Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Hahaha huu Uzi umebeba vitu vingi sana vya kujifunza ila mkuu maswali yako yako kilogic Sana'a yamekaa vzur inshort unaweza sema hiz nguzo tano za uislam zilianza kwa mtume Muhammad hao wengine walitumwa kwa wa2 specific tu ndio mana huon mitume iliyopita ilifata maana zama zao zme

Kurani na Biblia vyote vimeandikwa na binadamu, na vyote viwili vimetamalaki hoja zisizo na uhalisia kisayansi. Yesu hakutembea kwenye maji, wala hakufa na kufufuka.

Muhammad hakushushiwa kitabu cha kurani na Allah, huo nao ni uwongo, pamoja na maigizo ya Waislamu kufanya "mashindano" ya kukariri kurani kila mwaka ili kuonyesha Muhammad aliweza kukariri habari ilhali alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Ni uwongo mtupu dini zote mbili zinaeneza.

Mimi nimekupa Aya inayoonyesha Yesu ni mwana wa Adamu Kwa uzao.
Wewe unanipa maneno matupu Kama alivyokuwa anafanya Muhammad bila kutoa reference.

Muangalie Yesu akijaribu kufanya Nukuu na kuonyesha anachokisema kilishasemwa;
Luka 3:4
kama ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya;Sauti ya mtu aliaye nyikani,Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.

Hakuna swali Hilo nililo ulizwa humu ndani, labda uulize wewe Sasa hivi. Nikiombwa niweke mababu wa tano wa Mtume nikaweka.

Hakuna Mkristo hata mmoja mwenye Chain tu inayofika kwa Yesu.
Chain umepewa Ila unajitoa ufahamu ndo maana Mungu wa Israel Yahweh anamchakaza Allah kule Israel

Ataendelea kukuambia umpe chain ujinga ni mzigo

Ukoo wa YESU huu hapa
Luka 3:23

Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Luka 3:24
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,

Luka 3:25
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,

Luka 3:26
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,

Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,

Luka 3:28
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,

Luka 3:29
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,

Luka 3:30
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,

Luka 3:31
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,

Luka 3:32
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,

Luka 3:33
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,

Luka 3:34
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,

Luka 3:35
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,

Luka 3:36
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,

Luka 3:37
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,

Luka 3:38
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.

Acha kuwadanya wagalatia wenzako nani aliyekuambia kuwa Muhammad ndio Muislam wa kwanza Duniani

Waislam kabla ya Mtume Muhammad hao hapo

Quran 2:132.
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Kama Ukitoka andiko Ibrahim na uzao wake walikuwa wagalatia kama wewe nakuwa mkristo Leo leo.

Hapa ndipo wagalatia wanaponiachaga hoi kapoteza muda mwingi kuandika hadithi ya Esopo povu lote hamna points hata mmoja wapi musa kandika kitabu wapi Yesu kandika kitabu? kwanza funua kichwa chako utuambie wapi yesu alifundisha biblia?

leo aje Yesu au Musa wataifahamu biblia? lakini leo akija Muhammad s.a.w ataitambua quran kwa sababu aliifudisha akili yako ingewaza hilo usingepoteza muda kutunga mashairi marefu mpaka yachosha kusoma

Maliza kwanza hili la uzao na ukoo wa Yesu. Hili tulijadili baadae baada ya hili kuisha.

Mbona ushapewa Aya kwenye Biblia lakini naona unakaza fuvu. Kumbuka wasomaji na wafuatiliaji ni wengi hivyo usiwaangushe wanaoamini Quran.

Maana unapewa Aya unakataa sasa unataka tukupe Stori za kina Joti?

Kwa mujibu wa Quran Ibrahimu alikufa akiwa na miaka mingapi?

Ibrahimu Mungu wake Hakuwa Allah!
Ibrahim hajawahi kufika Saudia Arabia,
Na Allah hajawahi kufika Jerusalem Kwa wakati ule labda nyakati hizi Allah ndio kafika

Wote wapumbavu tu, pamoja na mtoa mada ni mpumbavu mkuu. Mnabishiana hadithi za kwenye vitabu mlivyo zaliwa na kuvikuta vilivyoletwa mababu zenu kujazwa ujinga na kusombwa kama watumwa ili kuwatumikia walioleta hizo dini za kipuuzi.

Na mkiulizwa kuthibisha huyo Mungu, manng'ang'a macho....halafu tena mnaanza kuleta ngano za kale za kwenye hutu tuvitabu twenu twakizwazwa kama evidence ya uthibitisho....

Tafuteni hela, sio mnashinda humu na upuuzi huu...

Nimewaambia ndugu mawakili WA utetezi wa Quran kuwa mjadala huu unafuatiliwa na maelfu ya watu, hivyo kuweni makini kuongea Kwa logizc na Facts.

Muhammad hajui kusoma wala kuandika atajuaje hii ni Quran?
Muhammad akitokea hapa hivi leo ukimpa kitabu chochote hawezi kuwa na Uelewa nacho Kwa sababu ni mjinga(hajui kusoma wala kuandika) yaani hata vitabu vyangu vya Fasihi unaweza mwambia ni Quran na akakubali.

Kwa upande wa Yesu,
Yesu atatambua haya ni maandiko matakatifu ya kiyahudi Kwa sababu yanamhusu Yeye mwenyewe. Na hata wakati anaishi aliyasoma,

Rejea kuthibitisha Madai haya; soma hapa;

Luka 4:17
Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,

Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu,
Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,
Na vipofu kupata kuona tena,
Kuwaacha huru waliosetwa,

Luka 4:19
Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.

Luka 4:20
Akakifunga chuo, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.

Luka 4:21
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Luka 4:22
Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu?

Tumeajiri watu Kama wewe au wenye Elimu kuliko wewe.

Yule aliyemtegua mguu Yakobo alijitambulisha?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umevuta bangi Kali Mkuu.
Yaani unasema tusikariri Quran, umelogwa weweπŸƒπŸƒ

Yeah!
Uislam umebeba tamaduni ya kiarabu hasa kabila la wakurdi.
Angalia Allah, huyo ni mungu wa wakurdi hata kabla Mtume hajazaliwa,
Angalia siku ya Ibada, wakurdi waliabudu siku ya ijumaa kuabudu kwenye Jiwe la alkaaba, hata kabla Mtume hajazaliwa,
Lakini kina Musa mpaka Yesu waliabudu siku ya Sabato/jumamosi mpaka hivi leo Wayahudi wanabudu siku ya sabato/jumamosi.

Hivyo hizo ni Dini mbili tofauti zenye miungu miwili tofuati.
Ila Allah kaiba wahusika/manabii na mitume wa mungu mwenzake aitwaye Yahweh/Yehova, akaacha tamaduni zingine za kiarabu ziendelee Kama kawaida

Soma kitabu cha historia ya Muhammad utaelewa ninachokisema,

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…