UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
We ulitaka zipanguliwe vp? Hebu toa mfano.Hampangui hoja za post number Moja,mnarukaruka na kupotezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ulitaka zipanguliwe vp? Hebu toa mfano.Hampangui hoja za post number Moja,mnarukaruka na kupotezea
Kwanza biblia ni kitabu cha nani?Ndio mada tunajadili hapa
Muhammad alikuta vitabu vya biblia yeye aka copy na ku edit kwa Nini alifanya hivyo , na Kwa Nini kaiba story za wayahudi
Soma post number Moja , Kai quote utoe majibu kwa hoja zilizopoWe ulitaka zipanguliwe vp? Hebu toa mfano.
Biblia ni kitabu chenye vitabu , Sasa rudini mjibu hojaKwanza biblia ni kitabu cha nani?
Unazungumzia watu wa kitabu na vitabu vyenyewe ni Tawrat na Injili vitabu ambavyo vimetajwa kwenye Qur'an, sasa biblia ni zao la upotovu na ndio maana ikaja Qur'an.Quran haiwezi simana yenyewe wakati ndani yake imeweka bayana kuwa kama kutakuwa na maswali Kwa waumini wa Quran basi wawafuate Wakristo wakawasaidie.
Bila Shaka unajua kitabu cha Wakristo ni kitabu gani
Nimejibu swali la kwanza na la pili.Soma post number Moja , Kai quote utoe majibu kwa hoja zilizopo
Kumbe ni kitabu chenye vitabu sasa mtasemaje Qur'an imekopy biblia(kitabu chenye vitabu)?Biblia ni kitabu chenye vitabu , Sasa rudini mjibu hoja
Walikuwa na imani za kuabudu miungu mingi, walikuwa na miungu zaidi 300 na walitambua imani hizo kuwa ni za mababu zao huko.Sasa ndio uzitaje! Mbona una zunguka zunguka..stop meandering...go directly to the point.
Hizo imani ni zipi????
Unaweweseka umeshaelewa Rudi jibu hojaKumbe ni kitabu chenye vitabu sasa mtasemaje Qur'an imekopy biblia(kitabu chenye vitabu)?
Kati ya 300 Allah ndie alikuwa mkubwa , AkbarWalikuwa na imani za kuabudu miungu mingi, walikuwa na miungu zaidi 300 na walitambua imani hizo kuwa ni za mababu zao huko.
3.Quran haina mpangilio wa maana na wenye kueleweka unaoelezea matukio ya tawala za kidunia wakati Biblia ijayo.Mahakamani hoja zilizowasilishwa unazikumbuka lakini?
Moja ya hoja ni hizi;
1. Quran Kwa sehemu kubwa imejawa na hearsay kuliko Biblia
2. Quran imefanya Plagiarism na Forgery kutoka kwenye Biblia.
3. Quran haina mpangilio wa maana na wenye kueleweka unaoelezea matukio ya tawala za kidunia wakati Biblia ijayo.
4. Quran imeandikwa na Mtu mmoja ambaye anaelezea matukio ambayo hakuwepo na mazingira asiyoyajua.
Wakati Biblia inamaandiko yaliyoandikwa na manabii na mitume wengi katika matukio wanauoyajua na walioyashuhudia na Maeneo yalipotokea waliishi.
Kati ya hizo hoja kuna yoyote humu Kati yenu mawakili WA Quran mmepangua hoja hata Moja?
Nimeuliza biblia ni kitabu cha nani ukajibu ni kitabu chenye vitabu, sasa hapo imekuaje ikalinganishwa na Qur'an?Unaweweseka umeshaelewa Rudi jibu hoja
Rudi post number Moja jibu hoja , acha kuzunguka zungukaNimeuliza biblia ni kitabu cha nani ukajibu ni kitabu chenye vitabu, sasa hapo imekuaje ikalinganishwa na Qur'an?
Muhamad hana tofauti na akina Mwamposa, ni matapeli tu. Korani ni baadhi ya visa alivyookoteza huyo mtume kutoka kwenye biblia na kuandika kitabu chake fakeIfike wakati Tuwaambie tu Waislamu Ukweli... Tutadaiwa Roho zao huko mbele, Aliyeteremsha Quran ni SHETANI full stop,
huyo ndo adui wa Jibril. NO hadithi ni longo longo... labda kama wanampinga allahView attachment 2403211
Quran ina isupport biblia kwamba ni kitabu kitakatifu na kinaweza kumuongoza mtu mbinguni;Nimeuliza biblia ni kitabu cha nani ukajibu ni kitabu chenye vitabu, sasa hapo imekuaje ikalinganishwa na Qur'an?*
Hebu kwanza hakiki hivyo vifungu au weka hapa hayo maandiko tusome.Quran ina isupport biblia kwamba ni kitabu kitakatifu na kinaweza kumuongoza mtu mbinguni;
Na quran inazidi kutia moyo tuviamini vitabu hivyo torati na injili,
ona (al-baqara 2;136,al Imran3;84 an nisaa4;136 )Qurani inawaagiza waislamu kututafuta sisi wenye ujuzi wa torati na injili ikisema hivi,
Waulizeni wenye kumbukumbu (za vitabu vya mwenyezi Mungu vya kale )ikiwa ninyi hamjui (an nahil 16;43,al-Anbiyaa 21;7)
sasa hebu tujiulize Quran ingeelekeza hayo kama vitabu hivi vimepotoshwa?
kama haitoshi quran inatuomba sisi watu wa kitabu torati na injili kuvirudia vitabu vyetu soma( al-maida 5;47,68)
Kama vitabu hivi vimepotoshwa huoni kuwa quran inatupoteza zaidi kama inaagiza kuvirudia?
Hivyo Vitabu hivi havingeweza kupotoshwa kamwe baada ya kuandikwa quran,Kuna uthibitisho jinsi maandiko matakatifu ya siku zetu yanapolinganishwa na torati na injili zilizoandikwa karne nyingi kabla ya Quran zinaonyesha hakuna tofauti wala badiliko wala upotovu na kwabahati nzuri hati hizi za mkono zinapatikana katika maktaba za umma na majumba ya makumbusho,
Mtu yeyote anayeamini quran ni lazima akubali kwamba maandiko matakatifu hayajapotoshwa.
Baadhi ya watu wanaweza kuendelea kupinga wakidai kuwa quran inaonyesha upotovu huo yaani Tahrif kwa kiarabu lakini maulamaa au wasomi wa kiislamu wanasemaje kuhusu hilo?
Wanasema hivi upotovu uko wa aina mbili,
1. Kuingiza uongo katika maandiko na .
2. kupinda au kupotosha maana ya maandishi,
Maulamaa hawakubaliani na lile la kwanza ila hili la pili ambalo hata wanaharakati wa kiislamu wanalifanya sana na hukumu yao inawangoja,
katika kitabu kinachohusu imani ya Mungu mmoja ambacho ni sehemu ya Sahih, imamAl-bukhari anaeleza maana ya neno tahrif humaanisha ubadilishaji,
Hata hivyo hakuna awezaye kubadili herufi yoyote katika kitabu cha Mungu, Katika kitabu chake cha maelezo juu ya an-Nisaa4;46,Imam al-Fakhr Al-raz anasema hivi…. “
Maana ya upotovu Tahrif ni kuingiza shaka la kipuuzi na maelezo yenye makosa na kubadili neno liache maanayake ya kweli ili ilete maana isiyo na msingi kwa kutumia hadaa za kimaneno kama vile wazushi wanavyofanya sasa na zile aya zinazopingana na mafundisho ya madhehebu yao wenyewe hayo ndiyo maoni yaliyo hakika zaidi”
na hiki ndicho wanaharakati wa kiislamu wanavyoifanyia biblia hii ndiyo Tahrif hivyo hakuna abadilishaye maneno ya (waadi wa )Mwenyezi Mungu (Surat al anam 6;34),
Hivyo quran inathibitisha kuwa Torat na injili (Biblia) ni mwongozo na Nuru, upi ni muongozo wa Mungu wa kweli ni Biblia tu!,bila shaka;
Kumbuka hamjapangua hoja za post number 1 mpaka sasa , mnatafuta mengine ili mtokeHebu kwanza hakiki hivyo vifungu au weka hapa hayo maandiko tusome.
Sasa hiyo population ndio kuijua Israel?Hakuna Watu Wanaoijuza Isreael Vizur Kama Wanazuoni Wa Kiislamu,Na Hakuna Sehemu Israel Ilipoelezewa Vizur Kama Kwenye Qur'an,Haujasoma Qur'an Na Wala Haujui Chochote.Hivi Unajua Kuwa Hiyo Israel Waislamu Ni wengi Kuzidi Hata Wakristu.Waislamu wako 17.8% ya Population Ya Israel Wakati Wakristo Ni Asilimia 2.0%.Huku dini Inayoongoza Kwa Watu Wengi Israel Ni Dini Ya Kijewish.Na Moja ya Mji Maarafu Wa Israel Nazareth(Mji Aliokulia Yesu)Ukiwa Na Waislamu asilimia 69%.Je? Ulikuwa Ukiyajua Haya Kabla.Nan Anaijua Israel Vizur Kati ya Mimi Muislamu Na ww Mkristo(Kafiri)?