Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
ARABIAN FITNA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quran gani hiyo ina injili,Zaburi na TORATI?Sasa unamiini kitabu gani kati ya hvo viwili maana Quran imekusanya yote kuanzia kwa musa ad kwa Muhammad imetoka injili ikaja Quran nyie MNA biblia
Acha uzushi hakuna Biblia ya walokole au ya wasabato ,Katika suala la vitabu kila kitabu kimeandikwa kwa namna yake taurati ,Injili ,Zaburi pia Quran waislam wanaamini ivi vitabu vyote ndio vilivyo andikwa kwenye hiyo Quran Ila Bible naona mikono ni mingi Sana Bible ya walokole tofatuti na wasabato.
Ila Quran ya USA same na apa kwetu buza .
Quran haiwez kuwa na Mambo Kama hayaHata Biblia imetaja hayo yote,
Biblia imetaja mfumo wa uzazi, bahari, upepo, anga, jua, mwezi, nyota, mimba, ndoto, kifo n.k.
Tukirudi kwenye Nguruwe Biblia zote zinafanana, alafu Torati inaeleza wazi kuwa Nguruwe ni haramu, sio nguruwe tuu hata ngamia, sungura, Bata, kambale, kibua, pweza n.k.
Biblia inakataza.
Jambo moja la kuweka Akilini kuhusu Ukristo, ni hivi; kuna sheria za Biblia na sheria za Kanisa. Sasa ninyi msioujua Ukristo ndio mnambwela mbwela Kwa kuchanganya hayo mambo.
Quran hauwezi izidi Biblia kivyovyote.
Ila Biblia inazidi Quran Kwa mambo MENGI.
Mfano,
Ni Biblia pekee inayojua dunia imetoka wapi, ilipo na wapi inaenda kwani Biblia ndio imeeleza binadamu aliumbwa na Mungu, zikatokea falme za dunia kama Nimrodi, waashury, wamisri, Wakaldayo(babeli), Wamedi, waajemi, wayunani, Warumi, Zama za Giza, na ku-rise Kwa mataifa.
ya Ulaya mpaka marekani.
Lakini Quran haina hiyo connection kihistoria.
Yenyewe inarukia rukia mambo.
The religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as Samaritanism and Baháʼí as well as "religiouslyMohamad kasema yeye ndio mwislam wa Kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baadaye waandishi wa Quran wakampiga chini wakasema Adam na Musa na Ibrahim Hao ndio waislam WA Kwanza . Mimi naungana na Mohamad yeye ndio mwislam wa Kwanza na Quran ndio mwongozo WA waislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Musa hakuwa mwislam WALA Adam WALA Ibrahim Ni mchongo WA watu fulani tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nipo kanisani nakemea majini Kwa Jina la Yesu
Quran umeisoma na unaijua?Usilete uongo kusema kwamba, MUHAMMADI kusema kwamba, yeye ni wa kwanza wa Waislamu ni katika zama zake, Quran haisemi hivyo.
وَأُمِرْتُ لِأَنْ أَكُونَ أَوَّلَ الْمُسْلِمِينَ
(AZZUMAR – 12)
Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu.
Hapo neno zama zake halipo.
لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ
(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.
Hapo katika zama zake hakuna, yeye anatajwa kuwa ni wa kwanza wa Waislamu, sasa tuambie, katika ya MUHAMMADI ambaye ni muislamu wa kwanza, na Yesu Kristo Mwana wa Mungu, ni nani ametangulia kuwepo DUNIANI??
PIA JE! Kuna andiko hata moja, la Yesu Kristo, amenukuliwa na wanafunzi wake, akisema yeye ni muislamu, ama kulitaja tu neno Uislamu??
AKIYEKUDANGANYA MUNGU WETU NI WA WENGI WAPE NANI?The religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as Samaritanism and Baháʼí as well as "religiously
Waisrael wamelaniwa na Mungu pamoja na manabii lakini Bado wameukataa ukristo wameona huko katika ukristo ni kupotea zaidi. Wewe ukristo umeupata wapi?
We demu una panic Sana ,Yani kila post lazima utukaneMsahafu ni neno lenye maana ya kitabu kikubwa, Quran ni Quran haiitwi msahafu ewe punguani mbumbumbu usiye na elimu
Siyo kupaniki we mjamzito Bali wajinga mu wengiWe demu una panic Sana ,Yani kila post lazima utukane
AKIYEKUDANGANYA MUNGU WETU NI WA WENGI WAPE NANI?
ALISHAWAHI KUBAKI NA WATU NANE AKAANGAMIZA HII DUNIA KWA GHARIKA
ALISHAWAHI KUBAKI NA WATU HATA 10 HAWAFIKI AKAANGAMIZA SODOMA NA GOMORA
Mungu wetu Sio wa Demokrasia
Achana na Kauli za CHADEMA za kusema SAUTI YA WENGI NDIO SAUTI YA MUNGU Ni uzushi
Sikia
Mt 7:13-14 SUV
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Kuna Ishara Kuu tatu ambazo Zilitabiriwa Kuelezea Matukio yatakayofanyika Siku Za Mwisho Kuhusu Wayahudi
Biblia inasema kuwa, katika siku za mwisho:
(a) Wayahudi watarudi katika nchi ya Israeli
(b) Israeli litakuwa ni taifa tena
(c) Jiji la Yerusalemu litawekwa huru kutoka kwa maadui zake
Maelezo:-
a) Wayahudi walikuwa wametawanywa dunia nzima katika mwaka wa 70B.K. Tokea wakati huo, kwa karibu miaka 2000, hawakuwa na nchiiliyokuwa yao wenyewe. Lakini katika nyakati zetu hizi tumewaonawakiirudia Nchi ya Israeli, na kwa kufanya hivyo kuutimiza unabii wa Biblia:
{YEREMIA 30:3}
“Tazama, zinakuja, anasema BWANA, nitakapowarejeza watuwangu wa Israeli na Yuda waliofungwa, asema BWANA, naminitawarudisha hata nchi niliyowapa baba zao, nao wataimiliki”
(b) Katika mwezi MAY 14, 1948, ingawa kulikuwa na upinzani mkali sana kutokakwa Waarabu, Taifa la Israeli lilianzishwa, kinyume na vikwazo vyote. Nchihiyo tangu hapo imechukua nafsi yake kati ya mataifa ya ulimwengu.
Mungu alishasema hili lingetokea kupitia kwa nabii Ezekieli, zamani sana:
Zaidi ya miaka 2,500 Mungu alimpa nabii Ezekieli ujumbe ufuatao;
“Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe; … Katika miaka ya mwisho, utaingia nchi … juu ya milima ya Israeli, iliyokuwa ukiwa wa daima; … Itakuwa katika siku za mwisho, nitakuleta upigane na nchi yangu, ili mataifa wanijue” (Ezekieli 37:21; 38:8.16) .
Yani wewe demu kila post unatukana , umeachika au ni mke wa nne au shida nini?Siyo kupaniki we mjamzito Bali wajinga mu wengi
Koran story zake ni za kuunga unga ,ukitaka habari ya Musa unafanya kutafuta kwa tochi surah mbali mbali , unakuta mpaka anasema waisrael walirith misri full kujichanganya na habari ni full scatteredSasa unamiini kitabu gani kati ya hvo viwili maana Quran imekusanya yote kuanzia kwa musa ad kwa Muhammad imetoka injili ikaja Quran nyie MNA biblia
Rejea Qur'aan.😂😂😂 Uwe serious kwenye debate, nimekuomba madai Yako uweke rejea
Quran haiwez kuwa na Mambo Kama haya
Yesu alisema katika Mathayo 24:2,
"...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa" . Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.
Mwaka 70 AD jeshi la Dola la Roma lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijlikana kama Ukuta wa Maombolezo na ni patakatifu pa Wayahudi.
Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.
Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.
Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba. Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,
Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,.Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.
KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU , biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo , AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.
Na hoja hizo ndizo zimekuwa zikijadiliwa tena na tena kwenye Mabunge ya Marekani na Nchi za umoja wa mataifa juu ya uhalali wa Nchi ya Israel kuwa ndio wamiliki halali wa Mji wa Yerusalem
Narejea surah ipi na verse ipi , Kisai kuwa seriousRejea Qur'aan.
Wapi nimesema Yesu ni Mtoto wa Yakobo ?Wapi tumesema YESU ni mtoto WA yakobo wewe jamaa umechanganyikiwa
Mtume wetu alikuwa ana mtoto akiitwa Ibrahim. Sasa vipi iwamba si kila mtu hawezi kulitumia wakati ushakunali kuwa ni jina Hilo ? Kijana unajua unachokiandika ?Harun si Jina kila mtu anaweza tumia mbona unajitoa ufahamu
Wapi nimesema Yesu ni Mtoto wa Yakobo ?
Maandiko yenu mwanzo yanajichanganya yanasema Yesu Kristo mwana wa Daudi mwishoni yana sema Yusufu Mtoti wa Yakobo alimuoa Mariam aliye mzaa Yesu. Sasa niambie Kitambo Cha Musa mpaka Yesu ni kipi ? Sababu Yusufu alikuwepo kabla ya Musa, halafu Yusufu mnaambiwa alimuona mama yake Yesu ambaye ni Mariam na nyinyi mnaamini ?
Sasa hii Chain mbona imekatika kijana ? Daudi alimzaa Suleyman unajua kitambo Cha Suleyman mpaka kuja kwa Yesu ni kipi ?Ulikua hujui ndo maana yake