Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kiroja Muhammadi hakutahiriwa na hayupo katika(nasaba) asili ya koo za Nabii Ibrahimu.

Mwanzo 17:7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.

Mwanzo 17:10
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Mwanzo 17:13
Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
 
Wewe umesema vimetiwa mikono , kusema sio tatizo talk is cheap, unatakiwa ulete uthibitisho na uthibisho wa kusema andiko limetiwa mikono ni kuleta ambalo halijatiwa mikono na useme ni kina nani wametia mikono walikuaa lini na wapi
Mbona hata humu nimeeleza jinsi hiyo mikono ilivyoingia kwenye hayo maandiko, mfano nilizungumzia issue ya maandiko yanayodaiwa kuandika Musa na Joshua nimeonesha utata uliyomo kuwa kuna vitu vilivyoandikwa vimeonesha kuwa hata Joshua hakuwa muandishi bali kuna muandishi mwengine ambaye alikuja kuandika baadaye kabisa ambapo Joshua ameshafariki kitambo.
 
Naendelea kukukumbusha acha uzumbukuku rudi shule utoe hayo maujinga uliomezeshwa upate kuwa na fikra safi na zenye mashiko....ww endelea kukumbatia dini utakufa maskini na mbinguni huendi ng'ooo😁😁😁
Ndivyo alivyokuambia mungu wako ??
 
Tatizo nyie waarabu weusi na wamissionary wa kwa mtogole hamtaki ukweli kuwa dini hizi kama unakichwa panzi lazima uzikimbatie.....lakini kama medulla inafanya kazi vizuri dini ni biashara ya kiutawala!!!
Chochote kinaweza kuwa biashara chochote kile, tatizo unachagua kuona kwa upande unaoutaka halafu tambua dunia haijajigawa kwamba kuna watu wa dini na wasio na dini bali watu ni walewale tunasoma pamoja tunafanya kazi pamoja n.k wote wenye dini na wasio na dini.
 


Muhammad SAW siMuisraeli

Yesu anasema :

Mt 15:24 SUV​

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.



Kwa hivyo haya maneno ya Paulo yote ni uzushi na ni uongo ???????? Unakimbia hili swali

Collosians2

16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo
 
Zitaje hizo asili na imani za waarabu ni zipi???.
 
Wallah umewavuruga
 
Mtu aniambie Allah alikuwa anakaaje kisura??Na uislamu ulitoka wapi??Kama ambavyo Quran inasema!!😳
 
Umepotea njia wewe rud Umepotea njia rudi nyuma
 
Kuna vitu inapishana na Quran
Kwa mfano Allah anatuambia kwenye Quran kuwa Yesu hakufa wala hakusulubiwa na Biblia inatuambia kuwa alisulubiwa akafa akafufuka.
Ndio mada tunajadili hapa
Muhammad alikuta vitabu vya biblia yeye aka copy na ku edit kwa Nini alifanya hivyo , na Kwa Nini kaiba story za wayahudi
 
Bado hujanielewa, nimekwambia Qur'an inasimama yenyewe tofauti na hicho kitabu kinachoitwa biblia ambacho watu walikaa na kukusanya maandiko tofauti tofauti hadi mengine wakayaacha na
Koran ilikusanywa na watu na maelefu yakachimwa moto wakakubaliana killpi waweke kipi wachome
 
Kwa kuwa sisi tunaamini
Yesu alikufa na kufufuka na kupaa mbinguni wenzetu wanaamini Yesu hakufa kabisa bali alipaa na atarudi tena kuua nguruwe wote na kuvunja misalaba baada ya hapo ataoa na atakufa kama viumbe wengine.
 
Vijana wa Tanzania hamnaga Jambo lolote la maana la kujadili zaidi ya Udini na Fikra Mfu tu na huu ndio mtaji wa Ccm kuhakikisha watu wanakuwa mazuzu
We endelea kunywa kahawa huku ukidanganywa na siasa za hao wahuni hapo kijiweni Kariakoo na Karume.
 
Wakorintho 1:25 NEN

Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.



Ivi nyie wakristo nani alowaroga
Yni bible yenu inamtukana uyo mungu wenu bila ya chenga

Dah aibu naona mimi huku
 
Umepotea njia wewe rud
Umepotea njia rudi nyuma


Wewe usiyepotea njia tuambie

Yesu anasema :

Mt 15:24 SUV​

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.



Kwa hivyo haya maneno ya Paulo yote ni uzushi na ni uongo ???????? Unakimbia hili swali
Collosians2
16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo
 
Koran ilikusanywa na watu na maelefu yakachimwa moto wakakubaliana killpi waweke kipi wachome


Haya maneno ya Paulo yote ni uzushi na ni uongo ???????? Unakimbia hili swali

Collosians2

16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato.

17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…