Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Unaposema biblia unakusudia biblia ipi?
Queen James Version, King James Version, NIV, RSV, au ipi katika maelfu ya biblia tofauti?
Unateseka Sana 😂😂 umeshindwa kupangua hoja
 
Ukisema vigezo vyote ina maana akiishia kigezo cha kutoa shahada tu bado hajawa muislamu?

Mbona unarudia rudia swali.

Umeuliza swali hili

Kwahiyo mkristo akiamua kufuata hizo nguzo tano ndio anakuwa muislamu?

Mimi nikakujibu kwa jibu hili

Ndio anakuwa muislamu. Maana vigezo vyote vya kuwa muislamu anakuwa amevifanya akianzia na kusema shahada.

Unauliza tena kuhusu shahada. Wakati nimeshasema kwamba mtu akisema shahada anakuwa muislamu. Maana shahada ndio nguzo ya kwanza ya uislamu

Kwani mtu akiwa ana silimu anasilimishwaje zaidi ya kuambiwa atamke shahada?

Pinga hoja kwa maneno yaliyonyooka sio kuzunguka zunguka
 
Msahafu umeandikwa wapi
Huo unaoitwa msahafu... Ni jina tu wamelipagaza waswahili... Jina lake sahihi ni QUR-AAN.

Na lipo kwenye Quran yenyewe... Rejea comment yangu kwa comments zilizopita au kufuata baada ya hii uliyoreply.
 
Ili uwe muislamu na nguzo za uislamu hivyo ni vitu viwili.

Acha uongo huwezi kuwa muislamu bila kutamka shahada.. na shahada ni nguzo ya uislamu.

Unaanzia wapi kusema mtu unaweza kuwa muislamu bila kufata nguzo za uislamu
 
Quran ukitoa Aya ilizoiba kwenye maandiko ya kiyahudi haibaki na Jambo lolote la maana. Inakuwa kitabu cha kawaida kabisa
Uislamu ni mfumo mzima wa maisha na Qur'an ndio muongozo wake, sasa ukisema kwamba ukitoa hivyo visa vya zamani kwenye Qur'an inafanya Qur'an kuwa haina cha maana hapo nitakushangaa.

Labda maneno hayo useme kwenye Biblia hapo sawa.
 
Unateseka Sana 😂😂 umeshindwa kupangua hoja
Swali ni kwa Robert

Si ndiyo ninauliza au ni makosa kuuliza ?

Mbona sijibiwi

Unaposema biblia unakusudia biblia ipi?
Queen James Version, King James Version, NIV, RSV, au ipi katika maelfu ya biblia tofauti?
 
Hebu someni hii mifano miwili

1.
Yohana 6:45
Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu.

Luka 19:46
akiwaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.

Luka 20:41
Akawaambia, Wasemaje watu kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?

Luka 20:42
Maana, Daudi mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume,

Yohana 8:17 Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.

$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

2.
Luka 4:9 Akamwongoza mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini;

Luka 4:10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde;

{ Maneno ya namba Moja Yesu Kristo ana wafundindisha huku akiwatambua walio anza kuongea maneno anayo ongea. Na kuvitaja Vitabu vilivyo andika hayo maneno. Hapo ana maanisha hayo maneno sio yake}

{ Maneno namba mbili Ibirisi Shetani anaongea huku akiwatambulisha walio ongea hayo anayo ongea na kuufahamisha uma kuwa hayo maneno sio yake, yeye kanukuu tu basi}

Muhammadi naye kaja, anaongea maneno ya wenzake bila kuwatambua walio anza kuongea. Anajifanya yeye ndiyo mwanzilishi wa hayo maneno yake.

Hapo ndipo wanamjadala wanaposema amefanya plagiarism.
Na kwamba Qurani imejaa plagiarism nyingi sana.

Huu ushahidi ndio utaotolewa Mahakamani kuwa Qurani sio kitabu halisi (original)
Hivyo kinapotosha jamii.
 
Unapo chukua andiko lazima uweke acknowledgement, Muhammad yeye kafanya kuchukua na ku edit na kujifanya ni yake amefanya Plagiarism

Jipya alilo kuja nalo Muhammad ni mapepo kuwa ni waislamu
Kafanya lake kvp mbona hapo hatuelewani? Qur'an imesahisha kuwa Yesu hakuwa Mungu kama ambavyo wakristo wanaamini na kudai hivyo na pia Yesu hakusulubiwa, wewe unasema et Muhammad kafanya hicho kisa ni chake kisa.

Ni suala la wewe kuamua kuamini kilichoelezwa kwenye Biblia na kuachana na kilicho elezwa na Qur'an kwa sababu hauamini Qur'an ila kutaka kulazimisha umiliki wa hivyo visa na Muhammad hajatumia Biblia kama marejeo ya hivyo visa.
 
Yusuf si wako wengi kama ilivyo Muhammad wako wengi wanaoitwa Muhammad nimekuja gundua una upeo mdogo sana

Ajabu nin yusuph wako wengi ni jina tu hata Leo Kuna watu kibao wanaitwa yusuphu
Hapa hamuwezi kuchomoka, kumbuka hapa tunaongelea ukoo wa Yesu. Sababu hao walio tajwa ni manabii na mitume.
 
Hapa hamuwezi kuchomoka, kumbuka hapa tunaongelea ukoo wa Yesu. Sababu hao walio tajwa ni manabii na mitume.
Sio kuchomoka wewe ndo inaonekana mjinga sababu unabishana na written evidence, we endelea kupinga una uhuru na haki hiyo lakin huwezi bishana na ukweli
 
Kafanya lake kvp mbona hapo hatuelewani? Qur'an imesahisha kuwa Yesu hakuwa Mungu kama ambavyo wakristo wanaamini na kudai hivyo na pia Yesu hakusulubiwa, wewe unasema et Muhammad kafanya hicho kisa ni chake kisa.

Ni suala la wewe kuamua kuamini kilichoelezwa kwenye Biblia na kuachana na kilicho elezwa na Qur'an kwa sababu hauamini Qur'an ila kutaka kulazimisha umiliki wa hivyo visa na Muhammad hajatumia Biblia kama marejeo ya hivyo visa.
Cha muhimu alitakiwa atoe acknowledgement, kaiba visa vingi
 
Sio kuchomoka wewe ndo inaonekana mjinga sababu unabishana na written evidence, we endelea kupinga una uhuru na haki hiyo lakin huwezi bishana na ukweli
Hapo hakuna ushahidi sababu maandiko yenu hayajatoka kwa Yesu Moja kwa Moja ndiyo maana yanajichanganya sana.

Kingine siyo kilicho andikwa ni sahihi, ndiyo maana kuna Elimu na misingi ya kuhakiki habari.
 
Amepotosha maana kabadili maandiko ya watu , yeye kayakuta anaanza kuleta edition

Mengine kachukua majina tu kapachika na majina ya wayahudi uwa Yana maana
Kachukua yakobo kampachika Israel wala haelezi ilikuwaje jina kubadilika
Hiyo Biblia yenyewe ina matoleo tofauti tofauti kitendo hicho tu kimebadili sana maana ya baadhi ya Aya kuna tafsiri tofauti tofauti, sasa sijui nani alikwambia Qur'an ilitoa hivyo visa kwenye biblia?

Kwani haya majina ya Yesu na Jesus yamepatikana vp au yana maana ipi?
 
Hapo hakuna ushahidi sababu maandiko yenu hayajatoka kwa Yesu Moja kwa Moja ndiyo maana yanajichanganya sana.

Kingine siyo kilicho andikwa ni sahihi, ndiyo maana kuna Elimu na misingi ya kuhakiki habari.
Kwani Quran imetoka kwa Muhammad ambaye hajui kusoma wala kuandika
 
Hiyo Biblia yenyewe ina matoleo tofauti tofauti kitendo hicho tu kimebadili sana maana ya baadhi ya Aya kuna tafsiri tofauti tofauti, sasa sijui nani alikwambia Qur'an ilitoa hivyo visa kwenye biblia?

Kwani haya majina ya Yesu na Jesus yamepatikana vp au yana maana ipi?
Kwa hiyo tafsir walikuwa wanatafsir kutoka hewani? Yani hakuna source

Muhammad kaiba kazi za watu kafanya zake na ku edit kubadili

Yeye alitakiwa kuja na visa vya waarabu
 
Kwa hiyo tafsir walikuwa wanatafsir kutoka hewani? Yani hakuna source

Muhammad kaiba kazi za watu kafanya zake na ku edit kubadili

Yeye alitakiwa kuja na visa vya waarabu
Kama anavyo zungumzia visa vya uhusiano wa Majini na Uislamu.

Hivyo ndivyo visa halisi vya Muhammadi
 
Huo unaoitwa msahafu... Ni jina tu wamelipagaza waswahili... Jina lake sahihi ni QUR-AAN.

Na lipo kwenye Quran yenyewe... Rejea comment yangu kwa comments zilizopita au kufuata baada ya hii uliyoreply.
basi ndio hivyohivyo kwa biblia ,ambalo jina lake sahihi ni injili
 
Back
Top Bottom