Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

ndio hivyo kwahiyo vitabu vyote vimeandikwa
Kuandikwa sio tatizo ndio maana nimekwambia ili kuweka kumbukumbuku, mfano Qur'an wazo la kukusanywa na kuwekwa pamoja kwenye maandishi limekuja baadaye Muhammad mwenyewe hayupo.
 
Jambo lolote la uongo lazima uzunguke sana kulielezea nimekuambia

Toa andiko linalosema Yesu alizaliwa usiku kwenya hori la ng'ombe

Umeatoa mandiko kibao na bodo Hilo andiko linalosema Yesu amezaliwa usika kwenye hori la ng'ombe hakuna
Bali Kuna andiko Mtoto amelazwa katika hori la ng'ombe

Wapi alipozaliwa?

Kama uliyoongea huko juu ni ya kweli kuwa Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe toa Hilo andiko ili tujue kuwa hayo uliyoongea sio ya uongo

Naona hujui kusoma Kama Muhammad.
 
Kuandikwa sio tatizo ndio maana nimekwambia ili kuweka kumbukumbuku, mfano Qur'an wazo la kukusanywa na kuwekwa pamoja kwenye maandishi limekuja baadaye Muhammad mwenyewe hayupo.
Ndio maana mm nikamwambia huyu mleta mada,analeta arguments pasi na kujua misingi ya Qur'an .
😂😂😂😂😂😂 Hawa viumbe Yesu wao anawaona doooh.
 
Imepungua nini?

Mkuu unataka nirudie mara ngapi,
Soma post za nyuma utaona nini Quran imepungua.

Kama hujui ilipopungua,
Niambie Kwa mujibu ya Quran hawa walizaliwa wapi?
Ibrahimu, Musa, Yusufu, Suleiman, Daudi Issa?
Na walikufa wapi? Wakiwa na miaka mingapi?

Alafu rudi juu ukasome Uzi huu unasema nini
 
Ndio maana mm nikamwambia huyu mleta mada,analeta arguments pasi na kujua misingi ya Qur'an .
😂😂😂😂😂😂 Hawa viumbe Yesu wao anawaona doooh.

Msingi Mkuu wa Quran ni Plagiarism na hicho kwenye mahakama kinachojadiliwa hapa.
 
Lete aya moja tu ya plagiarism

Usisahau kutwambia unaongelea biblia ipi

Umesoma hoja za huko juu?

Unajua kanuni za uandishi wa vitabu?
Kunukuu na kuchukua wahusika na visa vya kitabu vingine bila kuwapa Credit huo ni wizi hata mahakamani unashtakiwa Kwa kosa la wizi. Hivyo Muhammad amefanya kosa hilo Kwa kuiba wahusika na visa vya kiyahudi alafu akavitumia kwenye kitabu chake cha Quran pasipokutoa Credit.

Mbona Yesu alitoa Credit Kila aliponukuu Aya za wenzake?

Kwanza unajua maana ya Acknowledgment?
Au kutoa Credit?
 
Naona hujui kusoma Kama Muhammad.
Luka 2:8
Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku.

Luka 2:9
Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang’aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.

Luka 2:10
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;

Luka 2:11
maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.

Luka 2:12
Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng’ombe.

Luka 2:13
Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,

Luka 2:14
Atukuzwe Mungu juu mbinguni,
Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.

Luka 2:15
Ikawa, malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji waliambiana, Haya, na twendeni mpaka Bethlehemu, tukalione hilo lililofanyika, alilotujulisha Bwana.

Luka 2:16
Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini.

Luka 2:17
Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto.

Luka 2:18
Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji.

Luka 2:20
Wale wachungaji wakarudi, huku wanamtukuza Mungu na kumsifu kwa mambo yote waliyosikia na kuyaona, kama walivyoambiwa

Wewe ndio haujui kosoma na Wala haujui Lugha ya kiswahili

Maandiko yako uliyotoa kama galazeti la uhuru si ndio hayo apo juu?

Kuna andiko lolote hapo linasema Yesu amezaliwa usika kwenye hori la ng'ombe?

Au kuvikwa nguo na kulazwa kwenye hori ndio kuzaliwa?

Mkadanganyane huko kanisani sio hapa

Toa andiko kulinda ulichokisema kuwa Yesu amezaliwa usika kwenye hori la ng'ombe

Na kama hakuna andiko linalosema hivyo wewe hayo maneno umeyapata wapi?
 
Hivi semeni KWELI waislamu.
Muwe honest.

Kama Mahakama ya Kimataifa ita waamuru mukaoneshe hapo ulipo kuwa Mti wa Mtende ambapo mnasema Yesu Kristo ndipo alipo zaliwa.

Kuna mmoja wenu atainuka kwenda kupaonesha ?

Kuna mmoja wenu amewahi kupaona kwa macho yake ?

Au ni Mtende wa ndotoni ?

Kitabu cha Qurani kikipelekwa mahakamani kuthibisha kinayo ya sema kitashindwa hata na magazeti haya yakawaida yanavyo toa habari zake.

Kitatupiliwa mbali kwa kuiongopea jamii ya dunia.
 
Umesoma hoja za huko juu?

Unajua kanuni za uandishi wa vitabu?
Kunukuu na kuchukua wahusika na visa vya kitabu vingine bila kuwapa Credit huo ni wizi hata mahakamani unashtakiwa Kwa kosa la wizi. Hivyo Muhammad amefanya kosa hilo Kwa kuiba wahusika na visa vya kiyahudi alafu akavitumia kwenye kitabu chake cha Quran pasipokutoa Credit.

Mbona Yesu alitoa Credit Kila aliponukuu Aya za wenzake?

Kwanza unajua maana ya Acknowledgment?
Au kutoa Credit?
Ndiyo hapo juu umeleta Aya iliyokuwa plagiarized kutoka ndani ya biblia?

Na biblia unayotumia kuelezea mbona unakimbia kutuambia?
 
Kwenye Biblia.
Hapana mkuu huwezi kusema biblia ina hivyo vitabu ndani yake, nakumbuka nilikupa link ya uzi humu ambapo kumejadiliwa utata wa Musa kuwa ndio yeye aliyeandika kitabu cha Mwanzo ama si yeye na kumejaa utata kama huo.
 
YESU KRISTO alisema kuhusu kuja kwa Mohammed ingawa hakumtaja jina moja kwa moja.

Yohana 5:43
43 Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu na mnakataa kunipokea. Lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea.

Maneno hayo hapo juu yanatosha kabisa kuthibitisha "uhalali wa Biblia" sababu ni kweli kabisa aliyosema YESU yametokea tayari.

Mohammed alikuja kwa jina lake mwenyewe zaidi ya miaka 500 baada ya YESU kuondoka, na Wayahudi wengi sana waliupokea Uislamu kuliko Ukristo.
Mpaka hivi leo tunapozungumza pale Jerusalem lilipokuwapo lile Hekalu la MUNGU ambalo YESU aliingia ndani yake na kuwafukuza wafanyabishara huku akizipindua meza zao na kisha "akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi" Mathayo 21:13, hekalu hilo leo hii ni msikiti mkubwa wa Waislamu unaoitwa Al-Aqsa.

Hichi kinathibitisha maneno ya YESU maana Wayahudi walimkataa KRISTO aliyekuja kwa jina la BABA MUNGU, lakini walimpokea Mohammed aliyekuja kwa jina lake mwenyewe na hata wakaibadilisha nyumba ya sala ya MUNGU kuwa msikiti.

Biblia inabeba NENO la KWELI la MUNGU.
 
Embu jibu hoja za post 1
 
(Ni kama story za utani za kumsema nyerere enzi zile akiona kitu kwenye tv anakuja kusema ameoteshwa kwamba Marekani kimetokea hiki.. sababu watu wengine hawana tv wanaamini kaoteshwa kweli)
Kwani Mkuu Tv inatabiri mambo yajayo? ki vepi?....... au inatoa matukio ya Dunia Live km yalivo na Radio pia ivoivo tu!....Nyerere hajawahi kusema ameoteshwa hata siku moja!

Lkn pia yeye angetumiaje TV wkt bongo hakuna station za tv?? wala ma dish!??? hizi ni akili na story za wakulima ambao hata hawakwenda Gumbaru waliikimbia!
 
Back
Top Bottom