Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kubishana na hao wanaovaa pedo ni kipaji mnoo,wanaelewa ila wameamua tu kubisha
Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.

Yesu Alivaa Hivyo mnavyoviita Vipedo na Makubadhi.

So mnapodhihaki watu kuvaa hivyo vipendo mnamdhihaki na Yesu. Kesho Yesu akirudi na Vazi lake la kanzu fupi na sandals mtamkataa?

main-qimg-40522d4bc33562d29e54d588f767f8a9-lq.jpg
 
Naona mtoa kakimbia uzi wake

Hakuna atakaejaribu kuukashifu Uislamu akabaki Salama narudia tena hakuna
Leo hii nimeona comments nyingi wakimshusha hadhi huyu mwandishi

Jitafakari vizuri kijana Uislamu upo na utaendelea kuwepo

Am proud to be A Muslim
 
Una hoja tena nzito

Halafu Biblia ni kitabu chenye historia hata ya Ulimwengu wote

Mtu Kama Sir Isack Newton alichambua kitabu Cha Daniel vizuri Sana

Kupitia Biblia unakutana na Unabii wa Tawala za Alexander mkuu, vitu Kama hivi huwezi kukuta kwenye Quran

Kitu kingine ambacho nakipenda kwenye Biblia ,mfano kitabu Cha ufunuo kimetabiri kabisa Super power atakuwa U.S.A,

Miaka ya 80-90 ,watu walikuwa hawaamini Biblia inapotabiri mnyama wa 2 ambaye Ni U.S.A kuwa atakuwa Super power ,wakiangalia USOVIET USSR ilivyokuwa na nguvu .

Lakini Leo Nani atabisha U.S.A Sio Super power?

USSR ilisambaratishwa

Biblia ni kitabu kitamu Sana , Nimesoma Quran Sana tu ni kitabu hakieleweki, kinajichanganya, hakina Tumain lolote kwa mwanadamu

Nina shuhuda Zaidi ya 10000 za Biblia Ni kitabu Cha Mungu wakweli.

Aisee iacheni Biblia tu, Ni vile matapeli Kama mwamposa ,n.k wanaitumia vibaya kutapelia,

Lakini Biblia ina maajabu mengi sana
Hata bibilia kina kona kona nyingi ambazo leo hii wajanja hutumia kuwatepelia wajinga.
Mama yake yesu eti hakupigwa miti, mimba ilijijaza yenyewe tu, we unaweza kuamini upumbavu huu, na ukadhinitisha hapa bila kutumia hiki kitabu cha kitapeli.

Eti yesu ana kabuli, wakita yesu, hakuzikwa bali, alitupwa kwenye Pango, ili asinuke pale walipomuulia.

Eti yesu anaupendeleo kuna wengine wanatimiza yote ya kimungu, ila utasikia eti, wanaojiita wachungaji ndiye hutokewa na yesu pekee, ila muumini mwingine, hata uhamie kanisani wewe ni wakutolewa mapepo tu, ila pepo hampandi mchungaji, na wala yesu hamtokei asiye mchungaji, ni utapeli tupu.

Wanadai yesu yuko hai ndiyo mlinzi wao, ila shida zote za dunia, ambazo wengine wanazipitia, na wao wanaziishi wala yesu hawasaidii, Utapeli tupu, matapeli wote elimu ya utapeli wameitoa kwa yesu.

Bibilia ni kitabu cha konakona, ukiuliza hivi, wanapiga kona bibilia ukisoma kama gazeti hutoielwa. Mfano: kuna aya, yesu anasema sikuja kuleta amani Duniani bali upanga, ukiuliza unapigwa bonge la kona na matapeli.
 
Biblia haijaandikwa na mtu mmoja ama jamii moja.. ni collection of books kutoka kwa watu tofauti tofauti.

Biblia imeunganishwa vitabu vya waandishi wengi kwa zaidi ya miaka 1600
Nadhani nilichokiuliza haujaelewa. Biblia zipo nyingi. Kama wakatoliki wana vitabu 73, waorthodox wana vitabu takribani 80, protestant vitabu 66.

Ukisema mchanganyiko wa vitabu naweza kuongeza quotes za James Hadley Chase tukaita biblia kutokana na kuchomeka aya na kubadilisha ovyo.

Angalia utofauti wa King James Version na New International Version.

download (5).jpeg

Biblia yako ya kiswahili ya karibuni wanatumia NIV na nakupa taarifa wametoa New Revised Standard Version 2021 ambayo tofauti na New International Version.

Ikipigwa tafsiri nyingine tunazidi kuchomeka maana zao na kupunguza baadhi.
download (5).jpeg
 
Mtu Muislam anakurupuka kumtusi Yesu au Nabii Issah au mtu Mkristu anasimama kumtusi Mtume Muhammad (S.A.W).

Very Sad.
Humu hakuna Muislamu, au Mkristo anaefuata imani yake.

Alafu ujue, Ukitaka wazazi wako waheshimiwe, heshimu wazazi wa wenzako kwanza.
 
Demi Karibu ktk uislamu utanishukuru baadae ...Tunajua Robert analipa kisasi kisa Genta Jana kausema ukweli kuwa lazima aoe mrembo wa kiislamu na ikiwezekana atasilimu..
Nyie endeleeni na dini zenu jamani nawatakia kila la kheri.

Hakuna ninayoielewa hata moja ingawa nimezaliwa mkristu.
Nimeamua kutokuamini chochote, iwe hivyo.
 
ROBERT HERIEL kwanza mzee kama ungemjua mtume muhammad swalahu llahu alaih wasalam wala usingeandika upuuzi huu,Tatizo lenu nyie mshalishwa matango pori kuwa mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam alioa mtoto mdogo na uislamu ni kufuga majini, na ugaidi

Ndio maana kila kitu cha uislamu mnakiona hakipo sawa, yan Akili zenu hazitaki kufunguka kabisa,kama mmelishwa limbwata na wazungu ,ili msijue ukweli wa mambo yanavyoenda kuhusu dunia na maisha ya kesho akhera,

Nakupa homework soma historia ya mtume muhammad swalahullah alaih wasalamu kwa nia ya kumjua sio kwa nia ya kukosoa alichokua akifanya alafu utapima ulichokigundua na ulichokaririshwa kanisan na kwenye vijiwe vya injili,

Muhammad ni moja kati ya kiumbe bora kuwai kuumbwa duniani na ni mtume ambae alishasamehewa dhambi zake zilizopita na zitakazo kuja wakati yupo duniani anatembea,

Tatizo hawa vijana waangalia porno wakishajua viingireza tuvineno viwili wanaanza kuchambua dini wakati hawana wanachojua

Hadi mla nguruwe mwenzako michael h.hart anamjua mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam ni nani alafu ww kajamba nani unaleta ushenzi
 
😂😂😂😂Kwamba Paulo ni mtume ..Muhammad ni mtume 😂😂😂inakujaje unamfananisha Paulo na Muhammad sema kama humjui .. Muhammad ni mtume wa mwenyewe mungu ndo maisha halisi sasa tunayosoma ...Paulo ni trash huwezi mfananisha na Muhammad kuwa na akili timamu..Muhammad ni mtume je Paulo ni mtume? Maana nyie hata mbeya hapa mna mtume sijui mwamposa

Sijaongelea maswala ya utume...hayo ni mambo ya kiimani zaidi. Wewe unamwamini Muhamad mimi namwamini Ghandi hilo ni swala la kiimani sio facts. Wewe hata uamini usiamini hiyo sio mada hapa.

Hapa tunajadili historia, ni yupi more credible kihistoria kuhusu maisha ya yesu kati ya paulo na Muhamad.

Yani assume wewe huna dini halafu uwe mahakamani ukutane na ushahidi unaopingana kuhusu maisha ya yesu, mmoja ni kutoka kwa Quran iliyoandikwa na muhamad miaka 600 baada ya yesu aliyeishi nchi tofauti na yesu na mwingine ni ushahidi kutoka Paulo aliyeishi kipindi cha yesu maeneo yaleyale aliyoishi yesu na alijuana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu.

Wewe kama hakimu utaamini ushahidi upi?
 
Kaka kaa kimya hili heshima yako ibaki

Hao akina mathayo cjui marko wa kwenye biblia co wale wanafunzi wa yesu ujue hao wengine kabsa
 
Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.

Yesu Alivaa Hivyo mnavyoviita Vipedo na Makubadhi.

So mnapodhihaki watu kuvaa hivyo vipendo mnamdhihaki na Yesu. Kesho Yesu akirudi na Vazi lake la kanzu fupi na sandals mtamkataa?

View attachment 2403327
Na ukiwaambia habari za ndevu Sasa wanatukana, halafu mtazame Yesu wao wa mchongo unaweza kuzimia, Yesu anamidevu kupita yangu.

Ukweli usemwe hakuna mkristo anayefuata Bible hataa. kila mtu anajifanyia yake, uislamu una principles kamili hatuna mambo ya kuigiza.

Kama Mitume hii inayofungua mabar hapa kwangu😂😂
 
ROBERT HERIEL kwanza mzee kama ungemjua mtume muhammad swalahu llahu alaih wasalam wala usingeandika upuuzi huu,Tatizo lenu nyie mshalishwa matango pori kuwa mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam alioa mtoto mdogo na uislamu ni kufuga majini, na ugaidi

Ndio maana kila kitu cha uislamu mnakiona hakipo sawa, yan Akili zenu hazitaki kufunguka kabisa,kama mmelishwa limbwata na wazungu ,ili msijue ukweli wa mambo yanavyoenda kuhusu dunia na maisha ya kesho akhera,

Nakupa homework soma historia ya mtume muhammad swalahullah alaih wasalamu kwa nia ya kumjua sio kwa nia ya kukosoa alichokua akifanya alafu utapima ulichokigundua na ulichokaririshwa kanisan na kwenye vijiwe vya injili,

Muhammad ni moja kati ya kiumbe bora kuwai kuumbwa duniani na ni mtume ambae alishasamehewa dhambi zake zilizopita na zitakazo kuja wakati yupo duniani anatembea,

Tatizo hawa vijana waangalia porno wakishajua viingireza tuvineno viwili wanaanza kuchambua dini wakati hawana wanachojua

Hadi mla nguruwe mwenzako michael h.hart anamjua mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam ni nani alafu ww kajamba nani unaleta ushenzi
Duh maneno buku hoja sifuri
 
😂😂😂Mitume mingine ipo huku Namanyere inalima viazi..... Robert ameandika uharo leo eti Quran kitabu Cha Hearsay wakati mwenyewe ameandika Hearsay...😂😂
Kwanini Quran sio kitabu cha Hearsay?
Kwani Muhamad alikuwepo kipindi cha Yesu?
Mbona anaongelea habari za Yesu?
 
Ifike wakati Tuwaambie tu Waislamu Ukweli... Tutadaiwa Roho zao huko mbele, Aliyeteremsha Quran ni SHETANI full stop,

huyo ndo adui wa Jibril. NO hadithi ni longo longo... labda kama wanampinga allahView attachment 2403211
Angalia hili ngirimaji hata lugha tu linashindwa kuelewa... sasa hapo unashindwa kuelewa kwamba hiyo "huyo" inamrejea huyohuyo Jibril? Ndo utaelewa mambo mazito kwa spidi hiyo ya uelewa!!!?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
M
Kwanini Quran sio kitabu cha Hearsay?
Kwani Muhamad alikuwepo kipindi cha Yesu?
Mbona anaongelea habari za Yesu?
Mjibu mtoa mada hapo sio Mimi....mleta Uzi anasema Quran ina Hearsay kuliko Biblia
 
Sijaongelea maswala ya utume...hayo ni mambo ya kiimani zaidi. Wewe unamwamini Muhamad mimi namwamini Ghandi hilo ni swala la kiimani sio facts...Wewe hata uamini usiamini hiyo sio mada hapa..

Hapa tunajadili historia, ni yupi more credible kihistoria kuhusu maisha ya yesu kati ya paulo na Muhamad...
Yani assume wewe huna dini halafu uwe mahakamani ukutane na ushahidi unaopingana kuhusu maisha ya yesu, mmoja ni kutoka kwa Quran iliyoandikwa na muhamad miaka 600 baada ya yesu aliyeishi nchi tofauti na yesu na mwingine ni ushahidi kutoka Paulo aliyeishi kipindi cha yesu maeneo yaleyale aliyoishi yesu na alijuana na watu waliokuwa wanafunzi wa Yesu. Wewe kama hakimu utaamini ushahidi upi?

Yesu kaishi nchi ngapi? Paulo alikuwepo kipindi cha nabii mussa, nabii Adam alikuwepo? 😂😂😂 hakuna uhalisia yote ni masimulizi ya zama za nyuma ...mtoa ana mislead kwa point hazina mashiko .

Mfano hata wewe inakuingia akili kwamba yesu aliishi vipindi kibao na huyo Paulo ni kwamba bila kwenda kweny maandiko haingii akili.. zile ni za kama ummah zinapotea zinakuja nyingine ndo maana kila zama zilikuwa na kitabu chake na mtume walikuwa na kipind cha miaka walioishi zaidi ya miaka elfu na kitu ...sasa utasemaje ufananisha bible na qur an ni vitu viwili tofauti qur an inasadifu yaliyopita 😂😂😂😂bible imetiwa mikono kwa kutunga na haipo kweny vitabu vya mungu inaweza kubadilishwa haya kesho ukasimia mapandre waoe
 
Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.

Yesu Alivaa Hivyo mnavyoviita Vipedo na Makubadhi.

So mnapodhihaki watu kuvaa hivyo vipendo mnamdhihaki na Yesu. Kesho Yesu akirudi na Vazi lake la kanzu fupi na sandals mtamkataa?

View attachment 2403327
Sijaona pedo hapo. Na hilo ni vazi la watu wa huko enzi hizo. Sio vazi la kiimani.
Halafu huyo sio yesu.
 
Back
Top Bottom