Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Msahafu ni neno lenye maana ya kitabu kikubwa, Quran ni Quran haiitwi msahafu ewe punguani mbumbumbu usiye na elimu
sasa geuza hayo maelezo yako yaweke kwenye biblia ndio hivyohivyo kwa maana injili ni injili sawa wewe popoma
 
Unasema alikuwa haelezei Kama kitu kipya ilhali anasema Yesu alizaliwa mchana kwenye mtende ilhali inafahamika Yesu alizaliwa Usiku kwenye Hori la NG'OMBE.

Muhammad anasema Yesu hakusulubishwa ilhali Visa alivyovikuta vinasema alisulubishwa.

Huoni kimahakama Muhammad anapotosha? Au ni muongo
Maneno yenu ya kuzua zua mnayodanganya kanisani usiyalete hapa hapa lete maandiko

Toa hilo andiko linalosema Yesu alizaliwa usiku kwenya hori la ng'ombe
 
Kwa hiyo tafsir walikuwa wanatafsir kutoka hewani? Yani hakuna source

Muhammad kaiba kazi za watu kafanya zake na ku edit kubadili

Yeye alitakiwa kuja na visa vya waarabu
Haya hiyo source ipo wapi sasa hivi?
 
Unajifanya hujui character aliowatumia kawatoa wapi,

Character wake ni mapepo ndio kaleta kipya
Ndio uniambie katoa wapi hivyo visa? Kwamba ulitaka aseme katoa kwenye biblia?
 
Mbona unarudia rudia swali.

Umeuliza swali hili

Kwahiyo mkristo akiamua kufuata hizo nguzo tano ndio anakuwa muislamu?

Mimi nikakujibu kwa jibu hili

Ndio anakuwa muislamu. Maana vigezo vyote vya kuwa muislamu anakuwa amevifanya akianzia na kusema shahada.

Unauliza tena kuhusu shahada. Wakati nimeshasema kwamba mtu akisema shahada anakuwa muislamu. Maana shahada ndio nguzo ya kwanza ya uislamu

Kwani mtu akiwa ana silimu anasilimishwaje zaidi ya kuambiwa atamke shahada?

Pinga hoja kwa maneno yaliyonyooka sio kuzunguka zunguka
Suala la shahada linajulikana ila hapo kuna ishu ya nguzo tano kwa maana inatumika kama hoja ya kwamba hao mitume wa zamani hawakuwa waislamu kwa sababu hawakufuata hizo nguzo tano.
 
Kwa hiyo tafsir walikuwa wanatafsir kutoka hewani? Yani hakuna source

Muhammad kaiba kazi za watu kafanya zake na ku edit kubadili

Yeye alitakiwa kuja na visa vya waarabu

Quran 4:163.
Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.

Mtahangaika sana na ndio maana watu ambao hawamtaki mtume Muhammad Allah alikupeni option Moja tu mchukue kamba mjinyonge basi maana Hamuna pa kutokea.
 
Acha uongo huwezi kuwa muislamu bila kutamka shahada.. na shahada ni nguzo ya uislamu.

Unaanzia wapi kusema mtu unaweza kuwa muislamu bila kufata nguzo za uislamu
Sasa watoto wadogo wenye kuzaliwa kwenye familia ya kiislamu wanatambuliwa ni waislamu ni kwa sababu ya kutekeleza nguzo tano?
 
Ni waislamu, hili ndio jipya kaja nalo
Ndio nauliza kwanza unazungumzia hawa majini ambao mnasema asili yao ni malaika au majini hawa viumbe asili yao ni moto?

Kwa sababu Qur'an hazungumzia majini malaika.
 
Ndio nauliza kwanza unazungumzia hawa majini ambao mnasema asili yao ni malaika au majini hawa viumbe asili yao ni moto?

Kwa sababu Qur'an hazungumzia majini malaika.
Ndio kipya kaja nacho , vingine vingi alitakiwa atoe acknowledgement
 
Quran 4:163.
Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.


Mtahangaika sana na ndio maana watu ambao hawamtaki mtume Muhammad Allah alikupeni option Moja tu mchukue kamba mjinyonge basi maana Hamuna pa kutokea
Kwa Nini kaiba kazi za watu ? Anatajataja majina ila atoi maelezo ya kutosha
 
Unaandika meengii halafu ni uharo tu, hata Musa kaandika kitabu kwa mkono wake(kwa mujibu wako, sababu kwenye bible haionekani hivyo). Yesu kaandika kitabu gani kwa mkono wake!?

Zaidi ya vitabu vingi vya Imani ya kikristo kuandika na Paulo ambaye hakuwa na time na Yesu alipokua hai!?

Hujui chochote kuhusu Qur'an. Unasema vitabu vyote kwenye Qur'an kashushiwa Muhammad peka yake, Qur'an ni kitabu kimoja hivyo vingi umevitoa wapi!?

Ibrahim alikua dini gani!? Maana najua alikua muhamiaji pale Yerusalem, alikua mwarabu wa Iraq!?

Neno eloi Kama mtamkavyo kwa lugha ya Yesu ni ilahi ina maana ya mungu wangu ambapo kwa kiarabu ni illahiy
Vitabu 5 vya awali vya Biblia ni kweli vimeandikwa na Mussa hili halina mjadala.

Yesu hajaandika kitabu chochote lakini habari zake zimeandikwa na Eye Witnesses (Waliomshuhudia akiwa hai kama Mitume na Wainjili wengine na waliomshuhudia baada ya kufufuka kama Paulo,ingawa pia kuna uwezekano alimshuhudia hata kipindi akiwa yupo hai japo hakuwa mwanafunzi wake kipindi hicho).

Paulo ameandika vitabu 14 tu kati ya 66 au 72 kama ambavyo Catholics wanatambua ingawa umeeleza vyema kusema vitabu vya kikristu kwa maana Christianity started with Jesus but unasahau kwamba Jesus alianza kutajwa tangu agano la kale na kukamilishwa kwenye agano jipya.

Lakini pia hata kama Paulo angeandika vitabu 40 kati ya vyote sio tatizo kwa sababu alikuwa ni mtu aliyeshuhudia huduma ya Yesu duniani. Ni kweli hakuwa mwanafunzi wake kabla lakini Yesu hakufundisha sirini mafunzo yake wengi waliyasikia muda wote alipokuwa akifundisha na Paul ni mmoja wa waliosikia. Pia Paulo alifanywa mwananfuzi na Yesu mwenyewe tena akiwa katika hali yake ya Umungu(Yesu mfufuka ) hivyo hakuna tatizo hata kama angeandika vitabu 50 kati ya vyote.
 
k
Kwahiyo biblia ndio injili? Kama ndio ilishuka kwa nani hiyo injili?
kushuka ndio kitu gani,hakuna kitu kinachoitwa kushuka hizo ni porojo tu ,injili imeandikwa na marko,mathayo na yohana ,ukisikia eti kitabu kimeshuka huo ni upuuzi wa ni mapoyoyo tu ndio yataamini huo ujinga
 
Back
Top Bottom