Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Basi kama hivyo waislamu na wakristo wangefanana mambo yao kama ibada zao n.k maana si hakuna fundisho jipya alilokuja nalo Muhamnad kwamba yote kakopy ?

Nimejibu andiko jipya ni pamoja na fundisho la Majini.

Waislam hawawezi kufanana ibada zao Kwa sababu miungu yao ni tofauti.
Mungu WA Biblia ni Yehova/Yahweh
Mungu WA Quran ni Allah aliyekuwa mungu wa waarabu kabla ya uislam
 

Unasema alikuwa haelezei Kama kitu kipya ilhali anasema Yesu alizaliwa mchana kwenye mtende ilhali inafahamika Yesu alizaliwa Usiku kwenye Hori la NG'OMBE.

Muhammad anasema Yesu hakusulubishwa ilhali Visa alivyovikuta vinasema alisulubishwa.

Huoni kimahakama Muhammad anapotosha? Au ni muongo
 
Kuelezea sio tatizo ni kweli imevielezea ila haina maana kuwa Qur'an ni mkusanyiko wa hivyo vitabu kama inavyosemwa kwa Biblia kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Qur'an imeeleza vitu vingi sana.

Quran imeeleza vitu vingi lakini haviwezi kuwa ushahidi mahakamani. Kwa sababu haitoi taarifa sahihi na nyeti kuhusu matukio inayoelezea.

Mifano, unaweza niambia Kwa mujibu wa Quran Daudi alizaliwa wapi? Akaishi miaka mingapi na akafa wapi?

Au Issa alizaliwa wapi? Au Ibrahim alikufa akiwa na miaka mingapi, akazikwa wapi?

Kimahakama hayo ndio yataulizwa alafu Quran itabaki imeduwaa isiwe na chakujibu.

Quran haijui hata Neno mungu/Allah sio personal name inayoweza kumtambulisha ni mungu yupi au wakina Nani.

Lakini Biblia yenyewe ipo full kuwa Mungu wa waisrael ni Yehova, na kuna miungu mingi imetajwa kulingana na jamii husika za watu.
 
mpumbavu anaifananisha maneno ya mungu na mahakama, jaji kaaumbwa na mungu halafu jaji amhukumu mungu, ujinga wa hali ya juu, ni sawa mama akuzae halafu umbake
 

Mkuu hivi uliwahi kwenda mahakamani?
Kwenye hizo Aya zako kuna sehemu pametajwa Saudia Arabia?

Muulize Mwalimu wako WA Dini, Ibrahimu hajawahi kukanyaga Ardhi ya Saudia Arabia.
Fuatilia hata Mitandaoni kama hauna Mwalimu.

Mambo ya kidini yapo kihistoria, Ibrahim Routes zake zote zimeorodheshwa kwenye visa vya kiyahudi, na hakuna route yoyote ya Saudia Arabia
 
In the Old Testament, in Psalms 84:5-6, 10, there is mention of the valley of Baca. This passage, in the King James Version (KJV), reads as follows
 
Jamaa wewe yani umekariri kuwa Qur'an inaeleza visa vya zamani tu ndio maana unatoa hayo maelezo. Inaonesha umekuja kuanzisha mada bila ya kupitia vizuri yaliyomo kwenye Qur'an.
 
Kwahiyo mkristo akiamua kufuata hizo nguzo tano ndio anakuwa muislamu?
 
Jamaa wewe yani umekariri kuwa Qur'an inaeleza visa vya zamani tu ndio maana unatoa hayo maelezo. Inaonesha umekuja kuanzisha mada bila ya kupitia vizuri yaliyomo kwenye Qur'an.

Quran ukitoa Aya ilizoiba kwenye maandiko ya kiyahudi haibaki na Jambo lolote la maana. Inakuwa kitabu cha kawaida kabisa
 
mpumbavu anaifananisha maneno ya mungu na mahakama, jaji kaaumbwa na mungu halafu jaji amhukumu mungu, ujinga wa hali ya juu, ni sawa mama akuzae halafu umbake

Maneno ya mungu yakiwa yameandikwa na wanadamu tunaweza kuyapeleka mahakamani kuyathibitisha Kama ni kweli au sio kweli ili yasipotoshe watu.

Quran na Biblia ni vitabu kama vilivyovitabu vingine vinavyotumiwa na wanadamu, kuvi- certifying ni kitu cha kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…