Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

QURAN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU USHAHIDI HUU HAPA

MAANA YA NENO QUR'AN TUNALIPATA HAPA CHINI

QUR'AN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU YENYE KUKARIRIWA NA MTU YEYOTE:

Qur'an 43:2 Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha

Ufafanuzi wake

Kiarabu kilichotumiwa ni Qur'ani ambayo inamaana ya mashairi ya Kiarabu yenye maana ya kusomwa kwa kukaririwa kirahisi*

القرآن 43: 2 أقسم بالكتاب الذي يوضح
تعريفه
اللغة العربية المستعملة هي المصحف الذي يعني الشعر العربي الذي يعني التلاوة بالتلاوة:

View attachment 2403241
SIKUELEWI UMEANDIKA NINI HAPA...
 
😂😂😂Defensive mechanism cha kwanza we hujui chochote upo tu..ukienda kweny forex utakuta kitabu kinaitwa candle bible...turejee kweny maana ya biblia na je biblia ilishushwa au aliandika na Paulo na watu wa Italy.

Bible ni mkusanyiko means vitabu vilikusanywa na sio sehemu ya kitabu cha mungu ila walikusanya vitabu kwa kubadilisha kwa maana iyo hata mimi naweza kukusanya vitabu vya chemistry ,physics na biology kikawa kitabu kimoja nikaita "science bible

Hatubishani wala hatueleti maongezi mengi maana Aya za qur an huzitaki basi tutumie common sense na upeo wa akili.

Mimi nakuambia bible sio kitabu cha mungu kwa asilimia 100 kabisa ..

Ntakuonyesha series ya vitabu kama vitabu kama torat ,zabur ,injili na qur an .hivyo ni vitabu vya mwenyewe mungu.

Ndo maana qur an imekuja kusadifu yaliyopita ..je izo habari za huko nyuma walijuaje kupitia bible kama mtoa mada anavyosema kwamba walikuwepo wakati yanatendeka 😂😂😂hao mitume zama zao zilipita kwa kipind fulani ambacho ni ngumu kwa mtu kuona mitume yote katika zama zote tangu Adam.

Vitabu vimeshushwa kuleta muendeleo ndo maana Kuna mitume mingi walishushwa kutokana na zama ...

Ntakupa baadhi ya hints biblia imeandikwa kupotosha sio kitabu cha mungu ..ndani ya biblia hakuna neno ukristo ni dini, hakuna sehemu kwamba yesu ni mungu ,Kuna sehemu mungu kaitwa mpumbavu
Kwenye kushushwa hapo mi ndo huwa mnanikata stim aisee.

Kushushwa aje yani, kwamba Mungu alikua anampa story za watu wa kale ambao sio jamii yake.

Kikubwa kila mtu afe na chake, tukutane tukiwa na miili mipya.
 
Huyu jamaa kalewa kanywa mbege eti biblia aliona wapi kwenu vitabu vya mungu Kuna biblia😂😂😂

Hapa hatujadili kama Quran au biblia kipi ni kitabu cha Mungu, hilo ni subjective huwezi kuprove au kidisprove ni jambo la kiimani..na huenda hata vyote visiwe vitabu vya Mungu.

ishu hapa ni je Quran au biblia ipi inaaminika kihistoria? ili uiamini Quran inabidi kwanza umuamini Muhamad (maana kila kitu kilitoka kwa Muhamad akisema kimetoka kwa jibril anayesema kinatoka kwa Allah)

Ukishamuamini Muhamad inakubidi sasa ndio uamini kila kitu kwenye Quran blindly maana ni masimulizi ambayo hata Muhamad msimuliaji hakuwepo.

Biblia ni masimulizi ya wahusika waliokuwepo kwenye tukio au hata kama hawakuwepo basi waliishi zama za hayo matukio..sio mtu anakusimulia habari za yesu miaka 600 imeshapita.

Paulo ana credibility kuliko Muhamad kwasababu

1. ameishi zama hizo hizo za yesu(sio miaka 5 baadae).
2. Amekutana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu kina petro na wengine

Paulo ni mfano mmoja ila ni karibia vitabu vyote iko hivyo.
 
mtoa mada kama una lingine linakutatiza usisite kuliongezea tupo apa kukuhudumia nakupa Quiz kaa chini tuletee makosa ndani ya Qurani kama utayapata mitaomba unibatize niwe mkristo.
Makosa unataka makosa ya aje?
Kiuandishi, kihistoria, kisayansi, au kivipi?
 
Hapa hatujadili kama Quran au biblia kipi ni kitabu cha Mungu, hilo ni subjective huwezi kuprove au kidisprove ni jambo la kiimani..na huenda hata vyote visiwe vitabu vya Mungu.
ishu hapa ni je Quran au biblia ipi inaaminika kihistoria?
ili uiamini Quran inabidi kwanza umuamini Muhamad (maana kila kitu kilitoka kwa Muhamad akisema kimetoka kwa jibril anayesema kinatoka kwa Allah)
Ukishamuamini Muhamad inakubidi sasa ndio uamini kila kitu kwenye Quran blindly maana ni masimulizi ambayo hata Muhamad msimuliaji hakuwepo.

Biblia ni masimulizi ya wahusika waliokuwepo kwenye tukio au hata kama hawakuwepo basi waliishi zama za hayo matukio..sio mtu anakusimulia habari za yesu miaka 600 imeshapita.
Paulo ana credibility kuliko Muhamad kwasababu
1.ameishi zama hizo hizo za yesu(sio miaka 5 baadae).
2.Amekutana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu kina petro na wengine
Paulo ni mfano mmoja ila ni karibia vitabu vyote iko hivyo.

😂😂😂😂Kwamba Paulo ni mtume, Muhammad ni mtume 😂😂😂inakujaje unamfananisha Paulo na Muhammad sema kama humjui.

Muhammad ni mtume wa mwenyewe mungu ndo maisha halisi sasa tunayosoma.

Paulo ni trash huwezi mfananisha na Muhammad kuwa na akili timamu.

Muhammad ni mtume je Paulo ni mtume? Maana nyie hata mbeya hapa mna mtume sijui mwamposa
 
Kwenye kushushwa hapo mi ndo huwa mnanikata stim aisee.

Kushushwa aje yani, kwamba Mungu alikua anampa story za watu wa kale ambao sio jamii yake.

Kikubwa kila mtu afe na chake, tukutane tukiwa na miili mipya.

😂😂😂😂Tunapeana elimu tu baadhi ya Aya zimekuja kutokana na matukio husika ili kutoa fatwaah kama utatuzi palipokuwa na mushkeri, ntakuambia mpaka leo kama unafuatilia biblia inafanyiwa marekebisho kwamba haijakamili ila qur an is a complete code of life na imeendana na matakwa ya binadamu almost ni Kama katiba.

biblia Ina weakness coz Kuna mkono wa paulo na sio kitabu cha mwenyewe ni masimulizi yaliandikwa kwa kupunguza na kuongeza mambo baadhi ya vitabu vya nyuma..

Qur an imekuja kusadifu yaliyopita yaani kukubaliana na kuyatukuza ..biblia imepunguza na kuongeza vitu vipya kwamba hakiwezi kuwa kitabu ni sawa na Lambert tu maana hata yeye anafanya citation kutokana vitabu MBALIMBALI .
 
We jamaa nilikuwa nakuelewa sana uandishi wako nikajua unaakili kumbe na we ni walewale tu... Achana na mambo ya dini ulikua unaenda vizuri ayo mambo ya bible na quran yameanza kujadiliwa miaka mingi huwezi kubadili chochote
Tokea thread ni za hovyo sana tokea kitambo huyo jinga
 
😂😂😂😂Kwamba Paulo ni mtume ..Muhammad ni mtume 😂😂😂inakujaje unamfananisha Paulo na Muhammad sema kama humjui .. Muhammad ni mtume wa mwenyewe mungu ndo maisha halisi sasa tunayosoma ...Paulo ni trash huwezi mfananisha na Muhammad kuwa na akili timamu..Muhammad ni mtume je Paulo ni mtume? Maana nyie hata mbeya hapa mna mtume sijui mwamposa
😂😂😂Mitume mingine ipo huku Namanyere inalima viazi..... Robert ameandika uharo leo eti Quran kitabu Cha Hearsay wakati mwenyewe ameandika Hearsay...😂😂
 
😂😂😂Mitume mingine ipo huku Namanyere inalima viazi..... Robert ameandika uharo leo eti Quran kitabu Cha Hearsay wakati mwenyewe ameandika Hearsay...😂😂
😂😂😂Kuna mmoja anatangazwa kule Facebook anaitwa mtume Tesha wa huko Kilimanjaro 😂😂😂😂watu Wana utani sana hii dunia.
 
Back
Top Bottom