Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.🤣🤣
Mpaka sasa hawajadili hoja wanaanzisha mijadala mipya nje ya shauri lililoko mahakamani
|
|---|
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umezunguka koote kwenye nomino na mifano kibao ila hujajibu hoja za msingi hapa.
1. Yahweh ni title yenye maana ya "The Lord" inakusudia Mungu na si kwamba Yahweh ni Personal name ya Mungu.
2. "NIKO AMBAYE NIKO" huu ni usemi tu ila wewe unadai kwamba hiyo ni tafsiri ya neno Yahweh, ndipo nimekuuliza umepata wapi hiyo tafsiri ya kwamba Yahweh tafsiri yake ni NIKO AMBAYE NIKO ??
Vitu vyengine vipo wazi kabisa Yehova lingekuwa ni personal name ya Mungu lingejulikana toka kwa Adam huko ila sio et toka Adam huko jina la Mungu halijulikani halafu lije kujulikana wakati wa Musa, halafu ukihoji kwanini iwe hivyo mtu anakujibu et jina la Mungu halitajwi tajwi hovyo!
Kawaida yao waache tu twende nao hivyohivyo.[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa mkianza kutukanana, ni kuonyesha ujinga ambao kabla uliuficha.
Wewe endelea kuvaa nepi hadi utakapo kua ndiyo ujeQuran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.[emoji1787][emoji1787]
JINGA LA WAJINGA:Tulishamalizana na wewe,kama unahoja weka hapa tukupe tuition.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa baada ya kujibu mada wana amua kufanya fujo.
Wakiongozwa na KingFujo Gavana,
Mada imewashinda.
Kumbuka tu kwanza kwamba ukizungumzia Qur'an ni kwamba unazungumzia kitabu kimoja chenye kusimama chenyewe na si mkusanyiko wa maandiko ya Mayahudi na mengineyo.Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.🤣🤣
Msingi wa swali lako ni upi kwanza? Kisha swali gani hilo la tarehe ya kuzaliwa ya Yesu au?Haya jibu swali langu Kule juu
Umemalizana na mimi kivipi ?JINGA LA WAJINGA:Tulishamalizana na wewe,kama unahoja weka hapa tukupe tuition.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mleta mada anashindanisha kitabu kimoja kwa vitabu vingi, halafu kibaya zaidi haamini katika hivyo vitabu kabisa anachukulia kama vitabu vya historia tu.Umemalizana na mimi kivipi ?
Kwani mimi ndio niliye ileta mada ?
Ni bora kuto kujua kuwa unajua kuliko kuto kujua kuwa hujui.
Msingi wa swali lako ni upi kwanza? Kisha swali gani hilo la tarehe ya kuzaliwa ya Yesu au?
Hakuna hoja ambayo haijajibiwa katika andiko lako isipokuwa hii no 1 ninayo imalizia hapa,Mpaka sasa hawajadili hoja wanaanzisha mijadala mipya nje ya shauri lililoko mahakamani
Hoja zote zimejibiwa,hakuna hata hoja moja iliyobaki.Unalikumbuka swali lenyewe mpaka uulize msingi wake?
Maana naona Kama kuna Jambo halipo Sawa katika mfumo wako WA utambuzi.
Hakuna hoja hata Moja kwenye shauri lililoko mahakamani ambalo imejibiwa,
Mambo mnayoyaanzisha nilitegemea yangekuwa sehemu ya majibu ya hoja zilizowasilishwa lakini sivyo zaidi mnazungumzia ishu msizo na Uelewa nazo.
Ndio maana hata mahakamani kuna swali la kujitambulisha kuanzia majina na elimu ya mtu ili kujua atakayeongea anauelewa kiwango gani.
Naomba unijibu Kama mtu aliyesoma elimu za juu.
Na Kama hujafika elimu za juu basi omba kupewa elimu, hivyo kazi yako itakuwa kuelimishwa Kwanza na sio kutoa hoja au kujibu hoja.
Ili uwe Wakili itakupasa uwe unaelimu ya kutosha kuanzia Elimu ya sheria, lugha, historia, Saikolojia n.k.
Wewe Kama wakili WA Quran umeonyesha udhaifu na Uelewa duni katika Maeneo niliyotaja hapo juu.
i. Huna Uelewa wowote wa mambo ya Lugha ndio maana hata hujui masuala ya isimu ya lugha, semantiki, Aina za maneno, hujui proper name ikiwemo personal name ya mtu na kazi yake.
Hivyo ndio maana ukashindwa kujibu hoja ya Yehova na Allah ni miungu WAWILI tofauti.
ii. Huna maarifa yoyote kuhusu mambo ya sheria hasa ishu za Plagiarism na Forgery.
Na pengine hujui ni Kwa nini mtu akichukua Kauli au kazi ya mtu lazima atoe recognition au acknowledgement.
Sio ajabu ukashindwa kujua ni namna gani Quran imefanya plagiarism na Forgery kutoka maandiko ya kiyahudi.
iii. Huna elimu ya masuala ya Historia ya Dunia.
Sio ajabu hujui Historia ya Allah kabla ya uwepo wa Quran,
Hujui historia ya kabila alilotoka Muhammad na tamaduni zao. Hivyo huwezi eleza na kuelewa lolote kuhusu namna kabila la Muhammad lilivyoathiri Quran
iv. Huna Taaluma ya masuala ya Saikolojia.
Hivyo huwezijua Saikolojia ya watu kipindi cha Zama za Giza "Dark age" ambapo Quran ndipo iliandikwa.
Kwa hoja hizi nachelea kusema, mada hii imekuzidi uwezo.
Ningekushauri umlete Mwalimu wako ambaye angalau anaelimu ya kutosha ya mambo niliyoyataja hapo juu ili atakapokuja ajadili hoja kama mtu mwenye akili na msomi.
Hivyo Mimi sitajadiliana na wewe, mpaka pale utapoanza kuzijadili hoja za Uzi huu moja baada ya nyingine. Na sio kuanzisha mijadala mipya ambayo hauna Elimu nayo.
Nani kaanzisha mada mpya? Mada ya mwisho tuliyokuwa tunajadili ni kuhusu wewe kupinga Allah kuwa si Mungu wa vitabu vya Torat,Zaburi na Injili na kwamba Allah ni Mungu wa waarabu tu, na kwamba Yehova ndio jina la halisi la Mungu wa Wayahudi hana kitabu cha Qur'an.Unalikumbuka swali lenyewe mpaka uulize msingi wake?
Maana naona Kama kuna Jambo halipo Sawa katika mfumo wako WA utambuzi.
Hakuna hoja hata Moja kwenye shauri lililoko mahakamani ambalo imejibiwa,
Mambo mnayoyaanzisha nilitegemea yangekuwa sehemu ya majibu ya hoja zilizowasilishwa lakini sivyo zaidi mnazungumzia ishu msizo na Uelewa nazo.
Ndio maana hata mahakamani kuna swali la kujitambulisha kuanzia majina na elimu ya mtu ili kujua atakayeongea anauelewa kiwango gani.
Naomba unijibu Kama mtu aliyesoma elimu za juu.
Na Kama hujafika elimu za juu basi omba kupewa elimu, hivyo kazi yako itakuwa kuelimishwa Kwanza na sio kutoa hoja au kujibu hoja.
Ili uwe Wakili itakupasa uwe unaelimu ya kutosha kuanzia Elimu ya sheria, lugha, historia, Saikolojia n.k.
Wewe Kama wakili WA Quran umeonyesha udhaifu na Uelewa duni katika Maeneo niliyotaja hapo juu.
i. Huna Uelewa wowote wa mambo ya Lugha ndio maana hata hujui masuala ya isimu ya lugha, semantiki, Aina za maneno, hujui proper name ikiwemo personal name ya mtu na kazi yake.
Hivyo ndio maana ukashindwa kujibu hoja ya Yehova na Allah ni miungu WAWILI tofauti.
ii. Huna maarifa yoyote kuhusu mambo ya sheria hasa ishu za Plagiarism na Forgery.
Na pengine hujui ni Kwa nini mtu akichukua Kauli au kazi ya mtu lazima atoe recognition au acknowledgement.
Sio ajabu ukashindwa kujua ni namna gani Quran imefanya plagiarism na Forgery kutoka maandiko ya kiyahudi.
iii. Huna elimu ya masuala ya Historia ya Dunia.
Sio ajabu hujui Historia ya Allah kabla ya uwepo wa Quran,
Hujui historia ya kabila alilotoka Muhammad na tamaduni zao. Hivyo huwezi eleza na kuelewa lolote kuhusu namna kabila la Muhammad lilivyoathiri Quran
iv. Huna Taaluma ya masuala ya Saikolojia.
Hivyo huwezijua Saikolojia ya watu kipindi cha Zama za Giza "Dark age" ambapo Quran ndipo iliandikwa.
Kwa hoja hizi nachelea kusema, mada hii imekuzidi uwezo.
Ningekushauri umlete Mwalimu wako ambaye angalau anaelimu ya kutosha ya mambo niliyoyataja hapo juu ili atakapokuja ajadili hoja kama mtu mwenye akili na msomi.
Hivyo Mimi sitajadiliana na wewe, mpaka pale utapoanza kuzijadili hoja za Uzi huu moja baada ya nyingine. Na sio kuanzisha mijadala mipya ambayo hauna Elimu nayo.
Nani kaanzisha mada mpya? Mada ya mwisho tuliyokuwa tunajadili ni kuhusu wewe kupinga Allah kuwa si Mungu wa vitabu vya Torat,Zaburi na Injili na kwamba Allah ni Mungu wa waarabu tu, na kwamba Yehova ndio jina la halisi la Mungu wa Wayahudi hana kitabu cha Qur'an.
Sikia mimi sipo hapa kushindana elimu na wewe, usitumie nguvu kunishambulia mimi binafsi utake nionekane sina elimu na wewe kwamba una elimu kubwa. Mimi hata sishindani na wewe kwa elimu mimi elimu yangu ni ndogo hivyo wala usijisumbuwe katika hilo kutaka kulitumia kama silaha ya kushinda mjadala.
Uzuri humu tuliyojadili kati yangu nisio na elimu na wewe mwenye elimu zote ni kwamba wengine watasoma na kila mmoja ana uelewa wake.
Asubuhi njema.
Haina haja ya kujibu nishaelewa kwamba kila taifa lina Mungu wake, hiyo ndio point ya msingi.Jibu maswali haya;
1. Torati imeandikwa na nani?
2. Huyo aliyeandika Torati ni taifa gani?
3. Mungu WA taifa Hilo anaitwa Nani?
4. Aliyeandika Zaburi ni Nani?
5. Huyo aliyeandika Zaburi ni taifa gani?
6. Mungu wa taifa Hilo anaitwa Nani?
7. Aliyeleta Injili ni Nani?
8. Huyo aliyeleta injili ni taifa gani?
9. Mungu WA taifa Hilo anaitwa Nani?
10. Aliyeleta Quran ni Nani?
11. Huyo aliyeleta Quran ni taifa gani?
12. Mungu wa taifa hilo anaitwa Nani?
Ukishajibu maswali hayo utaelewa kuwa ulichokuwa unabishania kilikuwa nje ya uwezo wako wakufikiri.
Haina haja ya kujibu nishaelewa kwamba kila taifa lina Mungu wake, hiyo ndio point ya msingi.
Asante sana kwa kunipa elimu hiyo msomi nilikuwa sijui.