo wameona huko katika ukristo ni kupotea zaidi. Wewe ukristo umeupata wapi?
 
Quran umeisoma na unaijua?

Uislam unaujua vizuri? Yani kufikia level yakuukosoa ?

Majibu yakiwa NDIO au HAPANA itapendeza zaidi

Au unaenda kusearch aya moja moja google..?

Kabla sijakufafanulia mambo yanayokusumbua ningependa kujua uelewa wako juu ya Quran kwasababu umesema wewe ni ex-muslim

Je ? Unaufahamu gani kuhusu BUKHAR NA MUSLIM ?

Ukileta aya za Quran kwenye jukwaa ni wazi kwamba umeielewa vizuri na unaweza kuitolea ufafanuzi kwa lugha iliyo fasaha kwa mujibu wa mtafsiri uliyemtumia kwasababu Lugha yetu ni masikini tafsiri zote zimetolewa maelezo

Kama umeisoma Quran vizuri na tafsiri yake na hutobabaika katika kutoa hadithi za Muhammad zilizo sahihi nakukaribisha kuukosoa uislam ila kama kichwa dafu yani una maji tu hujui chochote achana Quran mkuu huwezi pata ukweli kwakudonoa donoa

Mimi siwezi kuweka andiko lolote la bible apa kwasabu nipo shallow upande uo nisije leta kitu kwa uelewa tofauti na mnavyoelewa kwenye kitabu chenu nikawapa wakati mgumu

Nikitaka kukusilimisha natumia kitabu changu sikosoi chako yani nakwambia Muhammad ni mtume wa mwenyezi mungu amepewa quran awafikishie watu unapaswa umfuate yeye ndo nabii wa mwisho,
Ameamrisha watu kumuabudu Mungu mmoja aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo unapaswa kumuabudu Mungu aliyekuumba moja kwa moja bila kumshirikisha na kitu au kiumbe chochote "very simple"

Na huwezi kuwa muislam bila kukubaliana na alichokuja nacho yesu, musa, ibrahim, daudi na wengineo katika manabii

Apo chagua wewe kumkana muhammad au kumkubali ujumbe umefikishiwa


Ila kubishana na wewe kiukweli nikupoteza muda unachoandika kina reflect uwezo wako kuwa ni mdogo

Nenda youtube kaangalie mijadala mbali mbali aliyofanya Zakir naik au Ahmed deedat na wanazuoni wako wakubwa utang'amua kitu japo kuwa kwa upande wako naona wanakosea kuwaita watu katika dini ya haki kwakukosoa kitabu chao [emoji41]
 
AKIYEKUDANGANYA MUNGU WETU NI WA WENGI WAPE NANI?

ALISHAWAHI KUBAKI NA WATU NANE AKAANGAMIZA HII DUNIA KWA GHARIKA

ALISHAWAHI KUBAKI NA WATU HATA 10 HAWAFIKI AKAANGAMIZA SODOMA NA GOMORA


Mungu wetu Sio wa Demokrasia

Achana na Kauli za CHADEMA za kusema SAUTI YA WENGI NDIO SAUTI YA MUNGU Ni uzushi

Sikia


Mt 7:13-14 SUV

Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.



Kuna Ishara Kuu tatu ambazo Zilitabiriwa Kuelezea Matukio yatakayofanyika Siku Za Mwisho Kuhusu Wayahudi

Biblia inasema kuwa, katika siku za mwisho:
(a) Wayahudi watarudi katika nchi ya Israeli
(b) Israeli litakuwa ni taifa tena
(c) Jiji la Yerusalemu litawekwa huru kutoka kwa maadui zake

Maelezo:-
a) Wayahudi walikuwa wametawanywa dunia nzima katika mwaka wa 70B.K. Tokea wakati huo, kwa karibu miaka 2000, hawakuwa na nchiiliyokuwa yao wenyewe. Lakini katika nyakati zetu hizi tumewaonawakiirudia Nchi ya Israeli, na kwa kufanya hivyo kuutimiza unabii wa Biblia:
{YEREMIA 30:3}
β€œTazama, zinakuja, anasema BWANA, nitakapowarejeza watuwangu wa Israeli na Yuda waliofungwa, asema BWANA, naminitawarudisha hata nchi niliyowapa baba zao, nao wataimiliki”

(b) Katika mwezi MAY 14, 1948, ingawa kulikuwa na upinzani mkali sana kutokakwa Waarabu, Taifa la Israeli lilianzishwa, kinyume na vikwazo vyote. Nchihiyo tangu hapo imechukua nafsi yake kati ya mataifa ya ulimwengu.
Mungu alishasema hili lingetokea kupitia kwa nabii Ezekieli, zamani sana:

Zaidi ya miaka 2,500 Mungu alimpa nabii Ezekieli ujumbe ufuatao;

β€œTazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe; … Katika miaka ya mwisho, utaingia nchi … juu ya milima ya Israeli, iliyokuwa ukiwa wa daima; … Itakuwa katika siku za mwisho, nitakuleta upigane na nchi yangu, ili mataifa wanijue” (Ezekieli 37:21; 38:8.16) .
 

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as Samaritanism and BahΓ‘ΚΌΓ­ as well as "religiously

Sasa wewe unalizungumzia taifa la Israel na wayahudi wanakuhusu nini wakati Imani zenu ni tofauti kabisa na Mungu muumba mbingu na nchi (Allah) anasema nyinyi wakristo na wayahudi hizo dini mmezizua hivyo jahanam inawasubiri.
 
Sasa unamiini kitabu gani kati ya hvo viwili maana Quran imekusanya yote kuanzia kwa musa ad kwa Muhammad imetoka injili ikaja Quran nyie MNA biblia
Koran story zake ni za kuunga unga ,ukitaka habari ya Musa unafanya kutafuta kwa tochi surah mbali mbali , unakuta mpaka anasema waisrael walirith misri full kujichanganya na habari ni full scattered
 

Mkuu uliwahi kuwa Muislam?
 
Wapi tumesema YESU ni mtoto WA yakobo wewe jamaa umechanganyikiwa
Wapi nimesema Yesu ni Mtoto wa Yakobo ?

Maandiko yenu mwanzo yanajichanganya yanasema Yesu Kristo mwana wa Daudi mwishoni yana sema Yusufu Mtoti wa Yakobo alimuoa Mariam aliye mzaa Yesu. Sasa niambie Kitambo Cha Musa mpaka Yesu ni kipi ?

Sababu Yusufu alikuwepo kabla ya Musa, halafu Yusufu mnaambiwa alimuona mama yake Yesu ambaye ni Mariam na nyinyi mnaamini ?
 
Harun si Jina kila mtu anaweza tumia mbona unajitoa ufahamu
Mtume wetu alikuwa ana mtoto akiitwa Ibrahim. Sasa vipi iwamba si kila mtu hawezi kulitumia wakati ushakunali kuwa ni jina Hilo ? Kijana unajua unachokiandika ?
 

Mkuu mbona kichwa chako Kama kimebeba maji badala ya ubongo?

Kwa hiyo huyu Mohammed Dewj sio Mohammad Kwa sababu Hilo jina ametumia Mtume Muhammad WA miaka ya 570AD?

Jina moja linaweza tumiwa na watu wengi Acha kujidhalilisha humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…