Kuandikwa sio tatizo ndio maana nimekwambia ili kuweka kumbukumbuku, mfano Qur'an wazo la kukusanywa na kuwekwa pamoja kwenye maandishi limekuja baadaye Muhammad mwenyewe hayupo.ndio hivyo kwahiyo vitabu vyote vimeandikwa
Ndiyo nimeuliza biblia ipi anayoizungumza?Nani kakwambia ukumbi wa dini umefungwa? Wewe ndio umetolewa
Jibu mada post number moja
Tumia uliyonayo ,na urudi kujibu hojaNdiyo nimeuliza biblia ipi anayoizungumza?
Hiyo uliyoandika ndiyo biblia anayoizungumza ?Tumia uliyonayo ,na urudi kujibu hoja
Jambo lolote la uongo lazima uzunguke sana kulielezea nimekuambia
Toa andiko linalosema Yesu alizaliwa usiku kwenya hori la ng'ombe
Umeatoa mandiko kibao na bodo Hilo andiko linalosema Yesu amezaliwa usika kwenye hori la ng'ombe hakuna
Bali Kuna andiko Mtoto amelazwa katika hori la ng'ombe
Wapi alipozaliwa?
Kama uliyoongea huko juu ni ya kweli kuwa Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe toa Hilo andiko ili tujue kuwa hayo uliyoongea sio ya uongo
Ndio maana mm nikamwambia huyu mleta mada,analeta arguments pasi na kujua misingi ya Qur'an .Kuandikwa sio tatizo ndio maana nimekwambia ili kuweka kumbukumbuku, mfano Qur'an wazo la kukusanywa na kuwekwa pamoja kwenye maandishi limekuja baadaye Muhammad mwenyewe hayupo.
Na hivyo vitabu vyenyewe vinapatikana wapi?Injili
Torati
Zaburi
Zote Quran umefanya plagiarism alafu inafanya pia Forgery
Imepungua nini?
Ndio maana mm nikamwambia huyu mleta mada,analeta arguments pasi na kujua misingi ya Qur'an .
😂😂😂😂😂😂 Hawa viumbe Yesu wao anawaona doooh.
Na hivyo vitabu vyenyewe vinapatikana wapi?
Lete aya moja tu ya plagiarismMsingi Mkuu wa Quran ni Plagiarism na hicho kwenye mahakama kinachojadiliwa hapa.
Lete aya moja tu ya plagiarism
Usisahau kutwambia unaongelea biblia ipi
Luka 2:8Naona hujui kusoma Kama Muhammad.
Ndiyo hapo juu umeleta Aya iliyokuwa plagiarized kutoka ndani ya biblia?Umesoma hoja za huko juu?
Unajua kanuni za uandishi wa vitabu?
Kunukuu na kuchukua wahusika na visa vya kitabu vingine bila kuwapa Credit huo ni wizi hata mahakamani unashtakiwa Kwa kosa la wizi. Hivyo Muhammad amefanya kosa hilo Kwa kuiba wahusika na visa vya kiyahudi alafu akavitumia kwenye kitabu chake cha Quran pasipokutoa Credit.
Mbona Yesu alitoa Credit Kila aliponukuu Aya za wenzake?
Kwanza unajua maana ya Acknowledgment?
Au kutoa Credit?
Hapana mkuu huwezi kusema biblia ina hivyo vitabu ndani yake, nakumbuka nilikupa link ya uzi humu ambapo kumejadiliwa utata wa Musa kuwa ndio yeye aliyeandika kitabu cha Mwanzo ama si yeye na kumejaa utata kama huo.Kwenye Biblia.
Embu jibu hoja za post 1YESU KRISTO alisema kuhusu kuja kwa Mohammed ingawa hakumtaja jina moja kwa moja.
Yohana 5:43
43 Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu na mnakataa kunipokea. Lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea.
Maneno hayo hapo juu yanatosha kabisa kuthibitisha "uhalali wa Biblia" sababu ni kweli kabisa aliyosema YESU yametokea tayari.
Mohammed alikuja kwa jina lake mwenyewe zaidi ya miaka 500 baada ya YESU kuondoka, na Wayahudi wengi sana waliupokea Uislamu kuliko Ukristo.
Mpaka hivi leo tunapozungumza pale Jerusalem lilipokuwapo lile Hekalu la MUNGU ambalo YESU aliingia ndani yake na kuwafukuza wafanyabishara huku akizipindua meza zao na kisha "akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi" Mathayo 21:13, hekalu hilo leo hii ni msikiti mkubwa wa Waislamu unaoitwa Al-Aqsa.
Hichi kinathibitisha maneno ya YESU maana Wayahudi walimkataa KRISTO aliyekuja kwa jina la BABA MUNGU, lakini walimpokea Mohammed aliyekuja kwa jina lake mwenyewe na hata wakaibadilisha nyumba ya sala ya MUNGU kuwa msikiti.
Biblia inabeba NENO la KWELI la MUNGU.
Tuambie mnatumia biblia ipi ?Embu jibu hoja za post 1
Kwani Mkuu Tv inatabiri mambo yajayo? ki vepi?....... au inatoa matukio ya Dunia Live km yalivo na Radio pia ivoivo tu!....Nyerere hajawahi kusema ameoteshwa hata siku moja!(Ni kama story za utani za kumsema nyerere enzi zile akiona kitu kwenye tv anakuja kusema ameoteshwa kwamba Marekani kimetokea hiki.. sababu watu wengine hawana tv wanaamini kaoteshwa kweli)