NI hoja ya msingi sana maana biblia Ina edition nyingi sana zinazambatana na mabadiliko ya baadhi ya mafungu hivo kinaondoa sifa ya kuwa kitabu Cha mungu mfano mzuri Kuna biblia Ina vitabu 77 ,66,76,65 Sasa hatujui ni ipi halisi hasaa ukiangalia Kila dhehebu hupinga aina Fulani ya biblia mfano MSABATO hawezi tumia kitabu Cha MKATOLIKI CHENYE VITABU 77 upo kaka hapoUnateseka Sana 😂😂 umeshindwa kupangua hoja
Sasa hili la kwamba majini ni malaika(malaika waliyoasi) linetoka wapi mbona kwenye Qur'an halipo?Majini kasome surah Yao ndani ya Koran utakuta kila kitu kuwahusu
Kuandika ni njia ya kuweka kumbukumbu.k
kushuka ndio kitu gani,hakuna kitu kinachoitwa kushuka hizo ni porojo tu ,injili imeandikwa na marko,mathayo na yohana ,ukisikia eti kitabu kimeshuka huo ni upuuzi wa ni mapoyoyo tu ndio yataamini huo ujinga
Hata mimi naweza kupotosha kwa kusema nimezaliwa Tanzania kumbe nimezaliwa Uingereza, unalijua hilo?
Mahakama huwa inataka ushahidi.
Ni ninyi ndio mnaosema hivyo.
Kuandika ni njia ya kuweka kumbukumbu.
Swali ni kwa Robert
Si ndiyo ninauliza au ni makosa kuuliza ?
Mbona sijibiwi
Unaposema biblia unakusudia biblia ipi?
Queen James Version, King James Version, NIV, RSV, au ipi katika maelfu ya biblia tofauti?
Uislamu ni mfumo mzima wa maisha na Qur'an ndio muongozo wake, sasa ukisema kwamba ukitoa hivyo visa vya zamani kwenye Qur'an inafanya Qur'an kuwa haina cha maana hapo nitakushangaa.
Labda maneno hayo useme kwenye Biblia hapo sawa.
Ndio maana ni kipya kaja nacho yeye MuhammadSasa hili la kwamba majini ni malaika(malaika waliyoasi) linetoka wapi mbona kwenye Qur'an halipo?
Maneno yenu ya kuzua zua mnayodanganya kanisani usiyalete hapa hapa lete maandiko
Toa hilo andiko linalosema Yesu alizaliwa usiku kwenya hori la ng'ombe
Hakuna sehem Qur'an imefoji au kugeza.Luka 2:8
Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku.
Luka 2:9
Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang’aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.
Luka 2:10
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;
Luka 2:11
maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.
Luka 2:12
Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng’ombe.
Luka 2:13
Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,
Luka 2:14
Atukuzwe Mungu juu mbinguni, <br>Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.
Luka 2:15
Ikawa, malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji waliambiana, Haya, na twendeni mpaka Bethlehemu, tukalione hilo lililofanyika, alilotujulisha Bwana.
Luka 2:16
Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini.
Luka 2:17
Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto.
Luka 2:18
Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji.
Luka 2:20
Wale wachungaji wakarudi, huku wanamtukuza Mungu na kumsifu kwa mambo yote waliyosikia na kuyaona, kama walivyoambiwa.
Alisha jibiwa atumie chochote, ila bado anatesekaNI hoja ya msingi sana maana biblia Ina edition nyingi sana zinazambatana na mabadiliko ya baadhi ya mafungu hivo kinaondoa sifa ya kuwa kitabu Cha mungu mfano mzuri Kuna biblia Ina vitabu 77 ,66,76,65 Sasa hatujui ni ipi halisi hasaa ukiangalia Kila dhehebu hupinga aina Fulani ya biblia mfano MSABATO hawezi tumia kitabu Cha MKATOLIKI CHENYE VITABU 77 upo kaka hapo
Hakuna sehem Qur'an imefoji au kugeza.
NAKUPA KAZI MOJA NILETEE MFANO WA SURATUL TTAUBAH NITARITADI KUWA MKIRISTO.
Unabwabwaja sana.Unajua maana ya Plagiarism?
Kitendo cha Quran kuchukua visa vya maandiko ya kiyahudi bila kutoa Credit hiyo ndio Plagiarism yenyewe.
Kama unaelimu walau ya Diploma au Shahada utaelewa nijazungumzia Jambo gani hapa. Lakini kama madarasa yako hayatoshi basi ni Haki yako kuona hakuna Plagiarism,
Ila usiwaone wenzako wanaoshindwa hoja hapa ni wajinga, Ila ni kwamba imedhihirika kuwa Muhammad alifanya Plagiarism.
Wasomi wote wanajua Jambo Hilo ndio maana huwaoni hapa
Pia unaleta huu mjadala ilhali haujui misingi ya Qur'an jinsi alivyoshshiwa mtume na aliyemfundisha pia na muundo wake.Unajua maana ya Plagiarism?
Kitendo cha Quran kuchukua visa vya maandiko ya kiyahudi bila kutoa Credit hiyo ndio Plagiarism yenyewe.
Kama unaelimu walau ya Diploma au Shahada utaelewa nijazungumzia Jambo gani hapa. Lakini kama madarasa yako hayatoshi basi ni Haki yako kuona hakuna Plagiarism,
Ila usiwaone wenzako wanaoshindwa hoja hapa ni wajinga, Ila ni kwamba imedhihirika kuwa Muhammad alifanya Plagiarism.
Wasomi wote wanajua Jambo Hilo ndio maana huwaoni hapa