Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Nilimuuliza kuwa ili mtu awe Muislam anatakiwa aweje?
Bila Shaka anatakiwa kufuata nguzo kuu tano za uislam.
Nikamuuliza katika Manabii na mitume wote wa kiyahudi ni Mtume yupi alifuata nguzo kuu tano za uislam ili mitume HAO wawe Waislam. Mpaka sasa hakuna aliyetoa majibu ya kueleweka
Hahaha huu Uzi umebeba vitu vingi sana vya kujifunza ila mkuu maswali yako yako kilogic Sana'a yamekaa vzur inshort unaweza sema hiz nguzo tano za uislam zilianza kwa mtume Muhammad hao wengine walitumwa kwa wa2 specific tu ndio mana huon mitume iliyopita ilifata maana zama zao zme
 
Kurani na Biblia vyote vimeandikwa na binadamu, na vyote viwili vimetamalaki hoja zisizo na uhalisia kisayansi. Yesu hakutembea kwenye maji, wala hakufa na kufufuka.

Muhammad hakushushiwa kitabu cha kurani na Allah, huo nao ni uwongo, pamoja na maigizo ya Waislamu kufanya "mashindano" ya kukariri kurani kila mwaka ili kuonyesha Muhammad aliweza kukariri habari ilhali alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Ni uwongo mtupu dini zote mbili zinaeneza.
 
Yesu ni mwana wa Adamu kwa maana si kwa uzao Bali ni kwa silika na jinsi, hata wewe ni mwana wa Adamu.

Sasa unapokuja kutaja ukoo ujue ni uzao, Sasa hapa kunatofauti kubwa, maana yake ili Sasa hayo yakubalike inabidi mkubali ya kuwa ukoo wa Yesu haujulikani, na hayo yalio andikwa ni uongo. Mnaweza kulikubali Hilo ?

Mimi nimekupa Aya inayoonyesha Yesu ni mwana wa Adamu Kwa uzao.
Wewe unanipa maneno matupu Kama alivyokuwa anafanya Muhammad bila kutoa reference.

Muangalie Yesu akijaribu kufanya Nukuu na kuonyesha anachokisema kilishasemwa;
Luka 3:4
kama ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya;Sauti ya mtu aliaye nyikani,Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.
 
Hakuna swali Hilo nililo ulizwa humu ndani, labda uulize wewe Sasa hivi. Nikiombwa niweke mababu wa tano wa Mtume nikaweka.

Hakuna Mkristo hata mmoja mwenye Chain tu inayofika kwa Yesu.
Chain umepewa Ila unajitoa ufahamu ndo maana Mungu wa Israel Yahweh anamchakaza Allah kule Israel
 
Yesu sio tuu mwana WA Daudi Bali pia ni mwana wa Adamu.
Soma hapa;

Luka 3:23
<br>Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Luka 3:24
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,

Luka 3:25
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,

Luka 3:26
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,

Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,

Luka 3:28
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,

Luka 3:29
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,

Luka 3:30
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,

Luka 3:31
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,

Luka 3:32
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,

Luka 3:33
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,

Luka 3:34
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,

Luka 3:35
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,

Luka 3:36
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,

Luka 3:37
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,

Luka 3:38
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Ataendelea kukuambia umpe chain ujinga ni mzigo
 
Yesu ni mwana wa Adamu kwa maana si kwa uzao Bali ni kwa silika na jinsi, hata wewe ni mwana wa Adamu.

Sasa unapokuja kutaja ukoo ujue ni uzao, Sasa hapa kunatofauti kubwa, maana yake ili Sasa hayo yakubalike inabidi mkubali ya kuwa ukoo wa Yesu haujulikani, na hayo yalio andikwa ni uongo. Mnaweza kulikubali Hilo ?
Ukoo wa YESU huu hapa
Luka 3:23
<br>Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Luka 3:24
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,

Luka 3:25
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,

Luka 3:26
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,

Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,

Luka 3:28
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,

Luka 3:29
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,

Luka 3:30
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,

Luka 3:31
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,

Luka 3:32
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,

Luka 3:33
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,

Luka 3:34
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,

Luka 3:35
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,

Luka 3:36
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,

Luka 3:37
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,

Luka 3:38
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
 
Mohamad kasema yeye ndio mwislam wa Kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baadaye waandishi wa Quran wakampiga chini wakasema Adam na Musa na Ibrahim Hao ndio waislam WA Kwanza . Mimi naungana na Mohamad yeye ndio mwislam wa Kwanza na Quran ndio mwongozo WA waislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Musa hakuwa mwislam WALA Adam WALA Ibrahim Ni mchongo WA watu fulani tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nipo kanisani nakemea majini Kwa Jina la Yesu
Acha kuwadanya wagalatia wenzako nani aliyekuambia kuwa Muhammad ndio Muislam wa kwanza Duniani

Waislam kabla ya Mtume Muhammad hao hapo

Quran 2:132.
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Kama Ukitoka andiko Ibrahim na uzao wake walikuwa wagalatia kama wewe nakuwa mkristo Leo leo.
 
Kwema Wakuu!

Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran.

Nani mkweli na nani muongo kati ya Biblia na Quran?

Sipo hapa kumfanya yeyote awe sijui Mkristo au Muislam au Myahudi, bali nipo kujadili nani mkweli kati ya Biblia na Quran katika mizani ya kimahakama, majaji mtakuwa ninyi wasomaji.

Mahakamani siyo kila kesi inayopelekwa mahakamani ni kesi ya uvunjifu wa sheria, hasha! Bali yapo mambo huweza kupelekwa mahakamani kama kutaka uthibitisho, ukweli, mbali na haki.

Hivyo hata Biblia na Quran vinaweza pelekwa mahakamani na ukweli ukajulikana tuu. Sema kwa vile mambo haya yanagusa imani za watu jambo hilo linaweza kuwa gumu.

Zifuatazo ni hoja kwa nini Biblia ni kitabu cha kweli na kinapaswa kuwa rejea kuu zaidi ya Quran, kwa sababu;

1. Biblia kwa sehemu kubwa haina maneno ya 'Hearsay' wakati Quran kwa 90% maneno yake ni 'Hearsay'. Kimahakama maneno ya 'hearsay' hayasikilizwi na hayawezi kuchukuliwa kama ushahidi mzito, au kama rejea muhimu. Hoja hii ndiyo hoja nzito kuliko zote zinazoifanya Biblia kiwe kitabu kikuu chakweli kinachoiacha Quran Kwa mbali Sana.

a) Waandishi wengi wa Biblia wanaandika matukio yaliyokuwa yanawatokea wao wenyewe. Mfano Musa anasimulia jinsi anavyowatoa Waisrael Misri kwenda Kanaani, Daudi anasimulia hekaheka zake, Suleiman, Daniel, Yona n.k.

Wakati msimuliaji wa Quran yeye anasimulia habari ambazo yeye hakuwepo. Mfano Muhammad, anasimulia habari za Musa ambaye hayupo na ni miaka zaidi ya elfu iliyopita. Muhammad hajawahi kumuona Musa wala Daudi, wala Suleiman wala Yesu.

Kisa cha Yesu ndani ya Biblia tunaweza kukikubali kwa sababu kiliandikwa na baadhi ya wanafunzi wake akiwepo Marko, Mathayo na Yohana. Hivyo hata mahakamani tunaweza watumia watu waliyoshuhudia matukio ya Yesu aliyoyafanya. Ila tunaweza kukitoa kitabu cha Luka kwa sababu yeye alisimuliwa.

Hata hivyo ulikuwa ni wakati ule ule hivyo naye anaweza akasimulia kitu kikaeleweka. Tofauti na Quran ya Muhammad ambayo inasimulia tukio ambalo ni miaka zaidi ya 500 tangu litokee na anayeandika hajawahi mshuhudia huyo Yesu/Issa.

2. Waandishi wa Biblia walikuwepo maeneo tajwa kwenye Biblia, lakini Quran aliyeandika hajawahi kufika maeneo anayoyasimulia. Yaani Muhammad anasimulia habari za Israel na Waisrael ambapo hajawahi kufika, hajui pakoje, hajui watu wake wakoje.

Muhammad anasimulia habari za Jerusalem ya Suleiman halafu hajawahi kufika Jerusalem na hajawahi kumuona Suleiman, wakati Suleima mwenyewe kaandika habari zake mwenyewe. Kumbuka kutoka Suleiman mpaka Muhammad ni zaidi ya miaka 1000.

Quran kisheria hakiwezi kutumika kama rejea kwa maana msimuliaji anasimulia habari za eneo ambalo hajawahi kufika wala kushuhudia. Wala wakati matukio yanatokea hakuwepo.

3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.

Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo![emoji3][emoji3]

Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.

Vitabu hivi ni ushahidi wa wazi kwasababu wanaosimulia ni wahusika wenyewe. Ni kama vile kitabu cha Mzee wetu Mwinyi au Mzee wetu Mengi.

Muhammad kashushiwa vitabu ambavyo anasimulia hadithi za kusimuliwa (Hearsay), kitu pekee ambacho Quran inaweza kuwa ukweli na ikachukuliwa kama ukweli ni masimulizi ya kile alichokifanya Muhammad kwani alikuwepo na anasimulia tukio linaloendelea au alilolifanya.

4. Biblia imeandikwa na Wayahudi kwa kiasi kikubwa na wanasimulia habari zao wenyewe. Lakini Quran imeandikwa na Waarabu kwa lugha ya Kiarabu lakini inasimulia habari za wasiyo Waarabu, inasimulia habari za watu wengine ambao hawakuwaona.

Yaani mimi Mpare wa zama hizi nisimulie mambo ya Wasukuma ya kale ambayo sikuwepo. Hivi ninyi mtanisikiliza mimi Mpare ninayesimulia habari za kale za Wasukuma au mtasikiliza Wasukuma wenyewe?

Muhammad Muarabu aliyezaliwa Makka na akafia Madina hajawahi kufika Jerusalem, hajui hata Rama, Bethlehemu alipozaliwa Kristo halafu yeye anakwambia alizaliwa kwenye mtende halafu kuna mtu Myahudi aliyekuwa rafiki wa Yesu anakuambia Yesu rafiki yake kazaliwa kwenye hori la ng'ombe.

Huyo Rafiki wa Yesu Yohana, ni Myahudi mwenzake Yesu, anapajua Bethlehem, anapajua Jerusalem ndani nje. Je utamsikiliza nani?

Haya Quran na hadithi za Kiyahudi kama anavyosimulia Mtume na maswahaba wake wanakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini. Kumbuka huyo Muhammad anasimulia habari za watu wa taifa jingine ambao wanatofautiana lugha na tamaduni, hajawahi kufika Jerusalem mji wa Daudi na mwanaye Suleiman, hajui Kiyahudi, haabudu dini ya Wayahudi anayoabudu Suleiman.

Anakuambia Suleiman alikuwa anafuga majini, lakini Suleiman mwenyewe katika hadithi zake au hadithi za mwanaye Yerobohamu hajawahi kusema kitu kama hicho. Pia utamaduni wao hauruhusu kufuga madudu hayo majini. Wewe utamuamini huyo Muhammad au utamuamini Suleiman mwenyewe aliyeandika katika vitabu vyake vilivyopo katika Biblia? Jibu utabaki nalo.

5. Mungu wa kwenye Biblia ni Jehova/Yahwe ambaye ni Mungu wa Waisrael wanaosimuliwa ndani ya kitabu hicho. Lakini Quran mungu wake ni Allah, Mungu wa Waarabu wa kabila la Wakurdi wa zamani lakini cha ajabu huyo Allah, ati huyo Allah kuna sehemu anamuagiza kina Musa (Myahudi na dini yake Uyahudi) wakati kimsingi Musa Mungu wake ni Yahweh mpaka anakufa.

Hata hivi leo Mungu wa Wayahudi hajabadilika ni Yahwe na mpaka hivi Mungu wa waarabu hajabadilika ni yule yule Allah. Lakini Quran inapotosha kuwa Mungu anayewaagiza Wayahudi ni Allah hii ni kutokana muandishi wa Quran alikuwa Muarabu.

Wahusika kuanzia kwa Yakobo mpaka kwa Yesu ni Wayahudi na dini yao ni Uyahudi na Mungu wao ni Yahweh, lakini Quran imepuyanga katika eneo hilo.

6. Biblia imetangulia miaka mingi kabla ya Quran. Hivyo kwa kuwahi imeshuhudia na inaweza kusimulia matukio yaliyotokea zamani zaidi kuliko Quran, siyo ajabu Quran yenyewe ndiyo imenakili baadhi ya visa ingawaje inajimilikisha.

Biblia inaweza kujitegemea bila ya uwepo wa Quran kwani yenyewe ndiyo baba/chanzo cha Quran. Lakini Quran kama ukitoa visa ilivyovinakili kutoka kwenye Biblia na maandiko yote ya Kiyahudi basi Quran inabaki bila ya nguvu yoyote Ile.

7. Mtiririko na visa na matukio ya Kihistoria.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa Kwa kufuata mtiririko wa visa na matukio unaoleweka. Kuanzia kisa cha Adamu mpaka Yusufu anachosimulia Musa, Kisha tawala za dunia kama Tawala la Nimrodi, kisha tawala la mafarao, kisha tawala la Waashuru na Wakaldayo, kisha wakafuata Waajemi na Wamedi, kisha wakafuata Wayunani/wagiriki, kisha wakafuata Warumi ndipo alipozaliwa Yesu.
Lakini Quran haina mtiririko wa visa na matukio, kumaanisha haiwezi kutumika hata shuleni Kama rejea za kihistoria kuhusu tawala, au mambo ya kuitawala au Kisiasa kwani Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.

Quran inaweza kuulizwa swali, Yesu alizaliwa wakati WA utawala gani na wanani na ukashindwa kujibu?
Kimahakama Quran kama haijui baadhi ya taarifa muhimu kama Zama na Maeneo husika ya tukio lilipotukia haiwezi kutumika kama Rejea au ushahidi muhimu katika mambo ya Kidini.
Kwa mfano; Issa kazaliwa kwenye mtende Kwa mujibu wa Quran lakini haielezi ni eneo gani au nchi gani Issa alizaliwa, hata Hapa Tanzania ipo mitende, hii ni tofauti na Biblia inataja na kuelezea visa katika mtiririko uliokamilika.

Quran ambacho ingefanya ni kutoa nondo kuanzia wakati wa Muhammad kuja mbele na siyo kurudia hadithi zilizokwisha kuwepo. Mbona Injili haujarudia visa? Quran haiwezi kuchukuliwa kama rejea kuu kuzidi Biblia kwa sababu nilizozitaja hapo juu.

Majaji mjadili kwa hoja.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.

Hapa ndipo wagalatia wanaponiachaga hoi kapoteza muda mwingi kuandika hadithi ya Esopo povu lote hamna points hata mmoja wapi musa kandika kitabu wapi Yesu kandika kitabu? kwanza funua kichwa chako utuambie wapi yesu alifundisha biblia?

leo aje Yesu au Musa wataifahamu biblia? lakini leo akija Muhammad s.a.w ataitambua quran kwa sababu aliifudisha akili yako ingewaza hilo usingepoteza muda kutunga mashairi marefu mpaka yachosha kusoma
 
Maliza kwanza hili la uzao na ukoo wa Yesu. Hili tulijadili baadae baada ya hili kuisha.

Mbona ushapewa Aya kwenye Biblia lakini naona unakaza fuvu. Kumbuka wasomaji na wafuatiliaji ni wengi hivyo usiwaangushe wanaoamini Quran.

Maana unapewa Aya unakataa sasa unataka tukupe Stori za kina Joti?
 
Acha kuwadanya wagalatia wenzako nani aliyekuambia kuwa Muhammad ndio Muislam wa kwanza Duniani

Waislam kabla ya Mtume Muhammad hao hapo

Quran 2:132.
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Kama Ukitoka andiko Ibrahim na uzao wake walikuwa wagalatia kama wewe nakuwa mkristo Leo leo

Kwa mujibu wa Quran Ibrahimu alikufa akiwa na miaka mingapi?

Ibrahimu Mungu wake Hakuwa Allah!
Ibrahim hajawahi kufika Saudia Arabia,
Na Allah hajawahi kufika Jerusalem Kwa wakati ule labda nyakati hizi Allah ndio kafika
 
Wote wapumbavu tu, pamoja na mtoa mada ni mpumbavu mkuu. Mnabishiana hadithi za kwenye vitabu mlivyo zaliwa na kuvikuta vilivyoletwa mababu zenu kujazwa ujinga na kusombwa kama watumwa ili kuwatumikia walioleta hizo dini za kipuuzi.

Na mkiulizwa kuthibisha huyo Mungu, manng'ang'a macho....halafu tena mnaanza kuleta ngano za kale za kwenye hutu tuvitabu twenu twakizwazwa kama evidence ya uthibitisho....

Tafuteni hela, sio mnashinda humu na upuuzi huu...
 
Hapa ndipo wagalatia wanaponiachaga hoi kapoteza muda mwingi kuandika hadithi ya Esopo povu lote hamna points hata mmoja wapi musa kandika kitabu wapi Yesu kandika kitabu? kwanza funua kichwa chako utuambie wapi yesu alifundisha biblia? leo aje Yesu au Musa wataifahamu biblia? lakini leo akija Muhammad s.a.w ataitambua quran kwa sababu aliifudisha akili yako ingewaza hilo usingepoteza muda kutunga mashairi marefu mpaka yachosha kusoma

Nimewaambia ndugu mawakili WA utetezi wa Quran kuwa mjadala huu unafuatiliwa na maelfu ya watu, hivyo kuweni makini kuongea Kwa logizc na Facts.

Muhammad hajui kusoma wala kuandika atajuaje hii ni Quran?
Muhammad akitokea hapa hivi leo ukimpa kitabu chochote hawezi kuwa na Uelewa nacho Kwa sababu ni mjinga(hajui kusoma wala kuandika) yaani hata vitabu vyangu vya Fasihi unaweza mwambia ni Quran na akakubali.

Kwa upande wa Yesu,
Yesu atatambua haya ni maandiko matakatifu ya kiyahudi Kwa sababu yanamhusu Yeye mwenyewe. Na hata wakati anaishi aliyasoma,

Rejea kuthibitisha Madai haya; soma hapa;
.
Luka 4:17
Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,

Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, <br>Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. <br>Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, <br>Na vipofu kupata kuona tena, <br>Kuwaacha huru waliosetwa,

Luka 4:19
Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.

Luka 4:20
Akakifunga chuo, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.

Luka 4:21
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Luka 4:22
Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu?
 
Wote wapumbavu tu, pamoja na mtoa mada ni mpumbavu mkuu...
Mnabishiana hadithi za kwenye vitabu mlivyo zaliwa na kuvikuta vilivyoletwa mababu zenu kujazwa ujinga na kusombwa kama watumwa ili kuwatumikia walioleta hizo dini za kipuuzi....
Na mkiulizwa kuthibisha huyo Mungu, manng'ang'a macho....halafu tena mnaanza kuleta ngano za kale za kwenye hutu tuvitabu twenu twakizwazwa kama evidence ya uthibitisho....

Tafuteni hela, sio mnashinda humu na upuuzi huu...

Tumeajiri watu Kama wewe au wenye Elimu kuliko wewe.
 
Mimi nilidhani kule pangoni alikuja Jibril, kumbe ni adui yake Ibris.

Ndio maana hakujitambulisha na kumkaba mtume.

Jibril miaka yote huwa anajitambulisha.

Luka 1:30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

Hadi ktk maisha ya leo.
Adui kamwe hajitambulishi.

Mwizi huwa hajitambulishi.

Wachawi hawajitambilishagi.

Kuficha utambulisho ni hila za shetani.

Mgeni mwema huwa anajitambilisha bila shaka yoyote, na wakati wote na kujibu maswali yote.

Shetani Ibris huwa hajitambulishi hadi hii leo.

Tafakari chukua hatua.
Yule aliyemtegua mguu Yakobo alijitambulisha?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kurani na Biblia vyote vimeandikwa na binadamu, na vyote viwili vimetamalaki hoja zisizo na uhalisia kisayansi. Yesu hakutembea kwenye maji, wala hakufa na kufufuka. Muhammad hakushushiwa kitabu cha kurani na Allah, huo nao ni uwongo, pamoja na maigizo ya Waislamu kufanya "mashindano" ya kukariri kurani kila mwaka ili kuonyesha Muhammad aliweza kukariri habari ilhali alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Ni uwongo mtupu dini zote mbili zinaeneza.

😂😂😂

Umevuta bangi Kali Mkuu.
Yaani unasema tusikariri Quran, umelogwa wewe🏃🏃
 
Hahaha huu Uzi umebeba vitu vingi sana vya kujifunza ila mkuu maswali yako yako kilogic Sana'a yamekaa vzur inshort unaweza sema hiz nguzo tano za uislam zilianza kwa mtume Muhammad hao wengine walitumwa kwa wa2 specific tu ndio mana huon mitume iliyopita ilifata maana zama zao zme

Yeah!
Uislam umebeba tamaduni ya kiarabu hasa kabila la wakurdi.
Angalia Allah, huyo ni mungu wa wakurdi hata kabla Mtume hajazaliwa,
Angalia siku ya Ibada, wakurdi waliabudu siku ya ijumaa kuabudu kwenye Jiwe la alkaaba, hata kabla Mtume hajazaliwa,
Lakini kina Musa mpaka Yesu waliabudu siku ya Sabato/jumamosi mpaka hivi leo Wayahudi wanabudu siku ya sabato/jumamosi.

Hivyo hizo ni Dini mbili tofauti zenye miungu miwili tofuati.
Ila Allah kaiba wahusika/manabii na mitume wa mungu mwenzake aitwaye Yahweh/Yehova, akaacha tamaduni zingine za kiarabu ziendelee Kama kawaida

Soma kitabu cha historia ya Muhammad utaelewa ninachokisema,
 
Back
Top Bottom