Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wafundisheni taratibu kwani hata Allah aliwasisitizia sana kuwa walimu wenu ni Wayahudi na Wakristo.
Sema tu wana vichwa vigumu sana hawa watu.
Surah Yunus Ayah 94
فَإِن كُنتَ فِي شَكّٖ مِّمَّآ أَنزَلۡنَآ إِلَيۡكَ فَسَۡٔلِ ٱلَّذِينَ يَقۡرَءُونَ ٱلۡكِتَٰبَ مِن قَبۡلِكَۚ لَقَدۡ جَآءَكَ ٱلۡحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمُمۡتَرِينَ
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
Acheni kuliabudu Jiwe Jeusi Aswadi ni mzimu wa wapagani huo.
Mambo ya Walawi 26:1 Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.