Tayari sindano imeanza kuwaingiaHata wewe umeandika hearsay, hukuwepo wakati huo wa Muhammad wala wakati wa Yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari sindano imeanza kuwaingiaHata wewe umeandika hearsay, hukuwepo wakati huo wa Muhammad wala wakati wa Yesu.
Amesilimu kama wiki sasa,Sikufahamu kama amesilimu...
MOLA MLEZI AMUONGOZE YEYE PAMOJA NA SISI
Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.Kubishana na hao wanaovaa pedo ni kipaji mnoo,wanaelewa ila wameamua tu kubisha
Hata bibilia kina kona kona nyingi ambazo leo hii wajanja hutumia kuwatepelia wajinga.Una hoja tena nzito
Halafu Biblia ni kitabu chenye historia hata ya Ulimwengu wote
Mtu Kama Sir Isack Newton alichambua kitabu Cha Daniel vizuri Sana
Kupitia Biblia unakutana na Unabii wa Tawala za Alexander mkuu, vitu Kama hivi huwezi kukuta kwenye Quran
Kitu kingine ambacho nakipenda kwenye Biblia ,mfano kitabu Cha ufunuo kimetabiri kabisa Super power atakuwa U.S.A,
Miaka ya 80-90 ,watu walikuwa hawaamini Biblia inapotabiri mnyama wa 2 ambaye Ni U.S.A kuwa atakuwa Super power ,wakiangalia USOVIET USSR ilivyokuwa na nguvu .
Lakini Leo Nani atabisha U.S.A Sio Super power?
USSR ilisambaratishwa
Biblia ni kitabu kitamu Sana , Nimesoma Quran Sana tu ni kitabu hakieleweki, kinajichanganya, hakina Tumain lolote kwa mwanadamu
Nina shuhuda Zaidi ya 10000 za Biblia Ni kitabu Cha Mungu wakweli.
Aisee iacheni Biblia tu, Ni vile matapeli Kama mwamposa ,n.k wanaitumia vibaya kutapelia,
Lakini Biblia ina maajabu mengi sana
Nadhani nilichokiuliza haujaelewa. Biblia zipo nyingi. Kama wakatoliki wana vitabu 73, waorthodox wana vitabu takribani 80, protestant vitabu 66.Biblia haijaandikwa na mtu mmoja ama jamii moja.. ni collection of books kutoka kwa watu tofauti tofauti.
Biblia imeunganishwa vitabu vya waandishi wengi kwa zaidi ya miaka 1600
Humu hakuna Muislamu, au Mkristo anaefuata imani yake.Mtu Muislam anakurupuka kumtusi Yesu au Nabii Issah au mtu Mkristu anasimama kumtusi Mtume Muhammad (S.A.W).
Very Sad.
Nyie endeleeni na dini zenu jamani nawatakia kila la kheri.Demi Karibu ktk uislamu utanishukuru baadae ...Tunajua Robert analipa kisasi kisa Genta Jana kausema ukweli kuwa lazima aoe mrembo wa kiislamu na ikiwezekana atasilimu..
😂😂😂😂Kwamba Paulo ni mtume ..Muhammad ni mtume 😂😂😂inakujaje unamfananisha Paulo na Muhammad sema kama humjui .. Muhammad ni mtume wa mwenyewe mungu ndo maisha halisi sasa tunayosoma ...Paulo ni trash huwezi mfananisha na Muhammad kuwa na akili timamu..Muhammad ni mtume je Paulo ni mtume? Maana nyie hata mbeya hapa mna mtume sijui mwamposa
Na ukiwaambia habari za ndevu Sasa wanatukana, halafu mtazame Yesu wao wa mchongo unaweza kuzimia, Yesu anamidevu kupita yangu.Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.
Yesu Alivaa Hivyo mnavyoviita Vipedo na Makubadhi.
So mnapodhihaki watu kuvaa hivyo vipendo mnamdhihaki na Yesu. Kesho Yesu akirudi na Vazi lake la kanzu fupi na sandals mtamkataa?
View attachment 2403327
Duh maneno buku hoja sifuriROBERT HERIEL kwanza mzee kama ungemjua mtume muhammad swalahu llahu alaih wasalam wala usingeandika upuuzi huu,Tatizo lenu nyie mshalishwa matango pori kuwa mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam alioa mtoto mdogo na uislamu ni kufuga majini, na ugaidi
Ndio maana kila kitu cha uislamu mnakiona hakipo sawa, yan Akili zenu hazitaki kufunguka kabisa,kama mmelishwa limbwata na wazungu ,ili msijue ukweli wa mambo yanavyoenda kuhusu dunia na maisha ya kesho akhera,
Nakupa homework soma historia ya mtume muhammad swalahullah alaih wasalamu kwa nia ya kumjua sio kwa nia ya kukosoa alichokua akifanya alafu utapima ulichokigundua na ulichokaririshwa kanisan na kwenye vijiwe vya injili,
Muhammad ni moja kati ya kiumbe bora kuwai kuumbwa duniani na ni mtume ambae alishasamehewa dhambi zake zilizopita na zitakazo kuja wakati yupo duniani anatembea,
Tatizo hawa vijana waangalia porno wakishajua viingireza tuvineno viwili wanaanza kuchambua dini wakati hawana wanachojua
Hadi mla nguruwe mwenzako michael h.hart anamjua mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam ni nani alafu ww kajamba nani unaleta ushenzi
Kwanini Quran sio kitabu cha Hearsay?😂😂😂Mitume mingine ipo huku Namanyere inalima viazi..... Robert ameandika uharo leo eti Quran kitabu Cha Hearsay wakati mwenyewe ameandika Hearsay...😂😂
Angalia hili ngirimaji hata lugha tu linashindwa kuelewa... sasa hapo unashindwa kuelewa kwamba hiyo "huyo" inamrejea huyohuyo Jibril? Ndo utaelewa mambo mazito kwa spidi hiyo ya uelewa!!!?Ifike wakati Tuwaambie tu Waislamu Ukweli... Tutadaiwa Roho zao huko mbele, Aliyeteremsha Quran ni SHETANI full stop,
huyo ndo adui wa Jibril. NO hadithi ni longo longo... labda kama wanampinga allahView attachment 2403211
Mjibu mtoa mada hapo sio Mimi....mleta Uzi anasema Quran ina Hearsay kuliko BibliaKwanini Quran sio kitabu cha Hearsay?
Kwani Muhamad alikuwepo kipindi cha Yesu?
Mbona anaongelea habari za Yesu?
Yuko sahihiM
Mjibu mtoa mada hapo sio Mimi....mleta Uzi anasema Quran ina Hearsay kuliko Biblia
Sijaongelea maswala ya utume...hayo ni mambo ya kiimani zaidi. Wewe unamwamini Muhamad mimi namwamini Ghandi hilo ni swala la kiimani sio facts...Wewe hata uamini usiamini hiyo sio mada hapa..
Hapa tunajadili historia, ni yupi more credible kihistoria kuhusu maisha ya yesu kati ya paulo na Muhamad...
Yani assume wewe huna dini halafu uwe mahakamani ukutane na ushahidi unaopingana kuhusu maisha ya yesu, mmoja ni kutoka kwa Quran iliyoandikwa na muhamad miaka 600 baada ya yesu aliyeishi nchi tofauti na yesu na mwingine ni ushahidi kutoka Paulo aliyeishi kipindi cha yesu maeneo yaleyale aliyoishi yesu na alijuana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu. Wewe kama hakimu utaamini ushahidi upi?
Sijaona pedo hapo. Na hilo ni vazi la watu wa huko enzi hizo. Sio vazi la kiimani.Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.
Yesu Alivaa Hivyo mnavyoviita Vipedo na Makubadhi.
So mnapodhihaki watu kuvaa hivyo vipendo mnamdhihaki na Yesu. Kesho Yesu akirudi na Vazi lake la kanzu fupi na sandals mtamkataa?
View attachment 2403327