Kwahiyo kule Ahera kwenu, ile mito ya pombe na Bikra 72, mmewekewa ili mustarehe nyinyi tu waja wa Allah
Allah mwenyewe atakuwa anataabika tu juani sio.
Kiroja Muhamadi kakopi hii Aya bila kuweka Acknowledgement.
Ka plagiarize.
Kutoka 20:11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Surah Al-A'araf Ayah 54
إِنَّ رَبَّكُمُ ٱللَّهُ ٱلَّذِي خَلَقَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٖ ثُمَّ ٱسۡتَوَىٰ عَلَى ٱلۡعَرۡشِۖ يُغۡشِي ٱلَّيۡلَ ٱلنَّهَارَ يَطۡلُبُهُۥ حَثِيثٗا وَٱلشَّمۡسَ وَٱلۡقَمَرَ وَٱلنُّجُومَ مُسَخَّرَٰتِۢ بِأَمۡرِهِۦٓۗ أَلَا لَهُ ٱلۡخَلۡقُ وَٱلۡأَمۡرُۗ تَبَارَكَ ٱللَّهُ رَبُّ ٱلۡعَٰلَمِينَ
Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Muhammadi mwenyewe kajiita kuwa ni KIROJA.
Nammnukuu.
"Sema; mimi si Kiroja kipya katika mitume, sijui nitakachofanywa mimi wala mtakachofanywa nyinyi"
(Ile mito ya maziwa mmetapeliwa hapa anakili hajui chochote kitakacho wapata Ahera)
Nadhani maana ya Kiroja mnaijua.
SIFA ZA MUNGU
(a) Kutoka 33:17-20- Mungu haonekani:
“Bwana akamwambia Mussa nitafanya na neno hili ulilolinena kwa maana umepata neema mbele zangu nami na kujua jina lako, akasema nakusihi unioneshe utukufu wako . Akasema nitapitisha wema wangu wote mbele yako nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili ,nitamrehemu yeye nitakayemrehemu . Kisha akasema , Huwezi kuniona uso wangu , maana mwanadamu hataniona akaishi .
(b) Timotheo (1) 6:16 – Mungu haonekani wala hafi :
“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribia , Wala hakuna mwanadamu aliyemuona , Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina.
(c) Yohana 5:37- Sauti ya Mungu haijasikika:
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote ,wala sura yake hamkuiona .
(d) Yakobo 1:17- Mungu habadiliki:
“Kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka”
YESU ALIVYOPACHIKWA UUNGU
(a) Warumi 9:5
“Ambao mababu ni wao ,katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili . Ndiye aliye juu ya mambo yote . Mungu mwenye kuhimidiwa milele Amina.”
(b) Timotheo 3:16
“Na bila shaka siri ya utawa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili , akajulikana kuwa na haki katika roho , Akaonekana na malaika akahubiriwa katika mataifa akaaminiwa katika ulimwengu , Akachukuliwa juu katika utukufu”
(c) Tito 2:13
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu.
YESU ALIVYOUKANA UUNGU
(a) Luka 18:18
“Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza akasema , mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ndiye Mungu”
(b) Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”
(c) Yohana 14:28
“Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia naenda zangu tena naja kwenu kama mngalinipenda mngalifurahi kwasababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni Mkuu kuliko mimi”