Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Mohamad kasema yeye ndio mwislam wa Kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baadaye waandishi wa Quran wakampiga chini wakasema Adam na Musa na Ibrahim Hao ndio waislam WA Kwanza . Mimi naungana na Mohamad yeye ndio mwislam wa Kwanza na Quran ndio mwongozo WA waislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Musa hakuwa mwislam WALA Adam WALA Ibrahim Ni mchongo WA watu fulani tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nipo kanisani nakemea majini Kwa Jina la Yesu

Watu wa madrassa ni vichaa sana.. akili zao za kijinga sana.

Wao wanakwambia binadamu yoyote kazaliwa muislamu.. hata wewe na mimi ni waislamu.. ukiwaambia waweke ushahidi wanakupa haya za quran ndio zimesema hivo kwamba binadamu yeyote ni muislamu
 
Uliombwa ulete chain ya muhammad mpaka Kwa Ibrahim, embu tupe verses tukasome
Hakuna swali Hilo nililo ulizwa humu ndani, labda uulize wewe Sasa hivi. Nikiombwa niweke mababu wa tano wa Mtume nikaweka.

Hakuna Mkristo hata mmoja mwenye Chain tu inayofika kwa Yesu.
 
Sasa hii Chain mbona imekatika kijana ? Daudi alimzaa Suleyman unajua kitambo Cha Suleyman mpaka kuja kwa Yesu ni kipi ?
Koran haijasema wewe umejuaje ? Unasoma biblia kwa kujificha
 
“Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9.

“Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi; nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yango.” Isa. 46:9,10.

Utabiri wa Biblia juu ya mambo ambayo yangetokea baadaye, unathibitisha uvuvio wa Biblia, mambo hayo yanapotokea.

Angalia mifano ifuatayo:

A. Kuinuka na kuanguka kwa falme nne zilizotawala dunia:
Babeli, Umedi na Uajemi, Uyunani na Rumi. (Danieli 2,7,8.)

B. Koreshi kuwa Mpiganaji ambaye angeiteka Babeli. “Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi (mtiwa mafuta) wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa. Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata kata mapingo ya chuma; nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofchwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.” Isa. 45:1-3.

C. Baada ya kuangamizwa, Babeli isingekaliwa tena. “Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza.” “Haya! juu ya mlima usio na miti inueni bendera, wapazieni sauti zenu, wapungieni mkono, kwamba waingie katika malango ya wakuu.” (Isa. 13:19,2). “Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.” Yer. 51:37.

D. Misri kutokuwa na amri tena kati ya Mataifa. “Nami nitawarejeza Wamisri walio katika hali ya kufungwa, nami nitawarudisha hata nchi ya Pathrosi, hata nchi ya kuzaliwa kwao; na huko watakuwa ufalme duni. Utakuwa duni kuliko falme zote, wala hautajifunua tena juu ya Mataifa; nami nitawapunguza, ili wasitawale tena juu ya Mataifa.” Eze. 29:14,15. “Nami nitaikausha mito, na kuiuza nchi, na kuitia katika mikono ya watu wabaya; nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa, na watu wote walio ndani yake, kwa mkono wa wageni; mimi, BWANA, nimenena neno hili.” Eze. 30:12,13.

E. Majanga ya kushtua dunia na hofu kadiri tunavyoelekea siku za mwisho. “Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya Mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.” Lk. 21:25,26.

F. Kuporomoka kwa maadili katika siku za mwisho. “Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako na nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio saf, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.” 2 Tim. 3:1-5.

G. Unabii juu ya matukio katika maisha ya Yesu. “Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika Maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe.” Lk. 24:27. “Kwa maana aliwashinda Wayahudi kabisa kabisa mbele ya watu wote, akionyesha kwa maneno ya Maandiko ya kuwa Yesu ni Kristo.” Mdo. 18:28. Kwa kuwa wakati huo Agano Jipya lilikuwa halijaandikwa, ni wazi kuwa Maandiko yanayozungumziwa hapa ni Agano la Kale. Utabiri wa Agano la Kale juu ya Masihi ulikuwa dhahiri na ulitimizwa na Yesu wa Nazareti kiasi cha kumfanya Yesu mwenyewe na Apolo kuutumia kuwathibitishia Wayahudi kuwa Yesu alikuwa ndiye Masihi

Moja kati ya uthibitisho mkuu kwamba Biblia si kitabu cha kawaida tu kilichoandikwa na watu wema, ni uwezo wake wa kubadili maisha ya watu. Inaweza kumbadilisha mtu mwovu kabisa na kumfanya kuwa Mkristo mwaminifu. Inaweza kumfanya mtu asiye mwaminifu, kutaka kurejesha alichochukua, au kusahihisha uongo aliosema. Ni uwezo gani wa ajabu ulio katika kitabu hiki unaobadilisha kiajabu matamanio na makusudi ya watu? Ni uwezo wa kufanya miujiza wa Roho wa Mungu anayefanya kazi kupitia kitabu hiki kutuonyesha Mwana–Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu.
Hizi stori ndiyo hatuzitaki humu ndani. Wekeni habari zenu kwa Chain, na nilishawaomba mniambie habari hizi mlizonukuliwa zimeandikwa na nani ?
 
Watu wa madrassa ni vichaa sana.. akili zao za kijinga sana.

Wao wanakwambia binadamu yoyote kazaliwa muislamu.. hata wewe na mimi ni waislamu.. ukiwaambia waweke ushahidi wanakupa haya za quran ndio zimesema hivo kwamba binadamu yeyote ni muislamu

Nilimuuliza kuwa ili mtu awe Muislam anatakiwa aweje? Bila Shaka anatakiwa kufuata nguzo kuu tano za uislam.

Nikamuuliza katika Manabii na mitume wote wa kiyahudi ni Mtume yupi alifuata nguzo kuu tano za uislam ili mitume HAO wawe Waislam. Mpaka sasa hakuna aliyetoa majibu ya kueleweka
 
Hakuna swali Hilo nililo ulizwa humu ndani, labda uulize wewe Sasa hivi. Nikiombwa niweke mababu wa tano wa Mtume nikaweka.

Hakuna Mkristo hata mmoja mwenye Chain tu inayofika kwa Yesu.
Umeshaulizwa uweke chain ya muhammad mpaka Kwa Ibrahim,
Ila ukumbuke Muhammad kazilia miaka 4 baada ya baba yake kufariki
 
Wewe ndio hauna akili Kwa sababu haujui majina yanauwezo wa kujirudia lakini Ubin ni ngumu kujirudia.

Kwa mfano ukisikia mtu anaitwa Pacal Kwa akili yako utajua jina Hilo ni moja?
Haujui kuna Pascal Kasian, Pascal Mayalla n.k.

Wanafunzi wa Yesu wapo waliokuwa Wana majina yanayofanana, mathalan Yuda,
Alikuwepo Yuda Iskariote na Yuda zelote.

Palikuwa na Yohana Mbatizaji na Yohana nduguye Yakobo

Majina kufanana ni kitu cha kawaida Ila Ubin ni muhimu.

Ndio maana nikakuambia Biblia iliandikwa Kwa kujua kuwa IPO siku tutaileta mahakamani kuthibitisha ukweli wake

Wakristo Elimu ya nasaba kadhalika hamna.

Kwahiyo huyu Saudi aliyeongelewa hapa ni Daudi gani ambaye amemzaa Yesu ?

Na huyu Yusufu mtoto wa Yakobo ambaye alimuona Mama yake Yesu ni nani ?
 
Ndio ni muislam wa kwanza katika sheria za uislam alokuja nao, na zama zake na unabii wake na anafata mila ya ibrahim.. ukielewa uislam ni nini kwa tafsiri iliyosahihi hii kitu siyo yakuleta hapa eti kubishana na unavopinga kitu uwe unajua kabisa unapinga kwa misingi ipi na uweke wazi kuwa ikibainika kitu flani ni sahihi uwe tayari kukubaliana nacho ila bila ivyo unaweza ukawa chizi yani ukawa unapigia watu kelele tu..

We si unatumia google nenda kasearch kwanini muhammad ni muislam wa kwanza wakati huo Adam, ibrahim na musa nao wametajwa kuwa ni waislam

Adam , musa na ibrahim wanakuwa waislamu kivipi?

Nguzo za uislamu walikuwa wanazifanyia wapi?

Ama ndio ile kusema kila binadamu kazaliwa muislamu hata mimi pia ni muislamu bila ushahidi wowote
 
MAJIBU KWA WAISLAMU

Yeremia 8:8
MWASEMAJE, SISI TUNA AKILI, NA TORATI YA BWANA TUNAYO PAMOJA NASI? LAKINI, TAZAMA, KALAMU YENYE UONGO YA WAANDISHI IMEIFANYA KUWA UONGO.

Hili ni moja la andiko ambalo waislamu wamekuwa wakilitumia kupotosha ukweli wa torati ya YEHOVA aliyompa Nabii Musa, kwakusema kuwa torati hiyo haifai kwani imetiwa mikono.

SWALI
Je! ni kweli andiko hilo linamaana kuwa torati ya Bwana aliyompa nabii Musa imetiwa mikono.

JIBU
Hapana, andiko hilo la Yeremia 8:8, halimaanishi kuwa torati ya YEHOVA imetiwa mikono, bali kunamakosa ya kiusomaji kwa wale wapinzani wa Biblia ambao husoma maandiko nusunusu ilikupotosha maana halisi ya andiko hilo.

TUICHAMBUE AYA YA ANDIKO HILI.
1) Mwasemaje sisi tunaakili, NA TORATI YA BWANA TUNAYOPAMOJA NASI.

Kulikuwa na wapinzani wa torati ya Bwana ambao walikuwa wakitaka kuipotosha torati ya Bwana kwa kuwafundisha watu kinyume na torati inavyoelekeza ili torati ya Bwana ionekane ya uongo. Ndipo nabii Yeremia anawaambia wapinzani hao akisema;
[emoji116][emoji116]
"MWASEMAJE SISI TUNAAKILI (Kuwaambia wapinzani hao wa torati, kama walivyokuwa wakijinadi kuwa wao wanaakili), NATORATI YA BWANA TUNAYOPAMOJA NASI (wakati torati ya Bwana wanayo wao manabii wamehiifadhi sehemu salama, nabii Yeremia ameitunza).

NABII YEREMIA ANAWAAMBIA WAPINZANI HAO KUWA, HAWAWEZI KUIPOTOSHA TORATI YA BWANA, KWANI TORATI YA BWANA WANAYOWAO MANABII WAMEITUNZA SEHEMU SALAMA.

ANDIKO LINALOFUATA
3)lakini tazama, KALAMU yenye uongo ya Waandishi IMEIFANYA kuwa uongo.

KALAMU kibiblia maana yake ni ULIMI.
[emoji116][emoji116]
Zaburi 45:1
Moyo wangu umefurika kwa neno jema, Mimi nasema niliyomfanyizia mfalme; ULIMI WANGU NI KALAMU YA MWANDISHI MSTADI.

KALAMU YA WAANDISHI NI ULIMI, KIBIBLIA HAPO KALAMU MAANA YAKE NI ULIMI.
*Lakini tazama KALAMU YENYE UONGO YA WAANDISHI [emoji118]hapo akiwa na maana ya kuwa, wapinzani hao walikuwa wakifundisha kinyume na maagizo ya torati. Mungu katika torati kasema hivi, na hao wapinzani wa torati wao wanafundisha hivi, kinyume na torati.

KIPANDE KINACHOFUATIA;
*Kalamu yenye uongo ya Waandishi, IMEIFANYA kuwa uongo.

MKTADHA WA NENO KUIFANYA.
Hapa haina maana kuwa, torati ya Bwana ni kweli kuwa niya uongo. Neno hili KUIFANYA hata katika maisha yetu ya kilasiku sisi wanadamu tunalitumia huku likiwa halina maana kama lilivyokuwa neno KUIFANYA, kuwa tayari kitu au jambo hilo kuwa ndivyo lilivyo.

MFANO 1
Unapomwambia mwenzako; Unanifanya Mimi kuwa mjinga. Je! nitayari kuwa wewe ni mjinga, Hapana wewe sio mjinga bali kuna mambo ambayo mwenzako kakufanyia ambayo yanalenga kukuchafua wewe, ndio maana ukamwambia, "UNANIFANYA MIMI KUWA MJINGA" huku ukweli ukibaki kuwa wewe sio mjinga.

MFANO 2
Qur'an 15:91(tafsiri ya Sheikh Al-Farsy)
"Ambao WAMEIFANYA Qur'an kuwa ni MKUSANYIKO WA UONGO"

Hapo limetumika neno "WAMEIFANYA", ambapo nisawa na neno IMEIFANYA kule kwenye Yeremia 8:8.

Swali Kwako Muislamu
Je! tukisema Qur'an unayoiamini ni mkusanyiko wa uongo kwasababu limetumika neno WAMEIFANYA ambalo ni sawa na neno IMEIFANYA, Je! utakubali kuwa Qur'an niya uongo kwa hoja hiyo?

Nabii Yeremia anaposema, kuifanya kuwa uongo haina maana kuwa torati imetiwa mikono(imepotoshwa), bali wapinzani wa torati ya Bwana kuna mambo ambayo walikuwa wanafanya yanayoenda kinyume na maagizo ya torati ilitorati ya Bwana ionekane niyauongo ilihali siyo ya uongo, bali yenyewe ilikuwa mikononi mwa manabii imehifadhiwa sehemu salama. Ndio maana nabii Yeremia anawaambia watu hao;Kuwa [emoji116][emoji116]
MWASEMAJE SISI TUNAAKILI (Nabii Yeremia kuwaambia watu hao wapinzani wa torati ya YEHOVA aliyompa Nabii Musa), NATORATI YA BWANA TUNAYOPAMOJA NASI ( Wakati torati ya Bwana tunayo sisi manabii tumeitunza sehemu salama kabisa). Ukienda aya inayofuata, aya ya 9 utaelewa zaidi, Nabii Yeremia anawaambia watu hao, anasema;
[emoji116][emoji116]
Yeremia 8:9
Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, WAMELIKATAA NENO LA BWANA, WANA AKILI GANI NDANI YAO?

Tunaona hapo aya ya 9, kutoka hiyo aya ya 8, jinsi nabii Yeremia anavyowaambia watu hao kwa kuwauliza. Wanaakili gani ndani yao, japo wanajifanya wanahekima, anawaambia, wamefadhaika, wameshikwa na shetani kwa kulikataa neno la Bwana, yaani hiyo torati ya Bwana ambayo ilikuwa mikononi mwa manabii imeifadhiwa sehemu salama kabisa, ndio maana anawaambia, "MNAAKILI GANI NDANI YENU, MAANA MMELIKATAA NENO LA BWANA.

Andiko hilo la Yeremia 8:8, halimaanishi kwamba torati imetiwa mikono kama tulivyoona bali kunamakosa ya kiusomaji kwa wapinzani wa Biblia ambao wamekuwa wakisoma maandiko nusunusu yaani vipande vipande ili kupotosha maana halisi ya andiko hilo, na sio andiko hilo tu, yapo maandiko mengi ambayo waislamu wamekuwa wakiyapotosha kwa kusoma maandiko hayo nusunusu, yaani vipande vipande ili kupotosha maana halisi ya maandiko hayo.

QUR'AN YATHIBITISHA UKWELI KUWA TORATI YA MUNGU ANAYEITWA YEHOVA HAIJATIWA MIKONO.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Biblia ilitangulia kabla ya Qur'an, baada ya kupita zaidi ya MIAKA MIASITA(600), Ndipo ilipokuja Qur'an, nayo ilipokuja ikathibitisha ukweli kuwa Torati hiyo ya MUNGU YEHOVA haijatiwa mikono.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Qur'an 45:16
Na hakika tuliwapa Wana wa Israili KITABU na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.

Qur'an 40:53
Na kwa hakika tulimpa Musa UWONGOFU, na tukawarithisha Wana wa Israili KITABU,

Qur'an 28:43
Na bila shaka tulimpa Musa KITABU baada ya kuziangamiza uma za kwanza (zilizopita), kiwe kifumbua macho cha watu (kiwaangazie) na kiwe uwongofu, na rehema, ili wapate kukumbuka.

Qur'an 2:53
Na (kumbuka) Tulipompa Musa KITABU (KILICHOKUSANYA KILA YANAYOITAJIWA) na cha kupambanua baina ya yaliyo ya haki na yasiyokuwa ya haki ili mpate kuongoka.

Qur'an imeweka bayana kuwa, torati ya Nabii Musa ilitoka kwa Mungu na wala haijatiwa mikono, tena Qur'an inasema torati hiyo inapambanua mema na mabaya.

WAISLAMU ACHENI KUSOMA MAANDIKO NUSUNUSU ILI KUPOTOSHA MAANA HALISI YA MAANDIKO.
Haya maneno mengi, ukitaka kujadiliana na Mimi kwanza uonyesha misingi ya uandishi wa vitabu vyenu Kisha tujadili kilicho ndani.

Yeremia ni nani na kitabu Cha Yeremia kimeandikwa na nani ?
 
Mkuu mbona kichwa chako Kama kimebeba maji badala ya ubongo?

Kwa hiyo huyu Mohammed Dewj sio Mohammad Kwa sababu Hilo jina ametumia Mtume Muhammad WA miaka ya 570AD?

Jina moja linaweza tumiwa na watu wengi Acha kujidhalilisha humu
Kijana hapa tunajadili milichoandikwa kwenye Biblia. Niambie huyo Daudi ni daudi yupi na Yakobo no Yakobo yupi na Yusufu ni Yusufu yupi kwa mujibi wa Biblia ?
 
Umeshaulizwa uweke chain ya muhammad mpaka Kwa Ibrahim,
Ila ukumbuke Muhammad kazilia miaka 4 baada ya baba yake kufariki
Hili swali sijaulizwa labda liulize wewe Sasa hivi nikujibu.
 
Kwa mujibu wa Quran Ni kosa mtu kutumia jina la mtu mwingine?
Siyo kosa kabisa ila andiko lenu linaonyesha wazi kabisa wanao ongelewa hapo ni mitume na manabii wa Allah, ambao ni Yakobo, Yusufu na Daudi.

Sasa ili wewe uwe sahihi inabidi muandishi wa Habari hizo atuambie kwamba hao siyo wao na hapa kazi itakuwa imeisha.
 
Wakristo Elimu ya nasaba kadhalika hamna.

Kwahiyo huyu Saudi aliyeongelewa hapa ni Daudi gani ambaye amemzaa Yesu ?

Na huyu Yusufu mtoto wa Yakobo ambaye alimuona Mama yake Yesu ni nani ?

Yesu sio tuu mwana WA Daudi Bali pia ni mwana wa Adamu.
Soma hapa;

Luka 3:23
<br>Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Luka 3:24
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,

Luka 3:25
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,

Luka 3:26
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,

Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,

Luka 3:28
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,

Luka 3:29
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,

Luka 3:30
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,

Luka 3:31
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,

Luka 3:32
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,

Luka 3:33
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,

Luka 3:34
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,

Luka 3:35
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,

Luka 3:36
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,

Luka 3:37
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,

Luka 3:38
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
 
Yesu sio tuu mwana WA Daudi Bali pia ni mwana wa Adamu.
Soma hapa;

Luka 3:23
<br>Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Luka 3:24
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,

Luka 3:25
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,

Luka 3:26
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,

Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,

Luka 3:28
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,

Luka 3:29
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,

Luka 3:30
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,

Luka 3:31
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,

Luka 3:32
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,

Luka 3:33
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,

Luka 3:34
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,

Luka 3:35
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,

Luka 3:36
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,

Luka 3:37
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,

Luka 3:38
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Yesu ni mwana wa Adamu kwa maana si kwa uzao Bali ni kwa silika na jinsi, hata wewe ni mwana wa Adamu.

Sasa unapokuja kutaja ukoo ujue ni uzao, Sasa hapa kunatofauti kubwa, maana yake ili Sasa hayo yakubalike inabidi mkubali ya kuwa ukoo wa Yesu haujulikani, na hayo yalio andikwa ni uongo. Mnaweza kulikubali Hilo ?
 
Siyo kosa kabisa ila andiko lenu linaonyesha wazi kabisa wanao ongelewa hapo ni mitume na manabii wa Allah, ambao ni Yakobo, Yusufu na Daudi.

Sasa ili wewe uwe sahihi inabidi muandishi wa Habari hizo atuambie kwamba hao siyo wao na hapa kazi itakuwa imeisha.

Hao sio waarabu ili wawe manabii wa Allah.
Nabii wa Allah ni Muhammad, Kwa sababu Mungu wa waarabu anaitwa Allah.
Na Mungu WA Wayahudi anaitwa Yehova/Yahweh/Jehova au Kwa kiswahi ni NIKO AMBAYE NIKO.

Nilikupa Aya hapa, labda nirudie Kwa faida ya wengine maana wewe kichwa yako naona imejaa Moshi;
Soma;
Kutoka 3:13
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKOamenituma kwenu.

Soma tena;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Allah hajawahi kuwa mungu wa Wayahudi, kihistoria na kiimani.
Allah hajawahi kufika Jerusalem, Rama, Bethlehem, Jordan,
Allah Maeneo yake ya kujidai ni Mecca na Madina.
Sasa Muhammad kufanya plagiarism ndio kesi iliyopo hapa,

Angetakiwa afunguliwe mshtaka Kwa wizi wa hakimiliki za visa na wahusika wa Kiyahudi.
Alichofanya ni UTAPELI
 
Ndio Mkuu.
Mwislamu msomi na sasa Ameijua Kweli na Kweli Imemuweka Huru.

Amekuwa Mwana wa Mungu.

Vizuri Sana.
Maana hawa mawikili wa uislam ni Kama vile wanalazimisha Stori za Quran ziwe ndio rejea kuu.

Yaani ni Kama Wasabato waamue kumfanya Ellen G White kuwa ndio ATI msingi wa rejea wakati Ellen ametolea visa kwenye Biblia alichofanya ni kufafanua tuu.

Bahati nzuri Ellen yeye amekiri wazi Kabisa na Akatoa acknowledgment Kwa Biblia lakini Muhammad hakutoa credit.

Na huo ndio utapeli wenyewe
 
Nilimuuliza kuwa ili mtu awe Muislam anatakiwa aweje?
Bila Shaka anatakiwa kufuata nguzo kuu tano za uislam.
Nikamuuliza katika Manabii na mitume wote wa kiyahudi ni Mtume yupi alifuata nguzo kuu tano za uislam ili mitume HAO wawe Waislam. Mpaka sasa hakuna aliyetoa majibu ya kueleweka
Hahaha huu Uzi umebeba vitu vingi sana vya kujifunza ila mkuu maswali yako yako kilogic Sana'a yamekaa vzur inshort unaweza sema hiz nguzo tano za uislam zilianza kwa mtume Muhammad hao wengine walitumwa kwa wa2 specific tu ndio mana huon mitume iliyopita ilifata maana zama zao zmepita
 
Back
Top Bottom