KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Wewe!Usijifanye umenisahau?Mungu wa Waislamu anaitwa Allah ndio Jina lake.
Allah ni mungu wa wapagani wa Waarabu kabla ya Muhamadi na watoto wake wakike watatu, Uzza, Lutta na Manata.
We unakuja kuongopea watu hapa.
Acha kujificha kwenye lugha ya Kiingereza.Wewe!Usijifanye umenisahau?
Mimi huwa simuachi mtu achezecheze na akili za mwanaume mimi.
Leta neno jingine lenye maana ya Mungu kwa lugha ya Kiingereza.
Na ukishindwa kuleta basi wewe jijue ni mjinga wa wajinga.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Majibu anayo Yesu.Hakufanyi mapepo kuwa ni wakristo
Muhammad kaweka wazi mapepo mpaka Lucifer ni waislamu, embu bisha
Leta neno jingine tofauti na God lenye maana ya Mungu kwa lugha ya Kiingereza.Acha kujificha kwenye lugha ya Kiingereza.
Mungu wa Waislamu anaitwa Allah ndio Jina lake halisi.
Yaani God wenu anaitwa Allah.
God wa Waislamu anaitwa AllahLeta neno jingine tofauti na God lenye maana ya Mungu kwa lugha ya Kiingereza.
Na ukishindwa kuleta basi wewe jijue ni mjinga wa wajinga.
Kesi naifunga baina yangu mimi na wewe Jinga la wajinga.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
UJIBIWE MARA 10000 , NDIYO MAFUNDISHO YA MSAGAJI HAYOSawa
Sasa Rudi kwenye mada jibu post number 1
Yesu Kristo aliye zaliwa katika Kijiji cha Nazaleti huko Israeli yuko hai hadi hii leo.UJIBIWE MARA 10000 , NDIYO MAFUNDISHO YA MSAGAJI HAYO
Walimu ndio hawa wanaotufahamisha biblia iliandikwa na nani na ina makosa yepi
Uchunguzi wa kushtusha wa Maaskofu wa Kianglikana LONDON:
Zaidi ya nusu ya Maaskofu Waingereza wa Kianglikana wanasema kuwa:
“Wakristo hawalazimiki kuamini kuwa Yesu Kristo ni Mungu, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa leo.
Kura za maoni za Maaskofu Waingereza 31, miongoni mwa Maaskofu 39, zinaonesha kuwa, wengi wao wanaona kuwa, Miujiza ya Kristo, kuzaliwa na bikira na kufufuka huenda hayo hayajatokea kama ilivyoelezwa katika Biblia.
Ni Maaskofu 11 tu, ndio waliosisitiza kuwa "Wakristo lazima wamchukulie Yesu Kristo kuwa ni Mungu mtu, huku 19 wakisema kuwa inatosha kumchukulia Yesu kama ni "Mwakilishi mkuu wa Mungu".
Na mmoja alijizuia kutoa maoni yake.
Hiyo kura ya maoni iliendeshwa na London Weekend Television's weekly religion show, Credo. "DAILY NEWS" 25/6/84
Swali bado lipoHayo maelezo nenda ukasome kwenye silabas ya chekechea ndiyo utayakuta hayo.Quran ni Chuo kikuu hakiwezi kurudia mambo ya shule za misingi huko.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Huyu mtume wao angekuwepo kwa nyakati hizi angefunguliwa kesi ya ubakaji na kisha kuchapwa viboko na kufungwaWatoto wa mama mdogo wanakera sana aisee tatizo la kumuabudu womanizer mtaalamu wa kuoa vitoto vya miaka 9 ndy hilo
Sijaona majibu , embu niambie post number ngapi ina majibu?Tatizo hausomi kwa kuelewa ndio maana hauoni majibu.
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili
Mpaka hapo kesi imefungwa.
Hatakuwa ni hakimu popoma tu atakaye endelea na kesi.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili
Mpaka hapo kesi imefungwa.
Hatakuwa ni hakimu popoma tu atakaye endelea na kesi.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Umewahi kuisoma Quran ukailewa? Kama hujaelewa ukipata nafasi tafuta kitabu
The Qur'an and Modern Science
Book by Maurice Bucaille utapata uelewa walau kidogo then urudi uje uandike makala yako tena.
Kwanini mapepo hayatoki kwa jina "Mungu" ila yatoke kwa jina la Yesu au Jesus?Hivi jina la muhamed unaweza kulitumia kutoa mapepo kama jina la Yesu christo?
Alafu unamuaminije mtu aliyekufa kama babu yako ameshindwa kufufuka,ata kusaidiaje sasa wewe mfuasi wake?
Ukisema haujajibiwa hata hoja moja si kweli, nimekujibu kuwa Muhammad haijakopy biblia bali Qur'an ni maneno ya kutoka kwa Mungu(Allah) kupitia kwa Muhammad hivyo si maneno ya Muhammad hivyo huwezi kusema Qur'an imeiba visa vya kwenye Biblia lakini pia Allah kwenye Qur'an amevitaja vitabu vya Torat,Zaburi na Injili kuwa ni vitabu vyake.Quran nimeisoma ndio maana nikaandika hoja hizi.
Sio ajabu mpaka sasa hakuna aliyeweza kupangua hoja hata Moja.
Kama ningekuwa sijaisoma hiyo Quran nisingeweza kujenga hoja hizo hapo juu kwenye post no 1.
Allah = Kiarabu
God = Kiingereza
Elah = Aramic
El Elohim=Hebrew
YHVH ( י הו). = Jews
Ellil-Enlil = Sumerian
Mungu = Kiswahili
Mpaka hapo kesi imefungwa.
Hatakuwa ni hakimu popoma tu atakaye endelea na kesi.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ukisema haujajibiwa hata hoja moja si kweli, nimekujibu kuwa Muhammad haijakopy biblia bali Qur'an ni maneno ya kutoka kwa Mungu(Allah) kupitia kwa Muhammad hivyo si maneno ya Muhammad hivyo huwezi kusema Qur'an imeiba visa vya kwenye Biblia lakini pia Allah kwenye Qur'an amevitaja vitabu vya Torat,Zaburi na Injili kuwa ni vitabu vyake.
Ni katika majibu niliyokujibu sasa ukisema hujajibiwa sijui unakuwa na maana gani?
Kwa mujibu wa biblia ni kwamba Mungu alikuwa akijitambulisha kwa majina tofauti tofauti, hilo jina Yehova kajitambulisha nalo kipindi cha Musa hivyo hakujitambulisha nalo kabla ya Musa.Waarabu walikuwa na miungu mingi huyo Allah ni moja ya miungu waliyokuwa wanaiabudu. Huwezi sema walikuwa wanaabudu Allah wengi. Niambie Kwa Neno mungu Kwa kiarabu linamaanisha nini maana ninaweza kukutajia Majina ya miungu ya kiarabu hata Mia moja.
Hata soma jina la mungu kulingana na Biblia;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Mungu WA waingereza haitwa God,
Alafu hii hoja tumejadili huko juu. Ungepitia hoja za juu kabla haujakurupuka.
Kwa mujibu wa biblia ni kwamba Mungu alikuwa akijitambulisha kwa majina tofauti tofauti, hilo jina Yehova kajitambulisha nalo kipindi cha Musa hivyo hakujitambulisha nalo kabla ya Musa.
Kwa hiyo kumbuka hilo unaposema Mungu wa biblia ni Yehova.