Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Unateseka Sana 😂😂 umeshindwa kupangua hoja
NI hoja ya msingi sana maana biblia Ina edition nyingi sana zinazambatana na mabadiliko ya baadhi ya mafungu hivo kinaondoa sifa ya kuwa kitabu Cha mungu mfano mzuri Kuna biblia Ina vitabu 77 ,66,76,65 Sasa hatujui ni ipi halisi hasaa ukiangalia Kila dhehebu hupinga aina Fulani ya biblia mfano MSABATO hawezi tumia kitabu Cha MKATOLIKI CHENYE VITABU 77 upo kaka hapo
 
k

kushuka ndio kitu gani,hakuna kitu kinachoitwa kushuka hizo ni porojo tu ,injili imeandikwa na marko,mathayo na yohana ,ukisikia eti kitabu kimeshuka huo ni upuuzi wa ni mapoyoyo tu ndio yataamini huo ujinga
Kuandika ni njia ya kuweka kumbukumbu.
 
Huku ndiko kulumbana kwa hoja au wengine ndo tayari mmepandisha mizuka
 
WEWE MKRISTO KITAMBUE KITABU CHAKO TAURAT NI YA MUSA Kwa ajili ya Wana wa Israel,ZABURI ni ya DAUD kwa ajili ya Wana WA Israel,INJILI ni ISA (YESU)Kwa ajili ya kabila 12 za Israel.

Katika kila kitabu Kuna mamb walikuwa wanaambiwa wafanye mfano kipindi Cha DAUD hao waliambiwa wamwimbia Bwana jambo ambalo katika injili hapana waliposema kuimba.

Sasa IPO hivi Kuna mamb ambayo Kwa kipindi kile waliambiwa wafanye ila ukija kukifanya sasahiv huwez kufanya kwahy kitambue kitabu chenu nyie wakristo miifuate ila TAURAT ZABURI NA INJILI SIO VYA KWENU maana hivo vitabu ni kwaajili ya wana wa Israel tu zile kabila 12 Kama utasema naww ni mwana Israel unitajie ni kabila Gani upo kati ya Yale 12
 
HAKIWEZI KUWA CHA MUNGU HIKI BHAN

Nawe fanya nguzo tano za mti wa mshita kwa kile kisitiri, na kuzifunika dhahabu; kulabu zake zitakuwa za dhahabu; nawe utasubu matako ya shaba matano kwa ajili yake.

Kutoka 26:37
 
Hata mimi naweza kupotosha kwa kusema nimezaliwa Tanzania kumbe nimezaliwa Uingereza, unalijua hilo?

Tutakuuliza Baadhi ya maswali utashindwa kuyajibu kama vile Quran ilivyokujibu Baadhi ya maswali muhimu Kwa sababu imefanya plagiarism
 
Swali ni kwa Robert

Si ndiyo ninauliza au ni makosa kuuliza ?

Mbona sijibiwi

Unaposema biblia unakusudia biblia ipi?
Queen James Version, King James Version, NIV, RSV, au ipi katika maelfu ya biblia tofauti?

Hizo ni Version, unajua maana ya Version?
 
Uislamu ni mfumo mzima wa maisha na Qur'an ndio muongozo wake, sasa ukisema kwamba ukitoa hivyo visa vya zamani kwenye Qur'an inafanya Qur'an kuwa haina cha maana hapo nitakushangaa.

Labda maneno hayo useme kwenye Biblia hapo sawa.

Unajua kinachojadiliwa huku Mkuu?
Kwa mfano Wayahudi Leo waende mahakama ya dunia wakasema hawataki Majina ya manabii wa kiyahudi, unafikiri hayataondolewa?

Kwa maana ilichofanya ni plagiarism na Forgery
 
Maneno yenu ya kuzua zua mnayodanganya kanisani usiyalete hapa hapa lete maandiko

Toa hilo andiko linalosema Yesu alizaliwa usiku kwenya hori la ng'ombe

Luka 2:8
Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku.

Luka 2:9
Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang’aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.

Luka 2:10
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;

Luka 2:11
maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.

Luka 2:12
Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng’ombe.

Luka 2:13
Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,

Luka 2:14
Atukuzwe Mungu juu mbinguni, <br>Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.

Luka 2:15
Ikawa, malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji waliambiana, Haya, na twendeni mpaka Bethlehemu, tukalione hilo lililofanyika, alilotujulisha Bwana.

Luka 2:16
Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini.

Luka 2:17
Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto.

Luka 2:18
Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji.

Luka 2:20
Wale wachungaji wakarudi, huku wanamtukuza Mungu na kumsifu kwa mambo yote waliyosikia na kuyaona, kama walivyoambiwa.
 
Hakuna sehem Qur'an imefoji au kugeza.
NAKUPA KAZI MOJA NILETEE MFANO WA SURATUL TTAUBAH NITARITADI KUWA MKIRISTO.
 
Ha...ha...ha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe sio chini ya mtende tena, mtende wa Kijiji cha Naitetemesha, Lichinga, Msumbiji.
 
NI hoja ya msingi sana maana biblia Ina edition nyingi sana zinazambatana na mabadiliko ya baadhi ya mafungu hivo kinaondoa sifa ya kuwa kitabu Cha mungu mfano mzuri Kuna biblia Ina vitabu 77 ,66,76,65 Sasa hatujui ni ipi halisi hasaa ukiangalia Kila dhehebu hupinga aina Fulani ya biblia mfano MSABATO hawezi tumia kitabu Cha MKATOLIKI CHENYE VITABU 77 upo kaka hapo
Alisha jibiwa atumie chochote, ila bado anateseka
 
Hakuna sehem Qur'an imefoji au kugeza.
NAKUPA KAZI MOJA NILETEE MFANO WA SURATUL TTAUBAH NITARITADI KUWA MKIRISTO.

Unajua maana ya Plagiarism?
Kitendo cha Quran kuchukua visa vya maandiko ya kiyahudi bila kutoa Credit hiyo ndio Plagiarism yenyewe.

Kama unaelimu walau ya Diploma au Shahada utaelewa nijazungumzia Jambo gani hapa. Lakini kama madarasa yako hayatoshi basi ni Haki yako kuona hakuna Plagiarism.

Ila usiwaone wenzako wanaoshindwa hoja hapa ni wajinga, Ila ni kwamba imedhihirika kuwa Muhammad alifanya Plagiarism.

Wasomi wote wanajua Jambo Hilo ndio maana huwaoni hapa
 
Unajua maana ya Plagiarism?
Kitendo cha Quran kuchukua visa vya maandiko ya kiyahudi bila kutoa Credit hiyo ndio Plagiarism yenyewe.

Kama unaelimu walau ya Diploma au Shahada utaelewa nijazungumzia Jambo gani hapa. Lakini kama madarasa yako hayatoshi basi ni Haki yako kuona hakuna Plagiarism,
Ila usiwaone wenzako wanaoshindwa hoja hapa ni wajinga, Ila ni kwamba imedhihirika kuwa Muhammad alifanya Plagiarism.
Wasomi wote wanajua Jambo Hilo ndio maana huwaoni hapa
Unabwabwaja sana.
Nitajie kitabu Cha kiyahudi kilichofanyiwa plagiarism.
Twende taratibu.
 
Unajua maana ya Plagiarism?
Kitendo cha Quran kuchukua visa vya maandiko ya kiyahudi bila kutoa Credit hiyo ndio Plagiarism yenyewe.

Kama unaelimu walau ya Diploma au Shahada utaelewa nijazungumzia Jambo gani hapa. Lakini kama madarasa yako hayatoshi basi ni Haki yako kuona hakuna Plagiarism,
Ila usiwaone wenzako wanaoshindwa hoja hapa ni wajinga, Ila ni kwamba imedhihirika kuwa Muhammad alifanya Plagiarism.
Wasomi wote wanajua Jambo Hilo ndio maana huwaoni hapa
Pia unaleta huu mjadala ilhali haujui misingi ya Qur'an jinsi alivyoshshiwa mtume na aliyemfundisha pia na muundo wake.

Kusema Qur'an Ina hearsay hai justify kuwa haijitoshelezi, Qur'an kuelezea mambo ya nyuma hai justify unachosema kuwa haijitoshelezi au imefanya plagiarism.

Kuna misingi mingi haujaifaham kuhusu Qur'an na maelzo yake.
 
Back
Top Bottom