Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kijana hapa hakuna Chain aliyo andika kijana. Labda kama hamjui maana ya Chain, Chain lazima iungane, chain yenu imekatika. Yesu hawezi kuwa mwana wa Daudi na kadhalika Yesu hawezi kuwa mtoto Yusu ambaye ni mtoto wa Yakobo.

Mnachekesha sana Wakristo. Hili najua hamliwezi.
Wapi tumesema YESU ni mtoto WA yakobo wewe jamaa umechanganyikiwa
 
Ila kiulweli tusimlaumu Sana Muhammad yeye alitaka kuanzisha dini yake aka copy mpaka embryology za wakati huo kapachika Leo ilmu imekuwa juu anaonekana kituko
Angetoa acknowledgement alipo chukua maandiko yeye
Alifanya Plagiarism
 
Hapa pia Kuna Boko Moja la Hatari. Yakobo yupo hata Musa alikuwa si mwenye kutajwa, halafu unasema Yakobo akamzaa Yusufu, Yusufu alikuwa mumewe Mariamu aliye mzaa Yesu. Wakristo mkiitwa wajinga mkasirike.

Nataka Chain ambayo haijakatika popote na iwe na uhalisia.
Uliombwa ulete chain ya muhammad mpaka Kwa Ibrahim, embu tupe verses tukasome
 
Kila siku nawaambia laiti kama mngekuwa mnahakiki maandiko yenu. Asingesalia Mkristo hata mmoja.
“Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9.

“Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi; nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yango.” Isa. 46:9,10.

Utabiri wa Biblia juu ya mambo ambayo yangetokea baadaye, unathibitisha uvuvio wa Biblia, mambo hayo yanapotokea.

Angalia mifano ifuatayo:

A. Kuinuka na kuanguka kwa falme nne zilizotawala dunia:
Babeli, Umedi na Uajemi, Uyunani na Rumi. (Danieli 2,7,8.)

B. Koreshi kuwa Mpiganaji ambaye angeiteka Babeli. “Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi (mtiwa mafuta) wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa. Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata kata mapingo ya chuma; nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofchwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.” Isa. 45:1-3.

C. Baada ya kuangamizwa, Babeli isingekaliwa tena. “Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza.” “Haya! juu ya mlima usio na miti inueni bendera, wapazieni sauti zenu, wapungieni mkono, kwamba waingie katika malango ya wakuu.” (Isa. 13:19,2). “Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.” Yer. 51:37.

D. Misri kutokuwa na amri tena kati ya Mataifa. “Nami nitawarejeza Wamisri walio katika hali ya kufungwa, nami nitawarudisha hata nchi ya Pathrosi, hata nchi ya kuzaliwa kwao; na huko watakuwa ufalme duni. Utakuwa duni kuliko falme zote, wala hautajifunua tena juu ya Mataifa; nami nitawapunguza, ili wasitawale tena juu ya Mataifa.” Eze. 29:14,15. “Nami nitaikausha mito, na kuiuza nchi, na kuitia katika mikono ya watu wabaya; nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa, na watu wote walio ndani yake, kwa mkono wa wageni; mimi, BWANA, nimenena neno hili.” Eze. 30:12,13.

E. Majanga ya kushtua dunia na hofu kadiri tunavyoelekea siku za mwisho. “Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya Mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.” Lk. 21:25,26.

F. Kuporomoka kwa maadili katika siku za mwisho. “Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako na nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio saf, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.” 2 Tim. 3:1-5.

G. Unabii juu ya matukio katika maisha ya Yesu. “Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika Maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe.” Lk. 24:27. “Kwa maana aliwashinda Wayahudi kabisa kabisa mbele ya watu wote, akionyesha kwa maneno ya Maandiko ya kuwa Yesu ni Kristo.” Mdo. 18:28. Kwa kuwa wakati huo Agano Jipya lilikuwa halijaandikwa, ni wazi kuwa Maandiko yanayozungumziwa hapa ni Agano la Kale. Utabiri wa Agano la Kale juu ya Masihi ulikuwa dhahiri na ulitimizwa na Yesu wa Nazareti kiasi cha kumfanya Yesu mwenyewe na Apolo kuutumia kuwathibitishia Wayahudi kuwa Yesu alikuwa ndiye Masihi

Moja kati ya uthibitisho mkuu kwamba Biblia si kitabu cha kawaida tu kilichoandikwa na watu wema, ni uwezo wake wa kubadili maisha ya watu. Inaweza kumbadilisha mtu mwovu kabisa na kumfanya kuwa Mkristo mwaminifu. Inaweza kumfanya mtu asiye mwaminifu, kutaka kurejesha alichochukua, au kusahihisha uongo aliosema. Ni uwezo gani wa ajabu ulio katika kitabu hiki unaobadilisha kiajabu matamanio na makusudi ya watu? Ni uwezo wa kufanya miujiza wa Roho wa Mungu anayefanya kazi kupitia kitabu hiki kutuonyesha Mwana–Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu.
 
Ila kiulweli tusimlaumu Sana Muhammad yeye alitaka kuanzisha dini yake aka copy mpaka embryology za wakati huo kapachika Leo ilmu imekuwa juu anaonekana kituko
Angetoa acknowledgement alipo chukua maandiko yeye
Alifanya Plagiarism
Yani tukisema tumzungumzie muhammad kwa mtazamo huo atakuwa ni genius wa muda wote ambaye hajawahi kutokea [emoji16] na unatakiwa umpe heshima yake
 
Hapa pia Kuna Boko Moja la Hatari. Yakobo yupo hata Musa alikuwa si mwenye kutajwa, halafu unasema Yakobo akamzaa Yusufu, Yusufu alikuwa mumewe Mariamu aliye mzaa Yesu. Wakristo mkiitwa wajinga mkasirike.

Nataka Chain ambayo haijakatika popote na iwe na uhalisia.

Wewe ndio hauna akili Kwa sababu haujui majina yanauwezo wa kujirudia lakini Ubin ni ngumu kujirudia.

Kwa mfano ukisikia mtu anaitwa Pacal Kwa akili yako utajua jina Hilo ni moja?
Haujui kuna Pascal Kasian, Pascal Mayalla n.k.

Wanafunzi wa Yesu wapo waliokuwa Wana majina yanayofanana, mathalan Yuda,
Alikuwepo Yuda Iskariote na Yuda zelote.

Palikuwa na Yohana Mbatizaji na Yohana nduguye Yakobo

Majina kufanana ni kitu cha kawaida Ila Ubin ni muhimu.

Ndio maana nikakuambia Biblia iliandikwa Kwa kujua kuwa IPO siku tutaileta mahakamani kuthibitisha ukweli wake
 
Kijana hapa hakuna Chain aliyo andika kijana. Labda kama hamjui maana ya Chain, Chain lazima iungane, chain yenu imekatika. Yesu hawezi kuwa mwana wa Daudi na kadhalika Yesu hawezi kuwa mtoto Yusu ambaye ni mtoto wa Yakobo.

Mnachekesha sana Wakristo. Hili najua hamliwezi.

Kwa mujibu wa Quran tuambie Yesu alizaliwa wapi? Au alizaliwa Buza?
 
Yani tukisema tumzungumzie muhammad kwa mtazamo huo atakuwa ni genius wa muda wote ambaye hajawahi kutokea [emoji16] na unatakiwa umpe heshima yake
😂😂😂😂 Ni genius wa kufanya Plagiarism , kazingua Sana
 
Ila kiulweli tusimlaumu Sana Muhammad yeye alitaka kuanzisha dini yake aka copy mpaka embryology za wakati huo kapachika Leo ilmu imekuwa juu anaonekana kituko
Angetoa acknowledgement alipo chukua maandiko yeye
Alifanya Plagiarism
Toa embryology yako hapa tuione mbulumundu wewe
 
Mfuasi wa Plagiarism umeanza makasiriko 😂😂

Ila ata wewe nakushauri unapotumia maandiko ya watu acknowledgement ni muhimu
Tumia hayo maandiko ya mtu, acknowledge Kisha yaweke hapa tuone ulivyo master wa embryology..simple,acha kujichekesha Kama malaya
 
Mohamad kasema yeye ndio mwislam wa Kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baadaye waandishi wa Quran wakampiga chini wakasema Adam na Musa na Ibrahim Hao ndio waislam WA Kwanza . Mimi naungana na Mohamad yeye ndio mwislam wa Kwanza na Quran ndio mwongozo WA waislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Musa hakuwa mwislam WALA Adam WALA Ibrahim Ni mchongo WA watu fulani tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nipo kanisani nakemea majini Kwa Jina la Yesu
 
Akili za Hawa watu
FB_IMG_1667566828389.jpg
 
Mohamad kasema yeye ndio mwislam wa Kwanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] baadaye waandishi wa Quran wakampiga chini wakasema Adam na Musa na Ibrahim Hao ndio waislam WA Kwanza . Mimi naungana na Mohamad yeye ndio mwislam wa Kwanza na Quran ndio mwongozo WA waislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Musa hakuwa mwislam WALA Adam WALA Ibrahim Ni mchongo WA watu fulani tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nipo kanisani nakemea majini Kwa Jina la Yesu
Ndio ni muislam wa kwanza katika sheria za uislam alokuja nao, na zama zake na unabii wake na anafata mila ya ibrahim.. ukielewa uislam ni nini kwa tafsiri iliyosahihi hii kitu siyo yakuleta hapa eti kubishana na unavopinga kitu uwe unajua kabisa unapinga kwa misingi ipi na uweke wazi kuwa ikibainika kitu flani ni sahihi uwe tayari kukubaliana nacho ila bila ivyo unaweza ukawa chizi yani ukawa unapigia watu kelele tu..

We si unatumia google nenda kasearch kwanini muhammad ni muislam wa kwanza wakati huo Adam, ibrahim na musa nao wametajwa kuwa ni waislam
 
[emoji28][emoji28][emoji28] lazima tufundishane ili tusiwe kama nyinyi apo sahihi kabisa bible kinakuaje kitabu cha Mungu apo kweny muhammad kutajwa kweny bible wangetoa tu icho ki sub topic hakina maana hata akitajwa au asipotajwa tumeelewa alichokuja nacho na hatuifuati bible (collection of books) kwaiyo akiwepo au asipokuwepo haina unyama wowote
 
[emoji28][emoji28][emoji28] lazima tufundishane ili tusiwe kama nyinyi apo sahihi kabisa bible kinakuaje kitabu cha Mungu apo kweny muhammad kutajwa kweny bible wangetoa tu icho ki sub topic hakina maana hata akitajwa au asipotajwa tumeelewa alichokuja nacho na hatuifuati bible (collection of books) kwaiyo akiwepo au asipokuwepo haina unyama wowote
Biblia Ni kitabu Cha Mungu wakweli, usifananishe na Quran kitabu Cha janja janja

UFUNUO JUU YA MAONO ALIYOYAONA NABII NAHUMU , MWELKOSHI

NAHUMU 3

5Tazama mimi ni juu yako , asema BWANA wa majeshi , nami nitafunua marinda yako mbele ya uso wako , nami nitawaonesha mataifa uchi wako na falme aibu yako

6;Nami nitatupa uchafu uchukizao juu yako , kukufanya uwe mchafu , nami nitakufanya kuwa kitu cha kutazamwa kwa dharau

7;Hata itakuwa wote wakutazamao watakukimbia , wakisema NINAWI umeharibika , ni nani atakayeuhurumia ?nikutafutie wapi wafariji?

mji wa Ninawi upo mashariki ya kati nchini Iraki. Mji huo unaoaminika kukaliwa na Wakristo wengi upo kilometa 400 kaskazini magharibi mwa Iraki, ingawa toka vita ilipoingia ya kumuondoa aliyekuwa Rais wa nchi ya Iraki marehemu Saddam Hussein, inaelezwa idadi ya Wakristo katika mji huo imepungua kwasababu baada ya mji mkuu wa Mosul kutekwa na waislamu wenye msimamo mkali wanaojiita Islamic state ama Isis zamani wakitambulika hivyo, kumewafanya wakristo wengi kuukimbia mji wa Mosul ambao majengo yake ni ya kisasa zaidi kulinganisha na Ninawi.

NENO LA MUNGU LIMETIMIA

UNAANZAJE KUFANANISHA NA QURAN
 
Ndio ni muislam wa kwanza katika sheria za uislam alokuja nao, na zama zake na unabii wake na anafata mila ya ibrahim.. ukielewa uislam ni nini kwa tafsiri iliyosahihi hii kitu siyo yakuleta hapa eti kubishana na unavopinga kitu uwe unajua kabisa unapinga kwa misingi ipi na uweke wazi kuwa ikibainika kitu flani ni sahihi uwe tayari kukubaliana nacho ila bila ivyo unaweza ukawa chizi yani ukawa unapigia watu kelele tu..

We si unatumia google nenda kasearch kwanini muhammad ni muislam wa kwanza wakati huo Adam, ibrahim na musa nao wametajwa kuwa ni waislam
Usilete uongo kusema kwamba, MUHAMMADI kusema kwamba, yeye ni wa kwanza wa Waislamu ni katika zama zake, Quran haisemi hivyo.
وَأُمِرْتُ لِأَنْ أَكُونَ أَوَّلَ الْمُسْلِمِينَ

(AZZUMAR – 12)
Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu.

Hapo neno zama zake halipo.

لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ

(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.

Hapo katika zama zake hakuna, yeye anatajwa kuwa ni wa kwanza wa Waislamu, sasa tuambie, katika ya MUHAMMADI ambaye ni muislamu wa kwanza, na Yesu Kristo Mwana wa Mungu, ni nani ametangulia kuwepo DUNIANI??

PIA JE! Kuna andiko hata moja, la Yesu Kristo, amenukuliwa na wanafunzi wake, akisema yeye ni muislamu, ama kulitaja tu neno Uislamu??
 
Kila siku nawaambia laiti kama mngekuwa mnahakiki maandiko yenu. Asingesalia Mkristo hata mmoja.
MAJIBU KWA WAISLAMU

Yeremia 8:8
MWASEMAJE, SISI TUNA AKILI, NA TORATI YA BWANA TUNAYO PAMOJA NASI? LAKINI, TAZAMA, KALAMU YENYE UONGO YA WAANDISHI IMEIFANYA KUWA UONGO.

Hili ni moja la andiko ambalo waislamu wamekuwa wakilitumia kupotosha ukweli wa torati ya YEHOVA aliyompa Nabii Musa, kwakusema kuwa torati hiyo haifai kwani imetiwa mikono.

SWALI
Je! ni kweli andiko hilo linamaana kuwa torati ya Bwana aliyompa nabii Musa imetiwa mikono.

JIBU
Hapana, andiko hilo la Yeremia 8:8, halimaanishi kuwa torati ya YEHOVA imetiwa mikono, bali kunamakosa ya kiusomaji kwa wale wapinzani wa Biblia ambao husoma maandiko nusunusu ilikupotosha maana halisi ya andiko hilo.

TUICHAMBUE AYA YA ANDIKO HILI.
1) Mwasemaje sisi tunaakili, NA TORATI YA BWANA TUNAYOPAMOJA NASI.

Kulikuwa na wapinzani wa torati ya Bwana ambao walikuwa wakitaka kuipotosha torati ya Bwana kwa kuwafundisha watu kinyume na torati inavyoelekeza ili torati ya Bwana ionekane ya uongo. Ndipo nabii Yeremia anawaambia wapinzani hao akisema;
[emoji116][emoji116]
"MWASEMAJE SISI TUNAAKILI (Kuwaambia wapinzani hao wa torati, kama walivyokuwa wakijinadi kuwa wao wanaakili), NATORATI YA BWANA TUNAYOPAMOJA NASI (wakati torati ya Bwana wanayo wao manabii wamehiifadhi sehemu salama, nabii Yeremia ameitunza).

NABII YEREMIA ANAWAAMBIA WAPINZANI HAO KUWA, HAWAWEZI KUIPOTOSHA TORATI YA BWANA, KWANI TORATI YA BWANA WANAYOWAO MANABII WAMEITUNZA SEHEMU SALAMA.

ANDIKO LINALOFUATA
3)lakini tazama, KALAMU yenye uongo ya Waandishi IMEIFANYA kuwa uongo.

KALAMU kibiblia maana yake ni ULIMI.
[emoji116][emoji116]
Zaburi 45:1
Moyo wangu umefurika kwa neno jema, Mimi nasema niliyomfanyizia mfalme; ULIMI WANGU NI KALAMU YA MWANDISHI MSTADI.

KALAMU YA WAANDISHI NI ULIMI, KIBIBLIA HAPO KALAMU MAANA YAKE NI ULIMI.
*Lakini tazama KALAMU YENYE UONGO YA WAANDISHI [emoji118]hapo akiwa na maana ya kuwa, wapinzani hao walikuwa wakifundisha kinyume na maagizo ya torati. Mungu katika torati kasema hivi, na hao wapinzani wa torati wao wanafundisha hivi, kinyume na torati.

KIPANDE KINACHOFUATIA;
*Kalamu yenye uongo ya Waandishi, IMEIFANYA kuwa uongo.

MKTADHA WA NENO KUIFANYA.
Hapa haina maana kuwa, torati ya Bwana ni kweli kuwa niya uongo. Neno hili KUIFANYA hata katika maisha yetu ya kilasiku sisi wanadamu tunalitumia huku likiwa halina maana kama lilivyokuwa neno KUIFANYA, kuwa tayari kitu au jambo hilo kuwa ndivyo lilivyo.

MFANO 1
Unapomwambia mwenzako; Unanifanya Mimi kuwa mjinga. Je! nitayari kuwa wewe ni mjinga, Hapana wewe sio mjinga bali kuna mambo ambayo mwenzako kakufanyia ambayo yanalenga kukuchafua wewe, ndio maana ukamwambia, "UNANIFANYA MIMI KUWA MJINGA" huku ukweli ukibaki kuwa wewe sio mjinga.

MFANO 2
Qur'an 15:91(tafsiri ya Sheikh Al-Farsy)
"Ambao WAMEIFANYA Qur'an kuwa ni MKUSANYIKO WA UONGO"

Hapo limetumika neno "WAMEIFANYA", ambapo nisawa na neno IMEIFANYA kule kwenye Yeremia 8:8.

Swali Kwako Muislamu
Je! tukisema Qur'an unayoiamini ni mkusanyiko wa uongo kwasababu limetumika neno WAMEIFANYA ambalo ni sawa na neno IMEIFANYA, Je! utakubali kuwa Qur'an niya uongo kwa hoja hiyo?

Nabii Yeremia anaposema, kuifanya kuwa uongo haina maana kuwa torati imetiwa mikono(imepotoshwa), bali wapinzani wa torati ya Bwana kuna mambo ambayo walikuwa wanafanya yanayoenda kinyume na maagizo ya torati ilitorati ya Bwana ionekane niyauongo ilihali siyo ya uongo, bali yenyewe ilikuwa mikononi mwa manabii imehifadhiwa sehemu salama. Ndio maana nabii Yeremia anawaambia watu hao;Kuwa [emoji116][emoji116]
MWASEMAJE SISI TUNAAKILI (Nabii Yeremia kuwaambia watu hao wapinzani wa torati ya YEHOVA aliyompa Nabii Musa), NATORATI YA BWANA TUNAYOPAMOJA NASI ( Wakati torati ya Bwana tunayo sisi manabii tumeitunza sehemu salama kabisa). Ukienda aya inayofuata, aya ya 9 utaelewa zaidi, Nabii Yeremia anawaambia watu hao, anasema;
[emoji116][emoji116]
Yeremia 8:9
Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, WAMELIKATAA NENO LA BWANA, WANA AKILI GANI NDANI YAO?

Tunaona hapo aya ya 9, kutoka hiyo aya ya 8, jinsi nabii Yeremia anavyowaambia watu hao kwa kuwauliza. Wanaakili gani ndani yao, japo wanajifanya wanahekima, anawaambia, wamefadhaika, wameshikwa na shetani kwa kulikataa neno la Bwana, yaani hiyo torati ya Bwana ambayo ilikuwa mikononi mwa manabii imeifadhiwa sehemu salama kabisa, ndio maana anawaambia, "MNAAKILI GANI NDANI YENU, MAANA MMELIKATAA NENO LA BWANA.

Andiko hilo la Yeremia 8:8, halimaanishi kwamba torati imetiwa mikono kama tulivyoona bali kunamakosa ya kiusomaji kwa wapinzani wa Biblia ambao wamekuwa wakisoma maandiko nusunusu yaani vipande vipande ili kupotosha maana halisi ya andiko hilo, na sio andiko hilo tu, yapo maandiko mengi ambayo waislamu wamekuwa wakiyapotosha kwa kusoma maandiko hayo nusunusu, yaani vipande vipande ili kupotosha maana halisi ya maandiko hayo.

QUR'AN YATHIBITISHA UKWELI KUWA TORATI YA MUNGU ANAYEITWA YEHOVA HAIJATIWA MIKONO.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Biblia ilitangulia kabla ya Qur'an, baada ya kupita zaidi ya MIAKA MIASITA(600), Ndipo ilipokuja Qur'an, nayo ilipokuja ikathibitisha ukweli kuwa Torati hiyo ya MUNGU YEHOVA haijatiwa mikono.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Qur'an 45:16
Na hakika tuliwapa Wana wa Israili KITABU na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.

Qur'an 40:53
Na kwa hakika tulimpa Musa UWONGOFU, na tukawarithisha Wana wa Israili KITABU,

Qur'an 28:43
Na bila shaka tulimpa Musa KITABU baada ya kuziangamiza uma za kwanza (zilizopita), kiwe kifumbua macho cha watu (kiwaangazie) na kiwe uwongofu, na rehema, ili wapate kukumbuka.

Qur'an 2:53
Na (kumbuka) Tulipompa Musa KITABU (KILICHOKUSANYA KILA YANAYOITAJIWA) na cha kupambanua baina ya yaliyo ya haki na yasiyokuwa ya haki ili mpate kuongoka.

Qur'an imeweka bayana kuwa, torati ya Nabii Musa ilitoka kwa Mungu na wala haijatiwa mikono, tena Qur'an inasema torati hiyo inapambanua mema na mabaya.

WAISLAMU ACHENI KUSOMA MAANDIKO NUSUNUSU ILI KUPOTOSHA MAANA HALISI YA MAANDIKO.
 
Back
Top Bottom